Wakuu hapa kuna mimba?

Endelea kunisoma mkuu, maisha ya comments hayana uhalisia wangu kwa asilimia kubwa sana nna masikhara mengi sana ila uhalisia ni tofauti. Na ndio tabia za sisi Keyboard woria.
Basi ni vizuri kama wewe utakuwa ni "fake beta male" na sio "real beta male" kma ambavyo nimekuwa nikikuchukulia, japo kwa hii post yako ya leo inaonesha wewe nj real beta ndio maana huyo demu anakuchezea akili kwa kutaka ulee mimba fake.
 

Uzi huu SIO CHAI

Umeweka uzi saa nane usiku sio mchezo stress zake πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Huu ufafanuzi ni hatari πŸ˜‚πŸ˜‚
Half american usimsikilize huyu
 
Huyo bibie aliishia la ngapi mpk asijue namna ya kutumia kalenda hata kama hawezi hapo si ana simu kubwa si apakue application ya period track hiyo ina track hadi dhambi

Mwambie a download my calendar itamsaidia kujua yupo siku gani.. huwa haidanganyi labda tu akosee mwenyewe kuweka taarifa ama mzunguko wake uwe haueleweki
Mimi yangu nimeiset kabisA inanileteaga notification nikiwa denger ama nikikaribia period

Mfano hiyo attachment hapo
 

Attachments

  • 2992CABD-1BED-4513-810A-91599BFC6012.jpeg
    43.9 KB · Views: 17
Kwahiyo hakuna matumaini ya yeye kuingia hedhi sio kwamba imechelewa tu? Kama n mimba mbona hamna dalili nyingine yeyote.
Sio kila mjamzito atatambua dalili za mimba kuwemo tena kama ni mara ya kwanza
Ila akiwa makini atagundua uwepo wa mimba siku 3 tu baada ya sex

Uhakika ni kununua kipimo cha buku apime
Mimba haipimwi kwa macho mkuu

Kingine inawezekana tu mvurugiko wa homon siku 4 tu mbona chache… wengine hadi miezi3 hola
 
Kwani wewe hofu yako ni nini!!,huyo si ni mkeo!!,,tulia, matokeo yoyote kubaliana nayo,usikimbie majukumu yako, maana kuanza kupendana hadi kukutana kimwili, sidhani kama hukujua matokeo yake!!
 
Ikiwa mlilombana kati ya March 29 na April 6 au 7 uwezekano mkubwa imoπŸ˜πŸ€Ύβ€β™‚πŸ€Όβ€β™€πŸ‘¨β€πŸ‘¨β€πŸ‘¦πŸ‘¨β€β€οΈβ€πŸ’‹β€πŸ‘¨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…