Wakuu mwenye anajua mbao hiki kitanda ni Cha mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

Wakuu mwenye anajua mbao hiki kitanda ni Cha mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
462
Reaction score
540
Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
 

Attachments

  • IMG-20250612-WA0003.jpg
    IMG-20250612-WA0003.jpg
    57.1 KB · Views: 23
  • Screenshot_20250609-161730.png
    Screenshot_20250609-161730.png
    938.7 KB · Views: 22
Kuhusu muundo picha unayo tayari ni wewe kumpelekea fundi wako umpe akutengenezee amma ni mbao ya aina gani labda uulize ni mbao gani nzuri bongo kwa kazi hizo.

Nunua Mninga au Mkongorosi hasa hiyo mkongo ndiyo mbao nzuri kwa furniture na bei yake ipo juu hasa,budget andaa siyo chini ya Tsh 1.3+mil kwa mbao tajwa hapo juu
 
Wakuu kiwanda kidogo cha fanicha kinalipa.
Nilichukua hilo wazo kutoka kwa mwana jf CONTROLA nikampa mshkaji,yule mwamba akalivalia njuga akanzisha kiwanda.

Sasaahivi anapata tenda zakuweka milango mpaka kwenye maghorofa,anaunda na fanicha pia.

Mwenzangu niliempa wazo anapiga hela tu,mie na komwe langu nimekalia Simba na Yanga tu.
 
Kila la kheri ila uzingatie usafi tu maana kwa ninavyokiona kina maficho mengi sana so wa-vietinam wakikuvamia itakuwa ngum sana kuwaondoa
 
Uzi mzuri mtoa mada, Mi juz kati,

Kuna mahali nmekiona hiki,
kinafaa Sana Chumba Cha watoto.

sema JAMAA kadai nimpe milioni 1 cash, top top anataka laki 9 na nusu. TUKASHINDWANA.

Wapi pengine naweza kukipata Kwa Bei ya chini kdg?
 

Attachments

  • IMG_20250607_134101_0.jpg
    IMG_20250607_134101_0.jpg
    278.3 KB · Views: 20
Upo
Uzi mzuri mtoa mada, Mi juz kati,

Kuna mahali nmekiona hiki,
kinafaa Sana Chumba Cha watoto.

sema JAMAA kadai nimpe milioni 1 cash, top top anataka laki 9 na nusu. TUKASHINDWANA.

Wapi pengine naweza kukipata Kwa Bei ya chini kdg?
Upo mkoa gani
 
Hizo picha ni mbao 3 tofauti.

Nunua Mkongo ama Mninga, Sasa hivi wanauza mbao Kwa Magogo, Ukipata Gogo Moja la 10×10 linatosha kutengeneza kitanda kimoja.

Then utaongeza mbao Nyeupe Kwa ajiri ya Chaga.
 
Back
Top Bottom