Kuna watu wenye upendo huwa wanatuma.Watu wengine wanazeeka na upumbavu! Kwahiyo likishaisha hapo tena anaomba kwingine? Au ndio wajinga wajinga wakituma buku buku tayari😁
Kuna watu wenye upendo huwa wanatuma.Watu wengine wanazeeka na upumbavu! Kwahiyo likishaisha hapo tena anaomba kwingine? Au ndio wajinga wajinga wakituma buku buku tayari😁
Huyu nini kimemkuta, mbona kakaa kama mwamtumu
Kwakwlei wabarikiwe tu! Mi siwezi..Kuna watu wenye upendo huwa wanatuma.
Mommy Mtu wa miaka 45 au 50 plus anaweza kuomba buku kweli mtandaoni, Hawa ni Wana kwenye Moja na mbili aminiWatu wengine wanazeeka na upumbavu! Kwahiyo likishaisha hapo tena anaomba kwingine? Au ndio wajinga wajinga wakituma buku buku tayari😁
Haiwezekani, kwani mtoa mada pia ni mzee?Mommy Mtu wa miaka 45 au 50 plus anaweza kuomba buku kweli mtandaoni, Hawa ni Wana kwenye Moja na mbili amini