Nipo kwenye list nini😂Inshallah tutaiona one day
Unataka nijichanganye kama maadui wanavyotamani😂HApana japo naitaman
Huruma tena🫢Hamna nivile tu nataka kuiona ya seroooo naww ujichanganyi ni vilee tu utanionea hurumaaaa
Tuhurumiane tu mwenyekiti mwenyew nipo hivyo hivyo kama wewe!Ndio nilivo mfupi mweus na kitambi uwez nipenda utanihurumia tu
Habari za asubuhi
Yani mtu unaenda kwa mtu tena leo Eid unanikutaka nimetulia naangalia vitasa marudio unachukua rimoti unaweka vipindi vya kikristo wachungaji na manabii feki toka saa 2 asubuhi hadi muda huu na hakuna dalili ya kuvibadilisha.
Mimi mwenyew ni kobaz na hujanikuta nimeweka vipindi vya dini licha ya leo kuwa siku muhimu kwetu, au anataka niseme nionekane nina roho mbaya?
Tukiwa kwa watu tujiheshimu aisee mambo madogo madogo tuyaache
Hilo tu
Haina noma mwanang..HApo ngoma draw siku ukiniona PM unijibu ntakua na jambo langu na jambo langu ni kupata angle
Kwani nipo jukwaa gani humu..Habari za asubuhi
Yani mtu unaenda kwa mtu tena leo Eid unanikutaka nimetulia naangalia vitasa marudio unachukua rimoti unaweka vipindi vya kikristo wachungaji na manabii feki toka saa 2 asubuhi hadi muda huu na hakuna dalili ya kuvibadilisha.
Mimi mwenyew ni kobaz na hujanikuta nimeweka vipindi vya dini licha ya leo kuwa siku muhimu kwetu, au anataka niseme nionekane nina roho mbaya?
Tukiwa kwa watu tujiheshimu aisee mambo madogo madogo tuyaache
Hilo tu
Mwenyekiti😆Mwanang tena?