Wakristo muwe na heshima aisee

Wakristo muwe na heshima aisee

Habari za asubuhi

Yani mtu unaenda kwa mtu tena leo Eid unanikutaka nimetulia naangalia vitasa marudio unachukua rimoti unaweka vipindi vya kikristo wachungaji na manabii feki toka saa 2 asubuhi hadi muda huu na hakuna dalili ya kuvibadilisha.

Mimi mwenyew ni kobaz na hujanikuta nimeweka vipindi vya dini licha ya leo kuwa siku muhimu kwetu, au anataka niseme nionekane nina roho mbaya?

Tukiwa kwa watu tujiheshimu aisee mambo madogo madogo tuyaache

Hilo tu
Nabii wa uongo mkuu ni Muhammad yani huyo ndio bingwa waom
 
Habari za asubuhi

Yani mtu unaenda kwa mtu tena leo Eid unanikutaka nimetulia naangalia vitasa marudio unachukua rimoti unaweka vipindi vya kikristo wachungaji na manabii feki toka saa 2 asubuhi hadi muda huu na hakuna dalili ya kuvibadilisha.

Mimi mwenyew ni kobaz na hujanikuta nimeweka vipindi vya dini licha ya leo kuwa siku muhimu kwetu, au anataka niseme nionekane nina roho mbaya?

Tukiwa kwa watu tujiheshimu aisee mambo madogo madogo tuyaache

Hilo tu

hii post inamuhusu mgeni wako wala usihukumu watu wote....
Ingetosha kumalizana naye kimya kimya wala hukuwa na haja ya kuleta huku jukwaani
 
Nikimwambia ntaonekana nina roho mbaya nafikisha ujumbe humu maana wapo pia humu wenye tabia hizo
Humu sasa ndiyo unaonyesha unafiki wa hali juu, ukweli humuweka mtu huru bora ungemwambia unavyojisikia pasina kumung'unya maneno jinsi atakavyoyachukulia unayomuambia that's not your problem.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom