Wakuu mbona wanawake wako hivi

Wakuu mbona wanawake wako hivi

Hahahahhahahahhahaa!
Nitamtafuta mpya nimpe kuliko niliyemzungusha.
Sitaki revenge kwenye papuchi yangu Mimi.[emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Unajitekenya sio, hamnaga mda wa kumtafuta mtu mpya huwa yule alieko available ndio kimbilio. Unajikuta tu uko gheto kwa muhuni kupata faraja..mashauzi yote kushnei! Usifanye masihara na kibuti na stress za bwana anaemwagaga noti.
Wahuni huwa hatufanyagi makosa hapo, chupi nyingi za madem wanaoringa zinavukaga katika kipindi hiko cha mpito.
 
Weèeee. Sio kweli. Labda uwe ndo umeniingia mpaka kwenye nyayo. La sivyo dakika moja nakuacha kama sikujuii. Utashangaa tu sijibu message. Sipokei simu. Na hiyo ndo bye bye. Kama nimekupenda kwanza utajishtukia kunipotezea maana kupe mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila si unakuwa ushapigwa pipe taari. Hizo kauli za kishujaa tu ila ukikojozwa lazma utamani tena na tena!
 
Hawawezi kuelewa wanajidai vichwa ngumu. Wanaona raha kugonga na kusepa hawajui kuwa wanajiumiza wao wenyewe. Wanaathirika kisaikolojia na wataishia kuona mwanamke ni wa kugonga na kusepa tu kumbe Kuna mambo matamu ukipenda unapopendwa.
Hawahawa wapenda hela au kuna wengine?

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Ukiona hutafutwi ujue kuna wanaotafutwa muda huo
ila akiwa na shida atatafutwa wa kumtatulia shida zake
akiwa nyegezi atamtafuta wa kumtoa
akiwa hana hela anakutafuta wewe
Naunga hoja mkono
 
Usiumie kwakua Watu wa nakutafuta wakiwa na shida bali furahi kuwa wanauona umuhimu wako wakati wa shida. Ndivyo walivyo lakini usilipe kisasi
 

Attachments

  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    8.8 KB · Views: 16
Habarini wakuu,

Nimepitia mahusiano mengi na wanawake, hivi kwanini wanawake wengi ukiwatafuta hawakutafuti ila akiwa na shida tu. Ila akiwa hana shida na wewe ndo hakutafiti kabisa.

Hivi hawa viumbe huwa wanataka nini. Huwa siwasomi kabisa hawa watu jamani.
Kuna msemo mmoja unasema Siku ukianza kuwasoma wanawake Ur death is near😂
 
Asilimia kubwa ya wabongo tuna penda Mambo ya tusio ya fanyia practice really and well over this summer
 
Back
Top Bottom