ruby garnet
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 2,922
- 3,913
nilitegemea kuona wanafanya mambo ya kusitaabisha lakini sasa nawaona sawasawa na wenye vyeti feki tuuu.
hapana, wengi wanabaki vyuoni kuwa walimuulitaka kuwaona kwenye Siasa ndio ugundue hawakubahatisha!!
Ma Genius wapo wanakula pesa maofisini huko
Ulitaka uwaone Mars au!Wana jamii huwa najiuliza sana toka nikiwa shule ya msingi nasikia tanzaniaa one form 4, 6 na hata vyuoni. Nikiwa udsm nilipata kujionea mtu mmoja aliyekuwa amenitangulia mwaka mmoja chuoni nikiwa nasoma degree program kama yake alikuwa udsm one . lakini toka nihitimu udsm huku mtaani siwaoni hawa vipaji wetu. nauliza huwa wanapotelea wapi?. au elimu yetu ni mbwembwe ya makaratasi tu?.
ok sawa mimi nitatumia 5hrs yeye 2hrs but at the end salary slip inasoma salio linalofanana. sioni tofauti hapo.Ulitaka uwaone Mars au!
Makazini pia kazi ambayo wewe unaifanya 5hrs inawezekana performance ya huyo ikawa 2hrs.
Usitegemee kuwaona kwenye majukwaa ya Bongo flavor
Mtoa mada anataka kujua mbona hawafanyi vitu vikubwa kulingana na akili yao vitakavyowafanya waonekane automaticUlitaka uwaone Mars au!
Makazini pia kazi ambayo wewe unaifanya 5hrs inawezekana performance ya huyo ikawa 2hrs.
Usitegemee kuwaona kwenye majukwaa ya Bongo flavor
Jibu la swali lako lipo mstari wa mwisho wa thread yakoWana jamii huwa najiuliza sana toka nikiwa shule ya msingi nasikia tanzaniaa one form 4, 6 na hata vyuoni. Nikiwa udsm nilipata kujionea mtu mmoja aliyekuwa amenitangulia mwaka mmoja chuoni nikiwa nasoma degree program kama yake alikuwa udsm one . lakini toka nihitimu udsm huku mtaani siwaoni hawa vipaji wetu. nauliza huwa wanapotelea wapi?. au elimu yetu ni mbwembwe ya makaratasi tu?.
Wengi wako huko duniani wana kula raha !Wana jamii huwa najiuliza sana toka nikiwa shule ya msingi nasikia tanzaniaa one form 4, 6 na hata vyuoni. Nikiwa udsm nilipata kujionea mtu mmoja aliyekuwa amenitangulia mwaka mmoja chuoni nikiwa nasoma degree program kama yake alikuwa udsm one . lakini toka nihitimu udsm huku mtaani siwaoni hawa vipaji wetu. nauliza huwa wanapotelea wapi?. au elimu yetu ni mbwembwe ya makaratasi tu?.