Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

kuna jembe norbert patrick st antony o level pts 7, aga khan mzizima pcm a level pts 3, b com udsm first class... huyu mnyamwez hatari
 
hapa ndipo najiulizaga hawa watu ni vipaji.au.msuli binafsi

mm wangu nikaishia 12 na 6 alevo
 
Aisee mwizarubi ana CFA? duhh basi nimemvulia kofia,
Nadhani katika maTO wa 2000-10 Mwizarubi ndo anaweza kuwa anongoza kuwa na certification nyingi. kama ifuantavyo.
-CPA
-ACCA
-CFA (hii Tanzania nzima sidhani kama wanafika 20)

Pia ana MBA na anamalzia PhD yake. ni guru katika financial matters.

kwa sasa yupo BoT.

Binafsi tangu tukiwa Ilboru amekuwa motivation kubwa kwangu.
namkubali sana Moses Mwizarubi, yupo very humble, siyo mtu mwenye makuu.
 
Kufaulu darasa 7, Kidato 4, na 6 na maisha ya kitaa havina uhusiano wa 1 kwa 1. Mimi nimesoma na wanafunzi walikuwa wanajiweza lakini wakachemsha mtihani wa mwisho! Baadae wameweza kujiendeleza.
After all, mitihani hii inabidi iwe 50%, nyingine itoke kwenye continuous assessment.
 
Kufaulu mtihani sio mojawapo ya malengo ya elimu Tanzania. Tunaoanda ngugu mawe tukitegemea kuvuna karanga. Malengo ya elimu hayasemi akimaliza shule ya msingi afaulu aende shule ya upili
 
Acha saundi mkuu, kwa syllabus ipi NBAA wataku ruhusa ufanye mitihani yao ukiwa mwaka wa Pili lkn labda unaongelea alifanya ATEC Lkn sio MODULE E&F by then.
Mkuu Inaezekana Ila Jamaa alikuwa the Best student NBAA Mwaka 2007.Sasa hivi anafundisha hapo MU,Module E&F.Pia hata Prof/Dr.Ganka Nyamsogoro kipindi anamaliza MU 2003 akiwa mwaka wa 3,akapiga CPA Nae Kabla ya kumaliza ADFA.
 
Wap albert maira, 1.9 azania na 1.3 ilboru, jamaa alikuwa mashine halafu sio mjivuni,
 
Mkuu Inaezekana Ila Jamaa alikuwa the Best student NBAA Mwaka 2007.Sasa hivi anafundisha hapo MU,Module E&F.Pia hata Prof/Dr.Ganka Nyamsogoro kipindi anamaliza MU 2003 akiwa mwaka wa 3,akapiga CPA Nae Kabla ya kumaliza ADFA.
Mkuu haijawahi/haitakuja kutokea mtu akawa hajamaliza University akafanya module e&f ambayo sasa ni intermediate&final stage inawezekana tu kama wkt anasoma chuo alikua ameshamaliza ATEC 1,2 na hizo stage nyingine hapo katikati akawa amezifaulu mpk kufikia module e&f lkn as long as hajapita stage hizo there is no way akafanya mitihani yao.
 
Mkuu Inaezekana Ila Jamaa alikuwa the Best student NBAA Mwaka 2007.Sasa hivi anafundisha hapo MU,Module E&F.Pia hata Prof/Dr.Ganka Nyamsogoro kipindi anamaliza MU 2003 akiwa mwaka wa 3,akapiga CPA Nae Kabla ya kumaliza ADFA.
Kama ni huyo 2007 alikua amesha maliza chuo.
 
Wapo BOT,voda,tigo,hospitali mbalimbali,wachungaji na mapadre hasa kutoka seminari ambazo kila mwaka zinaongoza,na akinadada wengi ni masista,Waliopata Division zero Wengi ni matejA,Waliopata division four wengi WANA BETI kwenye meridian sports,na wanaendesha bodaboda,
MH KUMBE
 
elimu ya kukalili na referrence nyingi sizani kama zinatisaidi bali tuwemo kwa waliyowamo
 
Mbona sijaona T.O kutokea uchagani kule
Mbona watu mmewasahu
Mapema ivi...akina urassa,lykurwa,pro shirima
 
Prof. Tuli kazi moto sikumbuki mwaka gani
Huyu mama alikua atal
Kwenye hili eneo pcm ..kwa sasa ni mkuu wachuo teku(teofilo kisanji mbeya)
 
Kuna mmoja yupo Harvard alisoma mzizima kama sikosei for now amegundua kifaa cha kugundua kansa in early stages ila sijui kama Bado ni raia Wa Tz au atarudi tena
Nadhani ni yule mtoto wa prof Malima, mdogo wake na aliyekua waziri wa serikali ya 4 Adam Malima
 
Back
Top Bottom