UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 8,597
- 7,834
Unaonyesha wewe kichwani ni mweupe kama napeMfano amezungushia neno "INFORMATION" kuwa lina makosa kwa mawazo yake alitaka liandikwe Infomatiom

Hahahaha nimeishia kucheka tuHii nchi kuna vituko na vichekesho sana. Fikiria mtu amechukua barua ya wizara ya habari na kuzungushia vitu anavyoita ni makosa wakati sio makosa bali yeye ndio haelewi lugha ya kiingereza
Je watu wa aina hii hata mkataba wa Serikali ya Tanzania na Dubai wana uelewa nao. Maana hili ndio kundi linalosema mkataba una makosa wakati lugha ya kiingereza hawana uelewa nayo kabisa
Mfano amezungushia neno "INFORMATION" kuwa lina makosa kwa mawazo yake alitaka liandikwe Infomatiom
Lazima watu watambue maneno ya kiingereza yanavyotamkwa siyo ndivyo yanavyoandikwa
Lazima watu watambue hakuna tafsiri ya moja kwa moja toka kiswahili kwenda kiingereza kutokana na kiswahili kukosa misamiati ya kutosha
Mfano" See you tomorrow " kwa kiswahili kila mtu ataandika la kwake hapa JF
Watu wa staili hii hapa JF hawatufai kabisa. Wanapotosha mambo mengi sana hasa yanayoandikwa kwa lugha wasiyoifahamu
View attachment 2720399
Ewaaaaaaa saaafi sanaAliyekuambia hatujui kiingilishi ni nani?
Barua pia one page is enough.
Nani pia kakufundisha kugeuza page ya barua bila kuweka reference on top of second page.
Twendeni polepole Tanzania ni yetu siyo yako
Acha woga WEWE, jiamini!Mimi nilishangaa kuona wote waliojinasibu wanajua kiingereza wakiponda barua ile kwa kiswahili, nilipojaribu kuwashauri wageuze zile sentensi zao za kuponda kuwa kiingereza aisee wakaanza kunitukana......kama kawaida yao nyumbu na haters.
Kuna mmoja ye kaishia kuzungushazungusha tu maneno bila kutuambia ilibidi iweje. Mwingine ndo akajifanya anajua zaidi akatafsiri sentensi yake aliyoitamka 'Nape hajui kiingereza' kuwa 'No English for Nape yesterday'
Aisee awa haters wakikosa hoja hugeuka kuwa viroja kwa hakika.
Hilo neno moja halina kosa ila namna maneno yalivyotumika, makosa ni mengi mno katika hiyo barua.Wewe ndio huna akili,Jibu hoja za mleta mada neno Information lina makosa gani kwenye barua ya Nape?
Wewe ndio mleta mada anawaita hamjui maana ya lugha
Lipia ada hapa tukufundishe makosa yalipo.Unataka dezodezo?Uogope umande na kushindwa kubeba madaftari halafu ulete usumbufu wa rejareja?Mimi nilishangaa kuona wote waliojinasibu wanajua kiingereza wakiponda barua ile kwa kiswahili, nilipojaribu kuwashauri wageuze zile sentensi zao za kuponda kuwa kiingereza aisee wakaanza kunitukana......kama kawaida yao nyumbu na haters.
Kuna mmoja ye kaishia kuzungushazungusha tu maneno bila kutuambia ilibidi iweje. Mwingine ndo akajifanya anajua zaidi akatafsiri sentensi yake aliyoitamka 'Nape hajui kiingereza' kuwa 'No English for Nape yesterday'
Aisee awa haters wakikosa hoja hugeuka kuwa viroja kwa hakika.
Wewe una unafahamu mdogo kielimu. Hujui correlation kati ya raslimali za nchi na wananchi?Wakijimilikisha bandari milele wewe binafsi unapungukiwa kitu gani mwilini mwako au kwenye maisha yako?
Uwepo wa bandari umewahi kukufanya uwe kama Bakhresa au Mo Dewji?
Wahindi walipokonywa umiliki wa majengo kule Posta na upanga ,Je baada ya wao kupokonywa na kukabidhiwa wadhawa wahindi wamekuwa maskini?
Ukiambiwa ukomo wa bandari miaka 90,Utakuwepo wewe ?Chukua miaka 90 jumlisha na umri wako ,Utakuwepo?
Ukomo wa vitalu vya madini ni kati ya miaka 20 mpaka 50,Je tangu waanze kuchimba ukomo umekupa faida gani binafsi kwenye madini?
Achana na hoja za wanasiasa hao wanatafuta political mileage,Usipokuwa makini watakuburuza kila siku wanasias,
Hushangai wale wabunge 19 wanajua katiba lakini hawataki kutoka bungeni ,Watu wapo kimaslahi
Kavimbiwa numbu huyo.Anapiga mbwewe tu.🤔Wewe una unafahamu mdogo kielimu. Hujui correlation kati ya raslimali za nchi na wananchi?
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔☹️☹️☹️☹️☹️ DP chukueni tu hiyo Bandari. Du siamini km hii meseji uliandika mwili na akili vikishirikiana.Wakijimilikisha bandari milele wewe binafsi unapungukiwa kitu gani mwilini mwako au kwenye maisha yako?
Uwepo wa bandari umewahi kukufanya uwe kama Bakhresa au Mo Dewji?
Wahindi walipokonywa umiliki wa majengo kule Posta na upanga ,Je baada ya wao kupokonywa na kukabidhiwa wadhawa wahindi wamekuwa maskini?
Ukiambiwa ukomo wa bandari miaka 90,Utakuwepo wewe ?Chukua miaka 90 jumlisha na umri wako ,Utakuwepo?
Ukomo wa vitalu vya madini ni kati ya miaka 20 mpaka 50,Je tangu waanze kuchimba ukomo umekupa faida gani binafsi kwenye madini?
Achana na hoja za wanasiasa hao wanatafuta political mileage,Usipokuwa makini watakuburuza kila siku wanasias,
Hushangai wale wabunge 19 wanajua katiba lakini hawataki kutoka bungeni ,Watu wapo kimaslahi
😂😂😂😂😂Unavumilia au umechukia kwa maelezo hayo?Au umenyoosha mikono juu na kusema kwa sauti ya mtu aliye nyikani ..."nalemagaaa"...!🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔☹️☹️☹️☹️☹️ DP chukueni tu hiyo Bandari. Du siamini km hii meseji uliandika mwili na akili vikishirikiana.
Weka a/c no. na jinaLipia ada hapa tukufundishe makosa yalipo.Unataka dezodezo?Uogope umande na kushindwa kubeba madaftari halafu ulete usumbufu wa rejareja?
Kwakwelli. Nimewazaaa, nikachukia lakini mwishowe nikanyoosha mikono. Kwa maoni ya mdau nimeona hakuna jinsi ya kuizuia DP isichukue Bandari kama akili ya mtamzania ni ndogo hivyo😂😂😂😂😂Unavumilia au umechukia kwa maelezo hayo?Au umenyoosha mikono juu na kusema kwa sauti ya mtu aliye nyikani ..."nalemagaaa"...!
'Woga' kivipi sasa? Huko kukuomba wewe uongee kiingereza?!!!!Acha woga WEWE, jiamini!
Hii nchi kuna vituko na vichekesho sana. Fikiria mtu amechukua barua ya wizara ya habari na kuzungushia vitu anavyoita ni makosa wakati sio makosa bali yeye ndio haelewi lugha ya kiingereza
Je watu wa aina hii hata mkataba wa Serikali ya Tanzania na Dubai wana uelewa nao. Maana hili ndio kundi linalosema mkataba una makosa wakati lugha ya kiingereza hawana uelewa nayo kabisa
Mfano amezungushia neno "INFORMATION" kuwa lina makosa kwa mawazo yake alitaka liandikwe Infomatiom
Lazima watu watambue maneno ya kiingereza yanavyotamkwa siyo ndivyo yanavyoandikwa
Lazima watu watambue hakuna tafsiri ya moja kwa moja toka kiswahili kwenda kiingereza kutokana na kiswahili kukosa misamiati ya kutosha
Mfano" See you tomorrow " kwa kiswahili kila mtu ataandika la kwake hapa JF
Watu wa staili hii hapa JF hawatufai kabisa. Wanapotosha mambo mengi sana hasa yanayoandikwa kwa lugha wasiyoifahamu
View attachment 2720399
Hawezi kuona au hataki kuona?Au hajui tu namna ya kumaizi makosa?🤔
Hii barua iliandikwa kiswahili halafu ikatafsriwa katika kiingereza kwa kutumia google translation. Ndiyo maana ina kiingereza cha kiswahili na hivyo kuchanganya tenses na kutumia maneno ya kiiengerza yenye maana sahihi kwa kiswahili lakini katika kiingereza halisi yasingetumika. Sentense zote sita nilizosoma hapo zina makosa hayo hayo.Hii nchi kuna vituko na vichekesho sana. Fikiria mtu amechukua barua ya wizara ya habari na kuzungushia vitu anavyoita ni makosa wakati sio makosa bali yeye ndio haelewi lugha ya kiingereza