Kama akili ndio hizi, safari bado ndefu sana.Wakijimilikisha bandari milele wewe binafsi unapungukiwa kitu gani mwilini mwako au kwenye maisha yako?
Uwepo wa bandari umewahi kukufanya uwe kama Bakhresa au Mo Dewji?
Wahindi walipokonywa umiliki wa majengo kule Posta na upanga ,Je baada ya wao kupokonywa na kukabidhiwa wadhawa wahindi wamekuwa maskini?
Ukiambiwa ukomo wa bandari miaka 90,Utakuwepo wewe ?Chukua miaka 90 jumlisha na umri wako ,Utakuwepo?
Ukomo wa vitalu vya madini ni kati ya miaka 20 mpaka 50,Je tangu waanze kuchimba ukomo umekupa faida gani binafsi kwenye madini?
Achana na hoja za wanasiasa hao wanatafuta political mileage,Usipokuwa makini watakuburuza kila siku wanasias,
Hushangai wale wabunge 19 wanajua katiba lakini hawataki kutoka bungeni ,Watu wapo kimaslahi