GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
Hii nchi kuna vituko na vichekesho sana. Fikiria mtu amechukua barua ya wizara ya habari na kuzungushia vitu anavyoita ni makosa wakati sio makosa bali yeye ndio haelewi lugha ya kiingereza
Je watu wa aina hii hata mkataba wa Serikali ya Tanzania na Dubai wana uelewa nao. Maana hili ndio kundi linalosema mkataba una makosa wakati lugha ya kiingereza hawana uelewa nayo kabisa
Mfano amezungushia neno "INFORMATION" kuwa lina makosa kwa mawazo yake alitaka liandikwe Infomatiom
Lazima watu watambue maneno ya kiingereza yanavyotamkwa siyo ndivyo yanavyoandikwa
Lazima watu watambue hakuna tafsiri ya moja kwa moja toka kiswahili kwenda kiingereza kutokana na kiswahili kukosa misamiati ya kutosha
Mfano" See you tomorrow " kwa kiswahili kila mtu ataandika la kwake hapa JF
Watu wa staili hii hapa JF hawatufai kabisa. Wanapotosha mambo mengi sana hasa yanayoandikwa kwa lugha wasiyoifahamu