kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 821
- Thread starter
- #101
Ase ata mimi najishangaaaa sina hamu na vibaka jamii wa humu kweli hii karibu mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ase ata mimi najishangaaaa sina hamu na vibaka jamii wa humu kweli hii karibu mjini
30yrs jail au???😂😂😂 thiogopiiii
Hahaha .. pole sana Mkuu dah !! Vijana mna visa sanaAse ata mimi najishangaaaa sina hamu na vibaka jamii wa humu kweli hii karibu mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya deni ni kulipa nashangaa umesepa na 12 yangu hutak kuilipia tala nao hutak kuwalipa una tatizo gani hahahahha30yrs jail au???[emoji23][emoji23][emoji23] thiogopiiii
Nakwambiaje we hizo picha zitume tuu😂😂😂i eeem konki konki KONKII mistress 😂😂😂😂Dawa ya deni ni kulipa nashangaa umesepa na 12 yangu hutak kuilipia tala nao hutak kuwalipa una tatizo gani hahahahha
Sent using Jamii Forums mobile app
ushapigwa mkuu, yaani mjini shuleWakuru wanaume wenzangu kuna nyuzi humu zinaandikwa sijui natafuta mume wakuu wengi wao ni wanaume yani wangese sana yani mwanaume unaandika nyuzi ya namna hyo unatogozwa na mwanaume mwenzako ase hii ikoje???
Mimi nimelizwa mpunga japo si mkubwa lakini mimi ni mnyamwezi ntakukogesha aibu kila sehem tafadhari naomba uombe msamaha maana picha zako zitaenea jf na insta na twitter fb nk kifupi utakoga aibu sana.
Picha ninazo namba zako za simu ninazo utakoga aibu unajiita Marry255..
Aibu inakuja si mda sita jari ww ni kidume au kimwanamke japo umekula elfu kumi na mbili tu lkn nitakukogesha aibu nakupa mda uombe samahani huu ni utoto na ujinga...
Sent using Jamii Forums mobile app
vijana jifunzeni kutongoza acha kupenda mteremkoWakuru wanaume wenzangu kuna nyuzi humu zinaandikwa sijui natafuta mume wakuu wengi wao ni wanaume yani wangese sana yani mwanaume unaandika nyuzi ya namna hyo unatogozwa na mwanaume mwenzako ase hii ikoje???
Mimi nimelizwa mpunga japo si mkubwa lakini mimi ni mnyamwezi ntakukogesha aibu kila sehem tafadhari naomba uombe msamaha maana picha zako zitaenea jf na insta na twitter fb nk kifupi utakoga aibu sana.
Picha ninazo namba zako za simu ninazo utakoga aibu unajiita Marry255..
Aibu inakuja si mda sita jari ww ni kidume au kimwanamke japo umekula elfu kumi na mbili tu lkn nitakukogesha aibu nakupa mda uombe samahani huu ni utoto na ujinga...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nani tena!?Mm kuna mtu nimemshtukia ni mwanaume namcheki tu swaga zake anazoleta.
Pole kwa kuibiwa elf 12 mkuu
Huenda hali tete ngoja wakabaneMjomba la teni unataka mwanika mwana??mkaushie tuu
Huyo kamaliza chuo yuko mtaan anataabika,so ubunifu wake ndo huo mkulu
Sent using Jamii Forums mobile app
30yrs jail au???[emoji23][emoji23][emoji23] thiogopiiii
Umenipendea nini😂😂😂😂Mother Confessor mimi ninekupenda na naweka wazi hapa then nakuja Pm, je nimepata ridhaa yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenipendea nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niambie tuu hapahapa..