Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Kuna Prof mtabaji,alisoma pugu boys kipindi cha awamu ya kwanza akakimbiza kitaifa A level, tena alikuwa kombi ya PCB. Badae alienda kusoma Makerere university ya enzi hizo nako akawakimbiza vibaya sana, akawa Prof wa kwanza wa physiology and psychology East Africa nzima. Kwa wale madaktari Muhas na Cuhas nafikiri mnampata vzuri huyu Mzee.
 
Mbona sijaona T.O kutokea uchagani kule
Mbona watu mmewasahu
Mapema ivi...akina urassa,lykurwa,pro shirima
Wanajifanya awajui ila kama siyo 2009 kuna dogo wa kichaga alipiga one matata paka leo aijawai kutokea masomo yote 98
 
Kuna mmoja yupo Harvard alisoma mzizima kama sikosei for now amegundua kifaa cha kugundua kansa in early stages ila sijui kama Bado ni raia Wa Tz au atarudi tena
Huyo ni Abdul nani sijui ally malima jamaa ana PhD sasa hivi
 
Mkuu Inaezekana Ila Jamaa alikuwa the Best student NBAA Mwaka 2007.Sasa hivi anafundisha hapo MU,Module E&F.Pia hata Prof/Dr.Ganka Nyamsogoro kipindi anamaliza MU 2003 akiwa mwaka wa 3,akapiga CPA Nae Kabla ya kumaliza ADFA.
Mkuu huyo Lusekelo ni balaa, yupo Vizuri sana. Anafundisha hapo Mzumbe Masters' program,yeye na Prof. Ganka Nyamsogoro (Principal) somo lao ni Management Accounting (Performance Management), Jamaa ni mpole sana.
 
Kuna mmoja yupo Harvard alisoma mzizima kama sikosei for now amegundua kifaa cha kugundua kansa in early stages ila sijui kama Bado ni raia Wa Tz au atarudi tena

Lakini Mzizima siyo shule ya wanafunzi wenye 'vipaji maalumu'....au nimekosea?
 
Kuna mama mmoja yupo pale UDSM dept ya Physics inasemekana ni mwanamke Wa kwanza kupata PhD ya physics East and Central Africa cjui ni kweli au rumors ila pale dpt ana fundisha kozi tatu.....mwenye profile yake atujuze
 
Profesa Shivji ni dawa yao bwana.....ila wengi walipotea kwa kuingia kwenye siasa.....
 
Pale mwanafunzi anapokuwa na uwezo mkubwa kuliko mwalimu inakuwa ni tatizo, student has to play down his potentials. The only solution is to jump abroad and make the difference, hapa kwetu mazingira bado hayaruhusu.
 
Back
Top Bottom