Wakuu mbona wanawake wako hivi

Kuna mwanamke mmoja ana hii tabia/tatizo

Nisipomtafuta mimi yeye ndo bhasi tena ila akiwa na shida ananitafuta

Leo ni siku ya pili hatujawasiliana wala kutafutana....

Najua akija kunitafuta ni kizinga tu...

Namvutia muda tu maana bado sijamgegeda....

Nikimugegeda tu itakuwa ndo bhasi tena......

Sent using Jamii Forums mobile app
Na jeur yake ipo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii maana yake we fight for love. Wakati mwingine unaweza ukasubuliwa mda mrefu na ukaja kuoa kabisa but also unaweza pendwa mapema kwa urahisi kabisa na hauchukui round unapigwa kibuti. Love is so complex especially to maintain. Na ili yadumu lazima mmoja awe mtumwa (fala) wa mwenzake out of that love does not exist

Yes you can fight for someone who loves you ila ukifight ili mtu akupende ni sawa na kupiga ngumi ukutani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakuu,

Nimepitia mahusiano mengi na wanawake, hivi kwanini wanawake wengi ukiwatafuta hawakutafuti ila akiwa na shida tu. Ila akiwa hana shida na wewe ndo hakutafiti kabisa.

Hivi hawa viumbe huwa wanataka nini. Huwa siwasomi kabisa hawa watu jamani.
Hao sio wanawake ni wasichana......tafuta mwanamke ufanye maisha achana na wasichana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuseme tuu ukweli. Ukipata mtubwa desin hiyo ni kwa ajili ya benefit flan. So ameona opportunity ndo maana . Akiwa kimya na wewe kuwa kimya. Na yeye akija kuwa kimya. Kama kweli anashida mwambie mkutane. Alafua hapo mwambie ukweli. Ndk dawa yao. Siku zote mwanamke ukimwambie ukweli hawataki kusikia na wanakuwa kisirani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom