thanos
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,118
- 1,179
Hii ndo ina nitesa mimi sahivi... nahitaji kutulia na mmoja lakini nashindwa kabisaHawawezi kuelewa wanajidai vichwa ngumu. Wanaona raha kugonga na kusepa hawajui kuwa wanajiumiza wao wenyewe. Wanaathirika kisaikolojia na wataishia kuona mwanamke ni wa kugonga na kusepa tu kumbe Kuna mambo matamu ukipenda unapopendwa.
Ni kwasababu tangu mwanzo hukuwachukulia serious, jaribu kumpenda mmoja ambaye yupo simple naamini atarudisha mapenzi kwako. Punguza kuokotaokotaHii ndo ina nitesa mimi sahivi... nahitaji kutulia na mmoja lakini nashindwa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwasababu tangu mwanzo hukuwachukulia serious, jaribu kumpenda mmoja ambaye yupo simple naamini atarudisha mapenzi kwako. Punguza kuokotaokota
Pole sanaMwanzo nilidhani labda kwakua na date na hawa galz vyuma basi ndo maana situliii nao... nika anza kuchukua wa hovyo lakini bado yale yale... baada ya miezi kadhaaa tunakua tuna ugomvi tu mpaka sio poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi ishi na mtu asiyenipenda. Haitatokea! Nikiona sipendwi nakaa pembeni taabu ya nini?Hili janga LA kupenda usipopendwa haliko kwa sisi wanaume tu, hata ww huenda kuna mwanaume unampenda lkn huyo mwanaume hajui kama una-exist Meeyah
Herufi moja h imeondoa maana ya sentensi nzima na imekuwa kinyume chake.
Nalipiza tu, utanisumbuaje muda wote huo na haunipi jibu la no direct yani unaleta zile sitaki nataka, yani usijiroge ukanipaHivi na unavyomgegeda unamwacha.
Ni inakuwa haumpendi au ni umeamua kulipiza tuu?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hapo upo choo cha kike. Mwanamke anayekupenda mwanzo mwa uhusiano anakuwa busy sana na ww hata km hana salio atakutumia tafadhali nipigie. Huyo hana mapenzi na ww. Vuta chombo kingineHabarini wakuu,
Nimepitia mahusiano mengi na wanawake, hivi kwanini wanawake wengi ukiwatafuta hawakutafuti ila akiwa na shida tu. Ila akiwa hana shida na wewe ndo hakutafiti kabisa.
Hivi hawa viumbe huwa wanataka nini. Huwa siwasomi kabisa hawa watu jamani.
Hahahaha,, mkuu error typing si unajua tupo kwenye mishe mishe za kutafuta mkate wa kila siku powa nimekusoma mkuuHerufi moja h imeondoa maana ya sentensi nzima na imekuwa kinyume chake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mbona hamtuvumili au sisi sio binadamu wenzenu tumejeuka sokweWavumilie tu binadamu wenzako ndio walivyo
It is rubbish loving where u are not belong
Wanaume tufahamu thamani yetu jaman, mwanamke akivunga kuuchuna naww uchune mpaka ashike adabu.
Wanaume tunapaswa kuishi kwa kujiamini[emoji123][emoji123][emoji123]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanini ukishamgegeda binti anabadilika na kuanza kukufukuzia. Ebu niibie Siri bibieNdiyo, ukiona mwanaume umemzungusha muda, na anakila sababu ya kukupotezea ila hafanyi hivyo[emoji23][emoji23].
Jiandae akikugegedaa ndiyo kwisha habari yako. Utaanza wewe kumfukuzia sasa.
Kumbe Khantwe ulikuwa haujui?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
[emoji106][emoji106]hapo umenena mkuu wao ndio watutafute sie. sii ndio vidume bwana yaani unatakiwa full confidence alafu mchuno wa nguvu mpaka wakutafute wenyewe
Nyie mbona hamtuvumili au sisi sio binadamu wenzenu tumejeuka sokwe
Wanaume tufahamu thamani yetu jaman, mwanamke akivunga kuuchuna naww uchune mpaka ashike adabu.
Wanaume tunapaswa kuishi kwa kujiamini[emoji123][emoji123][emoji123]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiombe ukutane na mimiHahahhaah.
Kumbe !!
Na ndiyo maana Mimi nikishamzungusha mtu sana , naamuaga moja kwa moja kutokumpa papuchi[emoji23][emoji23][emoji23].
Hii mbinu nilishafundishwaga.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.