Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Kuna Omary Mtiga azania1993,
Mwalimu Chilumba tuko primary Mapambano alikuwa ana msifia sana huyo MTU kuwa amefanya makubwa huko sekondari. Sikuelewa mpaka nilipojiunga Azania ndio nikajua habari zske.
 
Hali wakuu?

Baada ya matokeo ya form iv kumekuwa na mihemko na tafsiri mbalimbali kuhusu shule za serikali na binafsi. mimi leo najiuliza pia nawauliza wenzangu.

1. Maendeleo ya watoto ambau huwa best katika hatua zinazoendelea kwa mfano high school na vyuo? je bado wanakuwa best huko? kazini nk?

2. Ubunifu wa hawa vichwa vyetu. je matokeo haya yanatafsiri uwezo wao wa ubunifu katika maisha?

3. Value for money; kama wazazi na wandugu wa hawa vijana mbali ya lugha kuna kitu cha kujivunia kuhusu watoto wetu? Nami namsomesha wangu private but hata kama anafanya vizuri nahisi kama natumia pesa nyingi zaidi ya kile anachopewa...

Mpo huru kuongeza maswali....

Nawasilisha

==============

Wakuu nimefurahia angalau tumeweza kuwakumbuka wachache, but nahisi tumejaribu kujadili swala moja na kiasi la pili.

Katika hilo naona tumewajadili wa kwanza tu na sio angalau scope ya top ten or 20 na kadhalika. Nia ya huu mjadala ni kujaribu kuzinduka na kufuatilia records za hawa watu wetu. Huenda tukichimba kwa mbali utakuta wahadhili wengi wa vyuo vyetu wala hawakuwa top 100.

Pia tukichimba sana tunaweza kujua kama hizi shule bora zinatoa elimu bora au zinafundisha mbinu za kufaulu mitikani.

La mwisho... Tujiulize nini dhamira ya elimu? Kufaulu au kuelimika? And hapo huenda kuna mafunzo mengine mtambuka....
Na je tuseme nn kuus swala la elim bure eh?
 
...teh teh teh....chief,hivi yule binti wa Chilumba white flani hivi yupo!?
 
Tuluisoma miaka ya 1980 mpaka 1990 baada ya vita ya Kagera kujifunga mkanda no tuition vitabu hakuna ila tulifika university
Makofi kwetu
 
Nadhani katika maTO wa 2000-10 Mwizarubi ndo anaweza kuwa anongoza kuwa na certification nyingi. kama ifuantavyo.
-CPA
-ACCA
-CFA (hii Tanzania nzima sidhani kama wanafika 20)

Pia ana MBA na anamalzia PhD yake. ni guru katika financial matters.

kwa sasa yupo BoT.

Binafsi tangu tukiwa Ilboru amekuwa motivation kubwa kwangu.
namkubali sana Moses Mwizarubi, yupo very humble, siyo mtu mwenye makuu.
asante kwa taarifa mkuu..
 
Mwalimu Chilumba tuko primary Mapambano alikuwa ana msifia sana huyo MTU kuwa amefanya makubwa huko sekondari. Sikuelewa mpaka nilipojiunga Azania ndio nikajua habari zske.[/QUOTE
Mimi ni ex Mapambano 1989 class,Mwl Chilumba kanifundisha English na Mbinu za Kufanya Hesbu.
 
Mlikuwa mwaka mmoja na Mohammed Kassanga jirani yangu. 1989 ndio kwanza nimeanza LA kwanza. Heshima Kwako mwana Mapambano mwenzangu. Dah miaka imesogea.
 
Nadhani katika maTO wa 2000-10 Mwizarubi ndo anaweza kuwa anongoza kuwa na certification nyingi. kama ifuantavyo.
-CPA
-ACCA
-CFA (hii Tanzania nzima sidhani kama wanafika 20)

Pia ana MBA na anamalzia PhD yake. ni guru katika financial matters.

kwa sasa yupo BoT.

Binafsi tangu tukiwa Ilboru amekuwa motivation kubwa kwangu.
namkubali sana Moses Mwizarubi, yupo very humble, siyo mtu mwenye makuu.
Huyu jamaa hafananii na siasa, nilishangaa sana nilipomuona katika kinyang'anyiro cha CCM arusha mjini.
 
Mlikuwa mwaka mmoja na Mohammed Kassanga jirani yangu. 1989 ndio kwanza nimeanza LA kwanza. Heshima Kwako mwana Mapambano mwenzangu. Dah miaka imesogea.
Yah Mohammed namkumbuka sana alikuwamate wangu Mapamban😵K nashukuru
 
Lusekelo yupi Huyu jamani? Ni yule Wa Mzumbe!?
LUSEKELO wa MZUMBE ni Noma yule jamaa,kwanza Baada ya kuongoza Alevel Science hope PCM,Alikwenda kusoma Mzumbe University BAF,Then kipindi yuko mwaka wa Pili akafanya CPA Akaongoza wa kwanza kwenye hiyo mitihani ya CPA.Jamaa yupo vizuri sana.....
Kuna Mtu Mwingine anaitwa MANGULA MICHAEL...Ni lecture Mzumbe university huyu jamaa ni Balaa,Alisoma Kantalamba PCB Akapata Division Two point 12.akafanikiwa kuingia chuo Mzumbe Miaka ya 2003.jamaa aliondoka na 4.9 GPA,Akaenda kusoma Udsm Masters ya Engineering akapata 4.8 GPA,Jamaa ni Nomaa...Yupo pale Mzumbe University anafundisha..Huwa anajiita Fast learner Au Son of Peasant.
 
Unachanganya lusekelo alisoma Computer Engineering. Abraham byamungu ndio aliye soma Bcom huyu naye alipiga 3 kwa kumbukumbu zangu .
 
Elias yule T.O wa Tosa maganga yuko wapi maana alitukimbiza nasikiaga alidisco mara anafundisha tuition. Anaejua yuko wap anibrief. Yan maisha sio akili ya darasan jaman duu
Haha yupo udsm anahemea machine kakutana na Dogo mmoja anaitwa Sikanyika anamkimbiza mbaya
 
Mbona mashekhe sijawaona hapo ? Au ndio necta iliwakataga ?! Nauliza tu jamani..
Ukiona watu wote wanachsngia uzi km watanzania afu ww unaanza kuangalia cjui akina rweyimamu wangapi ma T.O cjui akina ngosha wangp au Ema wangp na Hussein wangp jua kunamawl either you are too smart o you are narrow minded
 
LUSEKELO wa MZUMBE ni Noma yule jamaa,kwanza Baada ya kuongoza Alevel Science hope PCM,Alikwenda kusoma Mzumbe University BAF,Then kipindi yuko mwaka wa Pili akafanya CPA Akaongoza wa kwanza kwenye hiyo mitihani ya CPA.Jamaa yupo vizuri sana.....
Kuna Mtu Mwingine anaitwa MANGULA MICHAEL...Ni lecture Mzumbe university huyu jamaa ni Balaa,Alisoma Kantalamba PCB Akapata Division Two point 12.akafanikiwa kuingia chuo Mzumbe Miaka ya 2003.jamaa aliondoka na 4.9 GPA,Akaenda kusoma Udsm Masters ya Engineering akapata 4.8 GPA,Jamaa ni Nomaa...Yupo pale Mzumbe University anafundisha..Huwa anajiita Fast learner Au Son of Peasant.
Acha saundi mkuu, kwa syllabus ipi NBAA wataku ruhusa ufanye mitihani yao ukiwa mwaka wa Pili lkn labda unaongelea alifanya ATEC Lkn sio MODULE E&F by then.
 
Back
Top Bottom