Wakristo muwe na heshima aisee

Wakristo muwe na heshima aisee

Habari za asubuhi

Yani mtu unaenda kwa mtu tena leo Eid unanikutaka nimetulia naangalia vitasa marudio unachukua rimoti unaweka vipindi vya kikristo wachungaji na manabii feki toka saa 2 asubuhi hadi muda huu na hakuna dalili ya kuvibadilisha.

Mimi mwenyew ni kobaz na hujanikuta nimeweka vipindi vya dini licha ya leo kuwa siku muhimu kwetu, au anataka niseme nionekane nina roho mbaya?

Tukiwa kwa watu tujiheshimu aisee mambo madogo madogo tuyaache

Hilo tu
Wakristo wanaingiaje hapo mkuu

Ungedili TU na huyo jirani yako

Ukristo ni moja ya dini ya hiari hulaximishwi
 
Habari za asubuhi

Yani mtu unaenda kwa mtu tena leo Eid unanikutaka nimetulia naangalia vitasa marudio unachukua rimoti unaweka vipindi vya kikristo wachungaji na manabii feki toka saa 2 asubuhi hadi muda huu na hakuna dalili ya kuvibadilisha.

Mimi mwenyew ni kobaz na hujanikuta nimeweka vipindi vya dini licha ya leo kuwa siku muhimu kwetu, au anataka niseme nionekane nina roho mbaya?

Tukiwa kwa watu tujiheshimu aisee mambo madogo madogo tuyaache

Hilo tu
Tuondolee ujinga wako we kobazi.

Mtu mmoja kakushinda unakimbilia jamvini?

Ngoja akupige makofi kwanza ili uzinduke.
 
Ukimkaribisha mlokole ndani ni umejihatarisha maisha yako na hata familia yako umeitia kwenye hatari kubwa , kichaa chake kikipanda anaweza hata wachomea ndani akasema kapewa maelekezo na roho mtakatifu
 
Tuondolee ujinga wako we kobazi.

Mtu mmoja kakushinda unakimbilia jamvini?

Ngoja akupige makofi kwanza ili uzinduke.
Tuondolee ujinga wako we kobazi.

Mtu mmoja kakushinda unakimbilia jamvini?

Ngoja akupige makofi kwanza ili uzinduke.
Aisee ukifika kwa mtu kua mpole acha ujuaji na mambo ya dini mpeleke kanisan au msikitini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom