Wakuu mbona wanawake wako hivi

Imekaa vizuri. But from no where mwanamke hawezi kumpenda mwanaume. Huwa kunaprocess kidogo ya mwanamme kuonesha interest japokuwa kunamipaka ya kipimo cha kufatilia. But pia siku hizi kunawapenzi na wapendanao. Hivyo mnaweza kuwa wapenzi Ila siyo wapendanao .

Sent using Jamii Forums mobile app
Usemacho ni kweli ila pia huwa inatokea mwanamke akampenda mwanaume ambae hana interest nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakuu,

Nimepitia mahusiano mengi na wanawake, hivi kwanini wanawake wengi ukiwatafuta hawakutafuti ila akiwa na shida tu. Ila akiwa hana shida na wewe ndo hakutafiti kabisa.

Hivi hawa viumbe huwa wanataka nini. Huwa siwasomi kabisa hawa watu jamani.
Sasa mkuu kama mtu hana shida na wewe anakutafuta wa nini?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom