yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,906
Interesting 🙂
Unashangaa nini pesa ndogo wakat hata yule ray Mzee wa Maji alikua Tz uno
Interesting 🙂
I seeUnashangaa nini pesa ndogo wakat hata yule ray Mzee wa Maji alikua Tz uno
Amerudi udsm anasoma petrolium eng. Kibuli chote kwisha. No kujidaidai. Elimu inahitaji descpline ya hali ya juu. Chuo hakunaga mambo ya U.T.O kule ni madesa + madaftari kwenda mbeleElias yule T.O wa Tosa maganga yuko wapi maana alitukimbiza nasikiaga alidisco mara anafundisha tuition. Anaejua yuko wap anibrief. Yan maisha sio akili ya darasan jaman duu
hawa ndo wakupongezaKuna wale ma TO enzi za cambridge walikimbiza nchi zote za common wealth...mmoja akaenda kutengeneza formula ya Konyagi..mwingine akagundua formula ya Safari Lager...
Ndomana mie nasema ni bora kusimamia mwanao vizuri. Kwa upande wangu wanafunzi wakiwa na usimamizi mzuri wa wazazi hufanya vizuri sana ata kama huyo mwanao hato soma academy. Kule mie huwa naona mitoto inarudi kama mipunguani kiasi kwamba ata kitaa inakuwa mijinga jinga tu inashindwa kutoboa. Kilakitu imezoea spoon feeding kama mikuku ya kisasa. Shida sana aiseee.Kwa uzoefu best performers university ni wanafunzi waliosoma shule za kawaida na kumudu kupata alama tosha kujiunga chuo kikuu.
Hahaha..karume 2 nlishawai kukaa nikaja kuamia karume 5..watu wanapiga msuli porini sio hawa vijana wa siku izi wafacebook shule inakua ya ngapi uko shida tupuUnaowataja hao wote ni jamaa zangu huyo anaitwa kwiza bwenge ila mbise hajawahi kuwa wapili bro,mi sina wivu boss,last time kwiza alikuwa anafanya kazi baker hughes uarabuni hapo.so nafahamu nachoongea.kwiza alikuwa mtabe wa pure alikuwa akikaa karume 2 hapo
Mkuu inategemea na shule anayosoma mtoto sisi tuliosoma huku tunapanda haice kwa kuunga unga, samtymz ni kutembea tu unafika saa 3 usiku home hata mzazi akusimamie vp huwezi uka out perform aisee, tena mi nahisi wengi wetu matokeo tuliyopata hayakua halali yetu ila ndo hivo tena tungeweza perform vzr zaidi, so ukipata uwezo mpeleke mtoto shule nzuri na bora la sivyo jitayarishe mtoto wako kutawaliwa na wenzake wanao perform vzr. Au hujajua hao wanafunzi wa shule za private zilizoingia top 50 ndo watakuja kuwatawala hawa watoto wa serikalini kwenye generation yao.Ndomana mie nasema ni bora kusimamia mwanao vizuri. Kwa upande wangu wanafunzi wakiwa na usimamizi mzuri wa wazazi hufanya vizuri sana ata kama huyo mwanao hato soma academy. Kule mie huwa naona mitoto inarudi kama mipunguani kiasi kwamba ata kitaa inakuwa mijinga jinga tu inashindwa kutoboa. Kilakitu imezoea spoon feeding kama mikuku ya kisasa. Shida sana aiseee.
Ushawahi jiuliza hawa ma TO wanaishia wapi??. Na ni wangapi wanatawala???. Huyo TO angekuwepo pasingekuwa na usimamizi mzuri wa wazazi. Je unajua hizo shule hufanya nin ili kumtaini majina ya shule??. Ukipata majibu haya utaelewa. Kwa kifupi tu shule nyingi ili kutengeneza majina wako radhi wakutafute shule ya kata usome bure kama wewe ni mkali. 90% ya wanafunzi wao ni wakuiba shule zingine. Wao mala nyingi hawana uwezo wa kumtengeneza mtoto na aka perfom. Ndo maana huwa nasema wazazi wengi wanakimbia responsibility zao. Akili zetu zimejaa upepo kuwa shule za serikali hazifundishi vizuri (chache zina kasoro).Tafuta background ya huyo TO utashangaa. Pengine alikuwa anagombana mpaka na mzazi ili aperfom vizuri.Mkuu inategemea na shule anayosoma mtoto sisi tuliosoma huku tunapanda haice kwa kuunga unga, samtymz ni kutembea tu unafika saa 3 usiku home hata mzazi akusimamie vp huwezi uka out perform aisee, tena mi nahisi wengi wetu matokeo tuliyopata hayakua halali yetu ila ndo hivo tena tungeweza perform vzr zaidi, so ukipata uwezo mpeleke mtoto shule nzuri na bora la sivyo jitayarishe mtoto wako kutawaliwa na wenzake wanao perform vzr. Au hujajua hao wanafunzi wa shule za private zilizoingia top 50 ndo watakuja kuwatawala hawa watoto wa serikalini kwenye generation yao.
Sasa hawa ndio watu...konyagi ni kinywaji murua kabisahawa ndo wakupongeza
Inategemea na vyuo vyuo vingi ni wababaishaji mtu anakozi nyingi kama 9 kumbe nyungine ni modules tuu na haziqualify kuwa kozi mtu anawza kupata A 4 kumbe zilitakiwa kuwa 2Jamani lazima kujua kwamba elimu yetu inapima kwa mtihani wa mwisho tu, hiki kitu siyo sahihi maana inategemea sana mtu gani kalala na kuamukaje siku husika ya mtihani. Mie nadhani T.Os wa uhakika wanapatikana kwenye matokeo ya kuhitimu bachelor degree kwa maana ya inclusive results (coursework+UE). Mtu anayeweza kutoka ka 5, 4.9,4.8 au hata 4.7 huyu kweli anaouwezo katika fani husika. Kwa vile hawa hawatangazwi nje ya vyuo ndiyo maana hatuwajui na kuwafuatilia kwa karibu. Kwangu mie hawa ndiyo walistahili kuwa T.Os wa ukweli.
Nimegundua wengi humu wanachuki na ma T.O ,Tukubali Jamaa wapo vizuri upstairs maswala ya kufanikiwa kimaisha kila mtu Ana njia yake.
Ma T.O naowajua Mimi wengi wapo vizuri wengine wapo nje ya Nchi wanapiga shule na kazi.Ma T.O wengi wametoka mzumbe,kibaha,ilboru.
Dr wenzi hajawahi kuwa T.O Bali mwaka wao azania 98' Alipata One ya Point 7.
Sijawahi kuona T.O aliyepigika kimaisha,watu wanachanganya kupiga point7 au point3 na kuwa T.O,maana ya T.O ni kwamba Kati ya wale waliopiga point7 au 3 basi yeye ndio kawaongoza.
Big up T.Os wote.
Tatizo wewe unafikiri kutawala ni mpk uwe rais labda, kutawala naamisha Hao wanafunzi wa private waliomo kwenye hio top 50 ya shule bora ndio watakuja kua watunga Sera na watu wenye maamuzi kwenye nyanja za kiuchumi kwenye nchi hii. Na watawala mpk watoto wako unaokomaa kuwapeleka shule za serikali na kuwafundisha tuition mwenyewe home.Ushawahi jiuliza hawa ma TO wanaishia wapi??. Na ni wangapi wanatawala???. Huyo TO angekuwepo pasingekuwa na usimamizi mzuri wa wazazi. Je unajua hizo shule hufanya nin ili kumtaini majina ya shule??. Ukipata majibu haya utaelewa. Kwa kifupi tu shule nyingi ili kutengeneza majina wako radhi wakutafute shule ya kata usome bure kama wewe ni mkali. 90% ya wanafunzi wao ni wakuiba shule zingine. Wao mala nyingi hawana uwezo wa kumtengeneza mtoto na aka perfom. Ndo maana huwa nasema wazazi wengi wanakimbia responsibility zao. Akili zetu zimejaa upepo kuwa shule za serikali hazifundishi vizuri (chache zina kasoro).Tafuta background ya huyo TO utashangaa. Pengine alikuwa anagombana mpaka na mzazi ili aperfom vizuri.
Umetisha sana mkuuSidhani kama wanawivu na Ma T.O, labda ni hisia zako tu. Waonaohoji kwa mtazamo hasi pengine wanadadisi kujua umuhimu wa mtu kua T.O. Anyway kila kitu kinafaida na hasara, kinacho angaliwa ni uwiyano wa faida juu ya hasara kama faida ipo juu basi jambo hilo huchukuliwa bora. Miongoni mwa vitu navyo viona ni kiwazo kwenye kujifunza ni kuangalia zaidi matokeo ya mitihani kuliko matokeo ya ujuzi aliojifunza mwanafunzi kuanzia ngazi ya awali mpaka chuo.
Mara nyingi watu hufurahi kusikia ufaulu umepanda bila kujali umepanda kwa maana ya wahitimu wamekua more creative au innovative? Kusudio kubwa la elimu nikumfanya mwanadamu apate ujuzi wa kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizo mzunguka(e.g.changamoto za mazingira, magonjwa,tekinolojia n.k). Nitarajio la wanajamii kuwa elimu apatayo mtu yeyote imuwezeshe kupambana na changamot zilizowanguka. Ili kufikia kiwango hicho yapaswa elimu itolewayo imuweze mhitimu kuwa ''creative au innovative''. Viwili hivi (creativity na innovation) hupatika kwa ''deep understanding'' ya somo au masomo anayoyasoma mwanafunzi na huakisiwa kwenye mtaala, wasimamizi wa mitaala yenyewe na makazini pindipo muhitimu anapokuwa ameajiriwa.
Kinachofanyika nchini kwetu ni kuwafaulisha wanafunzi.Kwalugha nyepesi nikuwafundisha(karirisha) jinsi ya kujibu maswali ya mitihani na sio vinginevyo. Mfumo kama huu humfanya muhitimu kuwa nakitu kinachoitwa ''surface knowedge''. Na mtuu au muhitimu wa namna hii mara nyingi hana uwezo wa kuhoji mambo kwa undani kwa kua hana uwezo wakuona kasoro kwa jambo lenye kasoro na wala usahii wajambo lililo sahihi. Matokeo yake hawezi ku-create wala kugundua tatizo. Kinachotokea mara nyingi kwa baadhi ya wahitimu wenye kupata madaraja ya juu, huishia kujigamba badala yakuongeza bidii iliwaboreshe uwelewa wao kwa undani zaidi.
Suala lingine ni kutumia mtihani kulinganisha nani bora na nani duni.Huu si mfumo bora japo mtihani ndo njia pekee itumikayo kukudadisi uwelewa wa wanafunzi au muhitimu. Si njia mzuri kwa maendeleo ya jamii kwani huadhiri saikolojia ya utendaji, ndo maana utakuta utendaji mwingi unaishia kwenye kuonyesha nani bora na nani sio bora.Njia hizi hushusha ''cofidence'' na kutengeneza matabaka na chuki zisizo na msingi wowote. Kimsingi tunahitaji ushindani wenye tija, ambao unafuata kanuni(principles).
Kipimo cha creativity au innovation, huonekana pale mhitimu anapokabiliana na maswala mbalimbali haswa kwenye kutatua au kuunda matatizo au zana zitakazosaidia kutatua matatizo husika ndani ya jamii husika.Ni matarajio ya wengi unaposema mtu ni T.O. walau waone matokeo hayo kwenye kukabiliana na changamoto zilizosheheni kwenye jamii yetu.
Nini kifanyike? Kwa mtazamo wangu tuwekeze seriously kwenye elimu in terms of time, money and other resources necessary for changes. Kwa mfano wazazi wawe engaged kwenye mfumo wa elimu, walimu wao tayari ni sehemu moja katika kufanikisha hili.Engagement ya wazazi ni kuwa kila mzazi na wanajamii wa mtaa au makazi wanamoishi wanapaswa kufuatilia maendeleo ya wtoto kwenye makazi yao.
Quality ya walimu iboreshwe na walimu wawe motivated. Mazingira hatarishi kwa mwanafunzi kujifunza yadhibitiwe na kila raia. Sera ya elimu iangaliwe kwa undani i.e. Tunataka mtaanzania akihitimu aweje?Na ili afikie tunapotaka atahitaji ajifunze nini na kwa wakati gani. Kwa mfano nchi inataka kila mtanzania akimaliza elimu ya msingi, aweze kufanya kilimo cha kisasa au kila muhitimu wa elimu ya msingi aweze kuwa na uwezo waufungaji bora. Njia za upimaji ufahamu wa mwanafunzi ziboreshwe na asiwe ndiyo agenda pekee ya elimu.