win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,153
- 31,199
ooh pole na hongera kwa kumkumbuka rafikiyo, hope anakukumbuka piaUnanikumbusha rafiki yangu winlicious
ooh pole na hongera kwa kumkumbuka rafikiyo, hope anakukumbuka piaUnanikumbusha rafiki yangu winlicious
Ooooh mwanangu makebo. Hujambo??
Hata sijui kapotelea wapi.ooh pole na hongera kwa kumkumbuka rafikiyo, hope anakukumbuka pia
Sa itakuwaje? Matumizi mtatoa’api?Welcome Mkuu
Ila we makebo una vituko😆
Ndani hujaacha mia kumbe huko busy huku kuhonga vijana🫢Weka namba kabisa kabla jamaa hawajapita na Uzi wako
Huyo ni mkamaria mommy, Me mtoto wa Mungu nawewe wajuaNdani hujaacha mia kumbe huko busy huku kuhonga vijana🫢
AHSANTE KWA TAARIFA
Nani mtoto wa shetani😁Huyo ni mkamaria mommy, Me mtoto wa Mungu nawewe wajua
Kuna ka grup fulani nipo , ni kawaida kuona mtu shamelessly anaomba anunuliwe bando au umeme wa buku.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna ka grup fulani nipo , ni kawaida kuona mtu shamelessly anaomba anunuliwe bando au umeme wa buku.
Wewe unaweza , of all the people unaofahamiana nao uje kuomba buku kwenye group la watsap la strangers?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Siwezi huo ukuda! Ndio kama wale wanaopost status nina hamu na chips au nani yuko online anipigie video call😆 sasa hapo kama una buku 3 yako si Unajipigia freshy kabisa😃Wewe unaweza , of all the people unaofahamiana nao uje kuomba buku kwenye group la watsap la strangers?
Huwa nashangaa mmama mtu mzimq mwenye miaka 30+ au mbaba wa miaka 50+ naye anaomba atumiwe bundle la buku ili tu aendelee kupoteza muda mitandaoni.Siwezi huo ukuda! Ndio kama wale wanaopost status nina hamu na chips au nani yuko online anipigie video call😆 sasa hapo kama una buku 3 yako si Unajipigia freshy kabisa😃
Watu wengine wanazeeka na upumbavu! Kwahiyo likishaisha hapo tena anaomba kwingine? Au ndio wajinga wajinga wakituma buku buku tayari😁Huwa nashangaa mmama mtu mzimq mwenye miaka 30+ au mbaba wa miaka 50+ naye anaomba atumiwe bundle la buku ili tu aendelee kupoteza muda mitandaoni.