Wakosoaji wa barua ya kiingereza ya Nape wao kiingereza ndio hawajui kabisa

Aliyekuambia hatujui kiingilishi ni nani?

Barua pia one page is enough.

Nani pia kakufundisha kugeuza page ya barua bila kuweka reference on top of second page.

Twendeni polepole Tanzania ni yetu siyo yako
 
Mimi nilishangaa kuona wote waliojinasibu wanajua kiingereza wakiponda barua ile kwa kiswahili, nilipojaribu kuwashauri wageuze zile sentensi zao za kuponda kuwa kiingereza aisee wakaanza kunitukana......kama kawaida yao nyumbu na haters.

Kuna mmoja ye kaishia kuzungushazungusha tu maneno bila kutuambia ilibidi iweje. Mwingine ndo akajifanya anajua zaidi akatafsiri sentensi yake aliyoitamka 'Nape hajui kiingereza' kuwa 'No English for Nape yesterday'
Aisee awa haters wakikosa hoja hugeuka kuwa viroja kwa hakika.
 
Hii nchi kuna vituko na vichekesho sana. Fikiria mtu amechukua barua ya wizara ya habari na kuzungushia vitu anavyoita ni makosa wakati sio makosa bali yeye ndio haelewi lugha ya kiingereza

Je watu wa aina hii hata mkataba wa Serikali ya Tanzania na Dubai wana uelewa nao. Maana hili ndio kundi linalosema mkataba una makosa wakati lugha ya kiingereza hawana uelewa nayo kabisa

Mfano amezungushia neno "INFORMATION" kuwa lina makosa kwa mawazo yake alitaka liandikwe Infomatiom

Lazima watu watambue maneno ya kiingereza yanavyotamkwa siyo ndivyo yanavyoandikwa

Lazima watu watambue hakuna tafsiri ya moja kwa moja toka kiswahili kwenda kiingereza kutokana na kiswahili kukosa misamiati ya kutosha

Mfano" See you tomorrow " kwa kiswahili kila mtu ataandika la kwake hapa JF

Watu wa staili hii hapa JF hawatufai kabisa. Wanapotosha mambo mengi sana hasa yanayoandikwa kwa lugha wasiyoifahamu

View attachment 2720399
Hahahaha nimeishia kucheka tu
 
Aliyekuambia hatujui kiingilishi ni nani?

Barua pia one page is enough.

Nani pia kakufundisha kugeuza page ya barua bila kuweka reference on top of second page.

Twendeni polepole Tanzania ni yetu siyo yako
Ewaaaaaaa saaafi sana
 
Mimi nilishangaa kuona wote waliojinasibu wanajua kiingereza wakiponda barua ile kwa kiswahili, nilipojaribu kuwashauri wageuze zile sentensi zao za kuponda kuwa kiingereza aisee wakaanza kunitukana......kama kawaida yao nyumbu na haters.

Kuna mmoja ye kaishia kuzungushazungusha tu maneno bila kutuambia ilibidi iweje. Mwingine ndo akajifanya anajua zaidi akatafsiri sentensi yake aliyoitamka 'Nape hajui kiingereza' kuwa 'No English for Nape yesterday'
Aisee awa haters wakikosa hoja hugeuka kuwa viroja kwa hakika.
Acha woga WEWE, jiamini!
 
Wewe ndio huna akili,Jibu hoja za mleta mada neno Information lina makosa gani kwenye barua ya Nape?

Wewe ndio mleta mada anawaita hamjui maana ya lugha
Hilo neno moja halina kosa ila namna maneno yalivyotumika, makosa ni mengi mno katika hiyo barua.

Kama wewe pia hujaona hayo makosa huna akili kama mleta mada na elimu kama unayo haijakusaidia kitu.
 
Mimi nilishangaa kuona wote waliojinasibu wanajua kiingereza wakiponda barua ile kwa kiswahili, nilipojaribu kuwashauri wageuze zile sentensi zao za kuponda kuwa kiingereza aisee wakaanza kunitukana......kama kawaida yao nyumbu na haters.

Kuna mmoja ye kaishia kuzungushazungusha tu maneno bila kutuambia ilibidi iweje. Mwingine ndo akajifanya anajua zaidi akatafsiri sentensi yake aliyoitamka 'Nape hajui kiingereza' kuwa 'No English for Nape yesterday'
Aisee awa haters wakikosa hoja hugeuka kuwa viroja kwa hakika.
Lipia ada hapa tukufundishe makosa yalipo.Unataka dezodezo?Uogope umande na kushindwa kubeba madaftari halafu ulete usumbufu wa rejareja?
 
Wakijimilikisha bandari milele wewe binafsi unapungukiwa kitu gani mwilini mwako au kwenye maisha yako?

Uwepo wa bandari umewahi kukufanya uwe kama Bakhresa au Mo Dewji?

Wahindi walipokonywa umiliki wa majengo kule Posta na upanga ,Je baada ya wao kupokonywa na kukabidhiwa wadhawa wahindi wamekuwa maskini?

Ukiambiwa ukomo wa bandari miaka 90,Utakuwepo wewe ?Chukua miaka 90 jumlisha na umri wako ,Utakuwepo?

Ukomo wa vitalu vya madini ni kati ya miaka 20 mpaka 50,Je tangu waanze kuchimba ukomo umekupa faida gani binafsi kwenye madini?

Achana na hoja za wanasiasa hao wanatafuta political mileage,Usipokuwa makini watakuburuza kila siku wanasias,

Hushangai wale wabunge 19 wanajua katiba lakini hawataki kutoka bungeni ,Watu wapo kimaslahi
Wewe una unafahamu mdogo kielimu. Hujui correlation kati ya raslimali za nchi na wananchi?
 
Wakijimilikisha bandari milele wewe binafsi unapungukiwa kitu gani mwilini mwako au kwenye maisha yako?

Uwepo wa bandari umewahi kukufanya uwe kama Bakhresa au Mo Dewji?

Wahindi walipokonywa umiliki wa majengo kule Posta na upanga ,Je baada ya wao kupokonywa na kukabidhiwa wadhawa wahindi wamekuwa maskini?

Ukiambiwa ukomo wa bandari miaka 90,Utakuwepo wewe ?Chukua miaka 90 jumlisha na umri wako ,Utakuwepo?

Ukomo wa vitalu vya madini ni kati ya miaka 20 mpaka 50,Je tangu waanze kuchimba ukomo umekupa faida gani binafsi kwenye madini?

Achana na hoja za wanasiasa hao wanatafuta political mileage,Usipokuwa makini watakuburuza kila siku wanasias,

Hushangai wale wabunge 19 wanajua katiba lakini hawataki kutoka bungeni ,Watu wapo kimaslahi
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔☹️☹️☹️☹️☹️ DP chukueni tu hiyo Bandari. Du siamini km hii meseji uliandika mwili na akili vikishirikiana.
 
😂😂😂😂😂Unavumilia au umechukia kwa maelezo hayo?Au umenyoosha mikono juu na kusema kwa sauti ya mtu aliye nyikani ..."nalemagaaa"...!
 
Kwakwelli. Nimewazaaa, nikachukia lakini mwishowe nikanyoosha mikono. Kwa maoni ya mdau nimeona hakuna jinsi ya kuizuia DP isichukue Bandari kama akili ya mtamzania ni ndogo hivyo
 
Hii nchi kuna vituko na vichekesho sana. Fikiria mtu amechukua barua ya wizara ya habari na kuzungushia vitu anavyoita ni makosa wakati sio makosa bali yeye ndio haelewi lugha ya kiingereza

Je watu wa aina hii hata mkataba wa Serikali ya Tanzania na Dubai wana uelewa nao. Maana hili ndio kundi linalosema mkataba una makosa wakati lugha ya kiingereza hawana uelewa nayo kabisa

Mfano amezungushia neno "INFORMATION" kuwa lina makosa kwa mawazo yake alitaka liandikwe Infomatiom

Lazima watu watambue maneno ya kiingereza yanavyotamkwa siyo ndivyo yanavyoandikwa

Lazima watu watambue hakuna tafsiri ya moja kwa moja toka kiswahili kwenda kiingereza kutokana na kiswahili kukosa misamiati ya kutosha

Mfano" See you tomorrow " kwa kiswahili kila mtu ataandika la kwake hapa JF

Watu wa staili hii hapa JF hawatufai kabisa. Wanapotosha mambo mengi sana hasa yanayoandikwa kwa lugha wasiyoifahamu

View attachment 2720399
IMG-20230817-WA0030.jpg
IMG-20230817-WA0031.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii barua iliandikwa kiswahili halafu ikatafsriwa katika kiingereza kwa kutumia google translation. Ndiyo maana ina kiingereza cha kiswahili na hivyo kuchanganya tenses na kutumia maneno ya kiiengerza yenye maana sahihi kwa kiswahili lakini katika kiingereza halisi yasingetumika. Sentense zote sita nilizosoma hapo zina makosa hayo hayo.
 
Hapana mkuu! Kiingereza kilichoandikwa kwenye barua hiyo ni kibovu.
Inavyoonekana mheshimiwa alikuwa anajaribu kutafsiri Kiswahili kwenda Kiingereza!
Ni kama aliandika kama draft na secretary wake akaogopa kumkosoa, akaamua kuichapa hiyo hiyo draft bila kurekebisha makosa!
 
Back
Top Bottom