El uno
Member
- Oct 9, 2018
- 93
- 111
Hapo ukute bundle umenunua wewe ila anachati na boya flani hivi.mtuhurumie jamaniHabarini wakuu,
Nimepitia mahusiano mengi na wanawake, hivi kwanini wanawake wengi ukiwatafuta hawakutafuti ila akiwa na shida tu. Ila akiwa hana shida na wewe ndo hakutafiti kabisa.
Hivi hawa viumbe huwa wanataka nini. Huwa siwasomi kabisa hawa watu jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app