Wakuu mbona wanawake wako hivi

Wakuu mbona wanawake wako hivi

Wanaume tufahamu thamani yetu jaman, mwanamke akivunga kuuchuna naww uchune mpaka ashike adabu.

Wanaume tunapaswa kuishi kwa kujiamini[emoji123][emoji123][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha fix mkuu watu wafanye hivyo wakiachwa mazima wataikumbuka hii coment na kilio juu. Wewe acha tujishushe tu hamna namna
 
Ndiyo, ukiona mwanaume umemzungusha muda, na anakila sababu ya kukupotezea ila hafanyi hivyo[emoji23][emoji23].
Jiandae akikugegedaa ndiyo kwisha habari yako. Utaanza wewe kumfukuzia sasa.
Kumbe Khantwe ulikuwa haujui?

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Hahahhaah.
Kumbe !!
Na ndiyo maana Mimi nikishamzungusha mtu sana , naamuaga moja kwa moja kutokumpa papuchi[emoji23][emoji23][emoji23].
Hii mbinu nilishafundishwaga.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Sio vizur cute b yani unamzungusha mtoto wa mwanamke mwenzako sio vizuri japo mpe kidogo ata akukune kidogo ndio malipo ya kumzungusha na mungu atakubariki jameni hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwanamke mmoja ana hii tabia/tatizo

Nisipomtafuta mimi yeye ndo bhasi tena ila akiwa na shida ananitafuta

Leo ni siku ya pili hatujawasiliana wala kutafutana....

Najua akija kunitafuta ni kizinga tu...

Namvutia muda tu maana bado sijamgegeda....

Nikimugegeda tu itakuwa ndo bhasi tena......

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mmoja nadhani atanitafuta bila shaka hii wiki, kodi imekaribia,, nawaza jinsi ya kuipangua hiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye sio chanzo, chanzo ni wewe kulazimisha mapenzi sehemu usiyohitajika. Sawa utamgegeda na kusepa haina shida..shida ni pale utakapohitaji wa kukupenda hutampata. Utagegeda weeee lkn mwisho wa siku utahitaji soul mate. Ukiwa mkubwa utaelewa sasa hivi endelea tu kuzurura
Utakuwa hujanielewa mkuu...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio vizur cute b yani unamzungusha mtoto wa mwanamke mwenzako sio vizuri japo mpe kidogo ata akukune kidogo ndio malipo ya kumzungusha na mungu atakubariki jameni hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Anikune, kwa makusudi anikoleze, halafu aniache ?
Akuu[emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Mpotezee man. Huyo hana mapenz na ww kabisaa.
Kama anakutafuta sababu ana shidah basi ww kazi yako ni kuchunwa na si mapenzi.
Sasa mpige tukio ambalo hatokaa akusahau

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukio lenyewe ni kumgegeda kiufundi zaidi ili aone aliko si sawa mkuu...

Nahapo ndo na mimi nakuwa matawi ya juu sasa...

Najua nitaingia gharama zisizo kuwa na maana ili lengo langu litimie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom