kabisa nduguUna uhakika na ulichoandika?
Kwenye hao wote naona mchango wa Pro. Muhongo ndo unaonekana pamoja na ubunifu wake na pro. Shivji ila wengine hao hawana cha ziada zaidi ya vyeo.Profesa Mukandara yuko chuo kikuu Dar es salaam
Profesa Shivji yupo ni profesa
Profesa Lipumba yupo
Andrew Chenge yupo mbunge na ana nafasi kubwa tu
Profesa Sospeter Muhongo yupo ni waziri wa madini
DK harrison Mwakyembe yupo ni waziri
Dk Tulia ACKSON ni naibu Spika
Kwa ufupi wengi waliokuwa wakali kwenye masomo waliendelea kuwa vipanga na wako vyuo vya ndani na nje na wana nyadhifa nyingi tu serikalini.Mtu kama Profesa Shivji form six tabora alisoma combination ya PMM (Physcs,Pure Mathematics NA ADVANCED mathematics) Akaenda kusoma sheria akawaburuza na kuibuka kinara wa sheria kuwashinda wale waliosoma masomo ya arts kama HGL.Ni mwanasayansi aliyekuwa na akili mno kwenye sayansi na alipoingia kwenye sheria akabaki na akili zake zile zile hadi leo
Yupo petroleum engineer mwaka wa nne anaingia, mwenzako marks alizopata advance akiomba chuo chochote duniani lazima apateElias yule T.O wa Tosa maganga yuko wapi maana alitukimbiza nasikiaga alidisco mara anafundisha tuition. Anaejua yuko wap anibrief. Yan maisha sio akili ya darasan jaman duu
Samahani PMM ndo comb gn?Profesa Mukandara yuko chuo kikuu Dar es salaam
Profesa Shivji yupo ni profesa
Profesa Lipumba yupo
Andrew Chenge yupo mbunge na ana nafasi kubwa tu
Profesa Sospeter Muhongo yupo ni waziri wa madini
DK harrison Mwakyembe yupo ni waziri
Dk Tulia ACKSON ni naibu Spika
Kwa ufupi wengi waliokuwa wakali kwenye masomo waliendelea kuwa vipanga na wako vyuo vya ndani na nje na wana nyadhifa nyingi tu serikalini.Mtu kama Profesa Shivji form six tabora alisoma combination ya PMM (Physcs,Pure Mathematics NA ADVANCED mathematics) Akaenda kusoma sheria akawaburuza na kuibuka kinara wa sheria kuwashinda wale waliosoma masomo ya arts kama HGL.Ni mwanasayansi aliyekuwa na akili mno kwenye sayansi na alipoingia kwenye sheria akabaki na akili zake zile zile hadi leo
Mtafut mchikichini bado ana PIGISHA phyElias yule T.O wa Tosa maganga yuko wapi maana alitukimbiza nasikiaga alidisco mara anafundisha tuition. Anaejua yuko wap anibrief. Yan maisha sio akili ya darasan jaman duu
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Mmoja wao ni mimi.
Natokeo kundi la wale wasiosoma twisheni kabisa, shule nzima olevel ilikuwa na walimu 6, kwa shule ya wanafunzi 470.
Kila muhura tulikuwa tunawahi kufunga kati ya wiki tatu hadi nne kwa kuwa wazabuni wamegoma kuleta chakula.
Nikafanikiwa kupata division 1:16, nilipoenda Advance maji yakawa marefu nikapata 2:12, sababu ni kuwa sikuwa na msingi mzuri kwa kuwa olevel ilikuwa ni kusolve past paper tu. Necta waliporudia maswali nikawaumiza.
Makofi kwangu tafadhali
Acha dharau kijana,mbona hapo udsm mnatoa phd feki***** wewe asiyejua nani kuwa ulichagulia second selection shule ya kata! Form IV ukapata 4,ukatiwa moyo ukajikunja ukarisit ukapa credit ukaingia A level.Napo ukaambulia div three ukatupwa UDOM chuo cha kata.Alafu eti unajishaua wewe ni CEO.LABDA WA MILEMBE!
Muddy nae T.O au tapeli tuu..??Mbuga,Hidden,Muddy wapo mchikichini wanapigisha pindi
KuuumbeeeeMbona umemsahau T.O wa st.MATHEW SEC.SCHOOL,a.k.a Jesca John M.
DuuhKuna wale ma TO enzi za cambridge walikimbiza nchi zote za common wealth...mmoja akaenda kutengeneza formula ya Konyagi..mwingine akagundua formula ya Safari Lager...