Wakurugenzi wa Makampuni ya Mafuta ya PUMA, Oryx, TOTAL na Lake Oil wakamatwa na Polisi kwa kuvuruga mfumo wa usambazaji!

Mkuu price ya mafuta inategemea na vitu vingi sana. Bei ya shipping, gharama ya kupakua na kuhifadhi, gharama ya internal distribution, bado kodi kibao, wafanyakazi na gharama za kulipia petrol stations. Hivyo sikuona haja ya kutumia bunduki kuwatisha. Serikali inanguvu sana
Ingewaita wakae waongee. Hata wao sio wendawazimu, wanasababu zao. Naomba sana msitupeleke Mtwara na Lindi na Mtibwa na Kilombero plus TPC ( korosho na sukari). Piga ua serikali haiwezi kusambaza mafuta hata mkoa mzima tu wa Dar. Hata hapo Dodoma japo ni chimbo lao hawataweza kufika Dumila. Wataishia hapo Bungeni tu. Mark my words.
Were utakuwa mmojawapo. Mmetupiga sana sasa tumepata mkombozi. Kila halimashauri inatakiwa kuwa na kituo cha mafuta. Gari za serikali hazihujumiwi tena
 
Umekariri maisha
Hao ni.mafisadi tu,wanaona.vibata sana kuuza petroli kwa 1500
Zamani mambo yalikua hobela hobela,serikali inajua na.ina taarifa kuliko wewe
 
Were utakuwa mmojawapo. Mmetupiga sana sasa tumepata mkombozi. Kila halimashauri inatakiwa kuwa na kituo cha mafuta. Gari za serikali hazihujumiwi tena
safi mno serikali ichukue 100% biashara hii itimue wawekezaji na ikubaliane na nchi jirani tuwauzie na wao! hiki ni chanzo kizuri cha mapato ili kufidia kodi kupunguzwa kwa maduka ya walalahoi
 
It
Hilo ni zengwe Jiwe anataka kupiga pesa.Hilo ni kosa la uhujumu uchumi halina dhamana. Kama kawaida wataenda kumalizana nje ya mahakama na DPP.Hapo kila mmoja lazima apigwe bilioni kadhaa.Rejea kesi za kina MD wa Vodacom na kina Deo Mwanyika!

Watanyabiashara Wanapata shida Sana kipindi Hiki... Waache waisome namba.
 
kiongozi , Magu hacheki na kima, achia tawi uliloshikilia kuwa hatuwezi mkuu kwa uongozi wa Magu kila kitu kinaenda na tukiamua tutawin na huko pia punguza kasumba mambo si kama wakati ule

Revealed: 7 oil firms control over 67pc of market share

37BCAD69-16D0-430E-B342-BED8D8A56D22.jpeg

Imebidi ni google unapotaka kuangalia how things will work out in oil retail unahitaji data kujua how you will be affected

Umeona hapo Oryx 15.5% Puma 14.4% na Total 8.5% share yao kwa pamoja ya soko ni 38.4% jumlisha na Lake Oil inazidi 40%.

Sasa usidhani korosho hizo uchezee, ukifingia hao kichwa kichwa utatia akili aichukui mwezi uchumi utakuwa kwenye hali mbaya hatari. Embu acheni kujifurahisha.
 
Mkuu wanamjua jiwe hataniwi. Wewe hukuona ile habari ya kufungua petrol station ya serikali. I think it was in Dodoma. So kiama chao kinakaribia. Ila mkuu wewe fikiria mtu kutoka full tank ya 125k to 75k then wajinga wachache wanataka kuturudisha Misri wakati wenzao tushaanza kuenjoy maisha ya Kanani
Magufuli ni noma
 
Revealed: 7 oil firms control over 67pc of market share

View attachment 1492872

Imebidi ni google unapotaka kuangalia how things will work out in oil unahitaji data kujua how you will be affected

Umeona hapo Oryx 15.5% Puma 14.4% na Total 8.5% share yao kwa pamoja ya soko 38.4% jumlisha na Lake Oil inazidi 40%.

Sasa usidhani korosho hizo uchezee, ukifingia hao kichwa kichwa utatia akili aichukui mwezi uchumi utakuwa kwenye hali mbaya hatari. Embu acheni kujifurahisha.
mkuu mawazo ya kibeberu hayo! ni kuwatimua tu
 
Wakati tunafurahia yoote kuna familia hapa zitapata taabu sana.

Hasa zile zinazowajibika kwa Gas stations hizo.
 
Magu awatimue wote hao kwa kuficha mafuta bei ipande serikali itaifishe hii biashara ni chanzo kikubwa cha mapato

Hivi unaijua biashara ya mafuta ilivyo?... Serikali Haina uzoefu wa biashara...

Mafuta ya petrol huwa Yana evaporate na kupungua ujazo hiyo ni hasara na wizi ukitokea hiyo Ni hasara kwa mlipa Kodi..
 
mkuu mawazo ya kibeberu hayo! ni kuwatimua tu
[SUP]
014ECE3A-3B15-4177-8CCE-50DBB9178689.jpeg
[/SUP]

[SUP]
1D7B1B74-F1B0-47FE-869F-49107675A858.jpeg
[/SUP]

Kesho nchi ikiingia vitani ni storage za watu kama hawa serikali ndio itaanza kutaifisha maana sisi wenyewe hatuna. Kuna mambo mengine kupitia uwekezaji ni kama tunapata free ride principles. Kasheshe sasa na adui kwenye vita lengo la kwanza ni kulipua reserve za mafuta. Kama serikali huna budi kuwa na vyako ulivyovificha ardhini.

Ni hivi kama hawana wataalamu wa maswala ya Strategic za mafuta huko Ewura na TPDC wakae mbali na kuvuruga hiyo it is a very costly economic business.
 
Revealed: 7 oil firms control over 67pc of market share

View attachment 1492872

Imebidi ni google unapotaka kuangalia how things will work out in oil retail unahitaji data kujua how you will be affected

Umeona hapo Oryx 15.5% Puma 14.4% na Total 8.5% share yao kwa pamoja ya soko ni 38.4% jumlisha na Lake Oil inazidi 40%.

Sasa usidhani korosho hizo uchezee, ukifingia hao kichwa kichwa utatia akili aichukui mwezi uchumi utakuwa kwenye hali mbaya hatari. Embu acheni kujifurahisha.
Acha yoga were serikali ikiamuabinaweza kwanibtunanhazinankubwa ya usd
 
571E4798-C475-4522-9A98-0D743E6C838D.jpeg

Yaani Puma mwenye 14.4% of market shares ndio kwanza anamiliki 52 retail stores kwa hesabu za haraka roughly nchi nzima atujafikisha ata vituo 400 vya mafuta mpaka leo.

Ni sector changa mno kuvuruga na mafuta ni uchumi, supply yake si kitu cha kuchezea anyway all the best.
 
View attachment 1492883

Wakileta ujingantunataigisha on a wanavyotesa watu
 
Mkuu wanamjua jiwe hataniwi. Wewe hukuona ile habari ya kufungua petrol station ya serikali. I think it was in Dodoma. So kiama chao kinakaribia. Ila mkuu wewe fikiria mtu kutoka full tank ya 125k to 75k then wajinga wachache wanataka kuturudisha Misri wakati wenzao tushaanza kuenjoy maisha ya Kanani
Hujui kuwa corona ndio imesabbisha?
 
View attachment 1492883
Yaani Puma mwenye 14.4% of market shares ndio kwanza anamiliki 52 retail stores kwa hesabu za haraka roughly nchi nzima atujafikisha ata vituo 400 vya mafuta mpaka leo.

Ni sector changa mno kuvuruga na mafuta ni uchumi, supply yake si kitu cha kuchezea anyway all the best.

Serikali ina hisa % ngapi huko puma?
 
Polisi jijini Dsm imewakamata wakurugenzi wakuu wa kampuni za mafuta za Puma, Total na Oryx waliokuwa kwenye kikao cha kibiashara.
Kadhalika polisi wanamsaka mkurugenzi mkuu wa Lake Oil ili aunganishwe na wenzake.

Imeelezwa wakurugenzi hao wanadaiwa kuvuruga mfumo wa usambazaji mafuta nchini.

Chanzo: ITV habari!
Kwanini wao wasisambaze mpaka waanze kukamata watu?
 
Sasa si ndo biashara?,mfano mwaka huu watu wamestock mpunga kisha baadae kuuza kwa bei juu,
Hapa mi naona hii biashara ya mafuta ifanywe na serikali,hawa jamaa wafanye kazi za gereji kurepair magari,etc
Serikali ifanye biashara ya mafuta?...sidhani kama hilo litakuwa suluhisho la kudumu rejea sakata la korosho, sukari.
 
Back
Top Bottom