Wakuu mbona wanawake wako hivi

Dilek

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
20,649
2,000
Kuna mwanamke mmoja ana hii tabia/tatizo

Nisipomtafuta mimi yeye ndo bhasi tena ila akiwa na shida ananitafuta

Leo ni siku ya pili hatujawasiliana wala kutafutana....

Najua akija kunitafuta ni kizinga tu...

Namvutia muda tu maana bado sijamgegeda....

Nikimugegeda tu itakuwa ndo bhasi tena......

Sent using Jamii Forums mobile app
Muwe mnajiongeza, hapo hupendwi. Mnalazimisha mwisho wa siku mnalialia
 
T 1990 ELY

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
6,887
2,000
Muwe mnajiongeza, hapo hupendwi. Mnalazimisha mwisho wa siku mnalialia
Najua ndiyo sipendwi/hanipendi ila nalazimisha na kuvumilia nipate nachokihitaji toka kwake ambao ni mgegedo tu...

Natamla/na nikishamla itakuwa ndo bhasi tena..

Na hapo ndo wanakujaga kusema umekipata ulichokuwa unakiitaji/kutafuta umeanza kuniona wa kazi gani...

Kasahau yeye ndo chanzo cha kujitengenezea mazingira ya mimi kula na kusepa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dilek

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
20,649
2,000
Najua ndiyo sipendwi/hanipendi ila nalazimisha na kuvumilia nipate nachokihitaji toka kwake ambao ni mgegedo tu...

Natamla/na nikishamla itakuwa ndo bhasi tena..

Na hapo ndo wanakujaga kusema umekipata ulichokuwa unakiitaji/kutafuta umeanza kuniona wa kazi gani...

Kasahau yeye ndo chanzo cha kujitengenezea mazingira ya mimi kula na kusepa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye sio chanzo, chanzo ni wewe kulazimisha mapenzi sehemu usiyohitajika. Sawa utamgegeda na kusepa haina shida..shida ni pale utakapohitaji wa kukupenda hutampata. Utagegeda weeee lkn mwisho wa siku utahitaji soul mate. Ukiwa mkubwa utaelewa sasa hivi endelea tu kuzurura
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
11,305
2,000
Kuna mwanamke mmoja ana hii tabia/tatizo

Nisipomtafuta mimi yeye ndo bhasi tena ila akiwa na shida ananitafuta

Leo ni siku ya pili hatujawasiliana wala kutafutana....

Najua akija kunitafuta ni kizinga tu...

Namvutia muda tu maana bado sijamgegeda....

Nikimugegeda tu itakuwa ndo bhasi tena......

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpotezee man. Huyo hana mapenz na ww kabisaa.
Kama anakutafuta sababu ana shidah basi ww kazi yako ni kuchunwa na si mapenzi.
Sasa mpige tukio ambalo hatokaa akusahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andy Da Inc

Senior Member
Mar 2, 2015
115
250
Habarini wakuu,

Nimepitia mahusiano mengi na wanawake, hivi kwanini wanawake wengi ukiwatafuta hawakutafuti ila akiwa na shida tu. Ila akiwa hana shida na wewe ndo hakutafiti kabisa.

Hivi hawa viumbe huwa wanataka nini. Huwa siwasomi kabisa hawa watu jamani.
Hutokuja kuwaelewa maana hawaeleweki hata ukitaka kuwaelewa hutoelewa kwa nn huwaelewi ndo maana hawaeleweki
 
cute b

JF-Expert Member
Aug 14, 2014
17,095
2,000
Najua ndiyo sipendwi/hanipendi ila nalazimisha na kuvumilia nipate nachokihitaji toka kwake ambao ni mgegedo tu...

Natamla/na nikishamla itakuwa ndo bhasi tena..

Na hapo ndo wanakujaga kusema umekipata ulichokuwa unakiitaji/kutafuta umeanza kuniona wa kazi gani...

Kasahau yeye ndo chanzo cha kujitengenezea mazingira ya mimi kula na kusepa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaah.
Kumbe !!
Na ndiyo maana Mimi nikishamzungusha mtu sana , naamuaga moja kwa moja kutokumpa papuchi.
Hii mbinu nilishafundishwaga.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom