Wakurugenzi wa Makampuni ya Mafuta ya PUMA, Oryx, TOTAL na Lake Oil wakamatwa na Polisi kwa kuvuruga mfumo wa usambazaji!

Regulatory nyingi Tanzania ni kama mahakimu mahakamani. Tuna taasisi nyingi ambazo operation cost zao hutegemea wadau wanaowasimamia na siyo oc toka serikalini.
Hivyo mfanyabiashara amebebeshwa mzigo na kupelekea mwananchi wa kawaida kununua bidhaa kwa gharama kubwa sana.
Nchi zote duniani kuna regulatory authorities za kuhakikisha haki za wadau zinalindwa iwe customers au suppliers etc
Na ndio maana unasikia kampuni kama Microsoft wanapigwa fine, Apple n.k
 
Hivi umeshajaribu kujiuliza kwa nini mashirika yote ya Uma yalikufa?!
yes nimesomea hizi vitu najua sana , kufa mashirika ya umma sababu ziko nyingi tofauti kwa wakati tofauti, ila sera mbovu na usimamizi toka juu kwa Rais ukiwa legelege wenye kulindana mashirika yanakufa kutokana ufisadi na uzembe

kwa Nyerere alikuwa msomi peke yake na alielemewa na kujenga siasa na si uchumi , wengine kina Mwinyi, Mkapa na Kikwete raia hawakuwa na hofu nao sana watu waliiba tu bila hofu kwa kuwa sera ya kulindana ilikuwa ndo utaratibu wa maisha

kwasasa Magu hataniwi anatumbua na kunyoosha wazembe wajuaji na mafisadi akisaidiwa na Takukuru na polisi ni wakati huu tu Mashirika ya umma yakianzishwa yatasimama na faida inaonekana,

ni wakati huu wa Magu tu anaeogopewa na wasaidizi wake kwa hofu ya kutumbuliwa na kuwekwa bayana machafu yao tunaweza kutekeleza sera ya uchumi inaitwa State Capitalism ( serikali kuwa mwekezaji mkubwa) na kuizika Ujamaa na Kujitegemea iliyopitwa na wakati na isiyotekelezeka!!

kiuchumi huu Ni wakati sahihi kwa serikali kutosikiliza mayowe ya hali ngumu na kukazana kujenga miundombinu na si kujali maisha ya watu manake kwa nchi ni masikini lazima Rais uchague kimoja aidha ujali infrastructure development (Magu) au social welfare.( wote waliobaki) .

Wakati huu wafanyakazi wa serikali wanaiba kidogo kwa hofu ya kutumbuliwa ndio muda sahihi kwa Magu kujaza miradi mikubwa ya kimkakati na serikali kuwekeza katika vyanzo vikubwa vya mapato kama mafuta, umeme madini na usafiri wa anga na kuwaachia raia kuwekeza kwenye viwanda na huduma

Magu akitoka madarakani nchi inaweza kuchukua sera ya Free Market Economy kwakuwa miundombinu inakuwa imeboreshwa sana
 
Nchi zote duniani kuna regulatory authorities za kuhakikisha haki za wadau zinalindwa iwe customers au suppliers etc
Na ndio maana unasikia kampuni kama Microsoft wanapigwa fine, Apple n.k
Hoja yangu ni kuwa na regulatory zinazotegemea michango ya mdau kujiendesha na si kutegemea ruzuku toka serikalini
 
Kuna kipindi wakati bei inashuka waliomba yasiagizwe sababu wanayo stock kubwa ili waendelee kuuza bei ya zamani lakini baada ya kupata stock mpya na bei kushuka bado wanaendelea kuficha mafuts ili kuonekane kuna uhaba na bei ipande hawa wafanyabiashara wa mafuta huu mchezo walikuwa wanafanya muda mrefu kwa hii biashara hata ukiongeza senti 10 unapiga pesa ya maana wacha wafungwe
 
Hoja yangu ni kuwa na regulatory zinazotegemea michango ya mdau kujiendesha na si kutegemea ruzuku toka serikalini
Hizo za huko nchi zingine pesa inatoka wapi?? Za kuendesha hizo regulatory authorities ?? Zinatoka BP , Shell ,Microsoft au zinatoka serikalini??
 
yes nimesomea hizi vitu najua sana , kufa mashirika ya umma sababu ziko nyingi tofauti kwa wakati tofauti, ila sera mbovu na usimamizi toka juu kwa Rais ukiwa legelege wenye kulindana mashirika yanakufa kutokana ufisadi na uzembe

kwa Nyerere alikuwa msomi peke yake na alielemewa na kujenga siasa na si uchumi , wengine kina Mwinyi, Mkapa na Kikwete raia hawakuwa na hofu nao sana watu waliiba tu bila hofu kwa kuwa sera ya kulindana ilikuwa ndo utaratibu wa maisha

kwasasa Magu hataniwi anatumbua na kunyoosha wazembe wajuaji na mafisadi akisaidiwa na Takukuru na polisi ni wakati huu tu Mashirika ya umma yakianzishwa yatasimama na faida inaonekana,

ni wakati huu wa Magu tu anaeogopewa na wasaidizi wake kwa hofu ya kutumbuliwa na kuwekwa bayana machafu yao tunaweza kutekeleza sera ya uchumi inaitwa State Capitalism ( serikali kuwa mwekezaji mkubwa) na kuizika Ujamaa na Kujitegemea iliyopitwa na wakati na isiyotekelezeka!!

kiuchumi huu Ni wakati sahihi kwa serikali kutosikiliza mayowe ya hali ngumu na kukazana kujenga miundombinu na si kujali maisha ya watu manake kwa nchi ni masikini lazima Rais uchague kimoja aidha ujali infrastructure development (Magu) au social welfare.( wote waliobaki) .

Wakati huu wafanyakazi wa serikali wanaiba kidogo kwa hofu ya kutumbuliwa ndio muda sahihi kwa Magu kujaza miradi mikubwa ya kimkakati na serikali kuwekeza katika vyanzo vikubwa vya mapato kama mafuta, umeme madini na usafiri wa anga na kuwaachia raia kuwekeza kwenye viwanda na huduma

Magu akitoka madarakani nchi inaweza kuchukua sera ya Free Market Economy kwakuwa miundombinu inakuwa imeboreshwa sana
Baadae ndio serikali inaweza kuuza shares e.g. 50% or 51% as long as ktk mngt na ktk kutengeneza financial reports kunakuwa na uwezo hivyo kujua ukweli wa mambo sio katika hali hii ya kitojua balance ya sukari ipoje, ya mafuta gas etc
 
Wafanyabiashara walinunua mafuta kwa bei kubwa hawakuyauza yote baada ya corona kupita hawajarejesha pesa zao faida na kodi wamelipa zote, ghafra mkashusha Bei kwa mafuta ya zamani ambayo alinunua Bei kubwa na kodi mlichukua huoni kama ni kuwaonea wafanyabiashara? Bei elekezi ijikite kwenye mafuta ya rahisi yakiyokuja na meli mpya siyo kushusha bei kwa mafuta ya zamani kisha kumpeleka mfanyabiashara jela kumpa kesi ya uhujumu uchumi, huo ni uonevu mkubwa sana na kama CCM wanataka pesa za kampeni ni kwa nini wasiwaombe msaada kwa wema kuliko kutumia mbinu hiyo haramu.
Ndio maana Serikali ilikuja na mfumo wa efd hii mwisho wa siku inakupa sales by products na vs purchases by products , ukitengeneza fs zako unapata faida ni ngapi na corporate taxi ni ngapi
 
Ukinunua gunia la mahindi kwa laki moja ukalipa kodi lazima uuze kwa laki na ishirini ili kufidia gharama zako zote, ikija kauli kuwa uuze gunia kwa elfu 80 pasipo kujali kuwa ulinunua kwa laki moja ndipo Tatizo huanzia na lazima utahitaji kutunza mahindi yako usubirie bei ipande upate kurejesha pesa zako na faida, huu ni mfano kwa wale wafanyabiashara walionunua mafuta kwa bei kubwa lakini sasa wameambiwa washushe pasipo kushushiwa kodi pia lazima watakaa na mafuta yao kutafakari kwanza.
Je wanayo mahesabu ya kuonyesha manunuzi na majuzi yao na stock zao ?
Kwa uelewa wangu mdogo wa stock mngt kuna system inaitwa first in, first out , sasa old stock either ulionunua bei kubwa au ile ulionunua kwa bei ya chini itakuwa imetoka, sasa mambo mengine yanaenda kwenye mahesabu yako mwisho wa mwaka mauzo vs manunuzi, utapata faida au hasara, na kufanya analysis ya hasara imetokana na selling price vs cost za manunuzi na related cost au mambo mengine??
Sasa sijui unajua mambo haya au nampigia mbuzi guitar
 
yes nimesomea hizi vitu najua sana , kufa mashirika ya umma sababu ziko nyingi tofauti kwa wakati tofauti, ila sera mbovu na usimamizi toka juu kwa Rais ukiwa legelege wenye kulindana mashirika yanakufa kutokana ufisadi na uzembe

kwa Nyerere alikuwa msomi peke yake na alielemewa na kujenga siasa na si uchumi , wengine kina Mwinyi, Mkapa na Kikwete raia hawakuwa na hofu nao sana watu waliiba tu bila hofu kwa kuwa sera ya kulindana ilikuwa ndo utaratibu wa maisha

kwasasa Magu hataniwi anatumbua na kunyoosha wazembe wajuaji na mafisadi akisaidiwa na Takukuru na polisi ni wakati huu tu Mashirika ya umma yakianzishwa yatasimama na faida inaonekana,

ni wakati huu wa Magu tu anaeogopewa na wasaidizi wake kwa hofu ya kutumbuliwa na kuwekwa bayana machafu yao tunaweza kutekeleza sera ya uchumi inaitwa State Capitalism ( serikali kuwa mwekezaji mkubwa) na kuizika Ujamaa na Kujitegemea iliyopitwa na wakati na isiyotekelezeka!!

kiuchumi huu Ni wakati sahihi kwa serikali kutosikiliza mayowe ya hali ngumu na kukazana kujenga miundombinu na si kujali maisha ya watu manake kwa nchi ni masikini lazima Rais uchague kimoja aidha ujali infrastructure development (Magu) au social welfare.( wote waliobaki) .

Wakati huu wafanyakazi wa serikali wanaiba kidogo kwa hofu ya kutumbuliwa ndio muda sahihi kwa Magu kujaza miradi mikubwa ya kimkakati na serikali kuwekeza katika vyanzo vikubwa vya mapato kama mafuta, umeme madini na usafiri wa anga na kuwaachia raia kuwekeza kwenye viwanda na huduma

Magu akitoka madarakani nchi inaweza kuchukua sera ya Free Market Economy kwakuwa miundombinu inakuwa imeboreshwa sana
Siyo Tanzania hii ambayo ufisadi upo kwenye mashirika ya umma mpaka sasa licha ya ukali wa magufuli, viwanda vingi hajavifufua na hata kesu za waliofirisi kashindwa biashara za taasisi za umma hazina ushindani na watu binafsi, ubadhirifu upo tena ufisadi wa sasa ni wa kijanja, mtu anaiba anajua atatumbuliwa anaweka akiba akifunguliwa kesi analipa faini anakuwa huru, Magufuli akirejesha Serikali ya CCM ifanye biashara ajue kuwa anatakiwa kubadili katiba awe Rais wa milele alinde hizo biashara za Serikali kwani akitoka madarakani biashara zote zitakufa week moja baada ya kutoka ikulu kurejea chato.
 
Ndio maana Serikali ilikuja na mfumo wa efd hii mwisho wa siku inakupa sales by products na vs purchases by products , ukitengeneza fs zako unapata faida ni ngapi na corporate taxi ni ngapi
Kazi kubwa ya efd mashine ni kumonitor mauzo ya mfanyabishara lakini, linapokuja suala la umenunua kiasi gani hilo hajali. Tambua sheria ya kodi mbogo huangalia umeuza nn
 
Je wanayo mahesabu ya kuonyesha manunuzi na majuzi yao na stock zao ?
Kwa uelewa wangu mdogo wa stock mngt kuna system inaitwa first in, first out , sasa old stock either ulionunua bei kubwa au ile ulionunua kwa bei ya chini itakuwa imetoka, sasa mambo mengine yanaenda kwenye mahesabu yako mwisho wa mwaka mauzo vs manunuzi, utapata faida au hasara, na kufanya analysis ya hasara imetokana na selling price vs cost za manunuzi na related cost au mambo mengine??
Sasa sijui unajua mambo haya au nampigia mbuzi guitar
Mkuu nakuelewa vizuri sana vyote unavyosema wanavyo lakini utawala huu wakiamua wakunyooshe hata ukiwa na document zote wanakunyoosha tu
 
Ngozi nyeusi tumekuwa viumbe wa ajabu sana.
Nikiona mfanyabishara anasumbuliwa huwa naumia sana maana najua usumbufu wa kufanya biashara hapa Tanzania
Mkuu pole sana, ukiangalia kwa jicho pevu Tanzania wafanyabiashara ni wachache mno, yapo maharamia ndani ya ngozi ya ufanya biashara...watu amabao wanahonga watumishi wa mabwawa ya kuzalisha umeme wafungulie maji ili kuwepo na mgao wa umeme, wafanyabiashara wanoficha bidhaa ili kutengeneza uhaba bandia, wafanyabishara ambao unanunua bidhaa ya milioni 1 wanakuandikia risiti ya laki moja,...
 
Hayo maharamia yametengenezwa na wanasiasa. Mbona jamaa washikaji zake sasa hawasumbuliu na wanavunja sheria kila leo.
Tunaishi maisha ya visasi kila siku
 
ikumbukwe kuwa baada ya magufuli ni Zamu ya Zanzibar kutoa Rais wa jamhuri ya muungano na endapo Rais atakuja kuwa kama mwinyi lazima Serikali ijiandae kuwalipa fidia wengi walionya’ganywa viwanja vyao, mali zao, viwanda vyao ndipo Serikali itakuja kufirisika kwa kulipa fidia madeni, mfano halisi ni zile nyumba zilitaifishwa kipindi cha nyerere lakini mwinyi akaja kuwarejeshea baadhi yao nyumba zao na mali zao, hata meli ya samaki walishinda kesi wakalipwa fidia kubwa, kituo cha mafuta mwanza nao walipwa na wengineo wengi huko mbeleni Serikali ya CCM itaenda kufirisika kwa kuwalipa fidia wale wote waliofanyiwa uonevu kwenye utawala huu wa Naibu Rais ndugu Daud Bashite na mtukufu.
 
CCM fanyeni yote lakini mkumbuke kubadili katiba ili magufuli aendelee kuwepo ikulu ayalinde hayo maana akija Rais mwingine asiye na mahakamaccm ujue Taifa litafirisika kama Ugiriki kwa kulipa fidia madeni.
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom