Usipende kuchekacheka mkuu, hapa tunajadili mambo muhimu kwa mustakbali wa afrika halafu wewe unachekacheka! Umekutana na nini huko uliko ?Hahaha ile keyboard yako inayo type kifaransa siku hizi umeiacha wapi mkuu? Sponsors wamekubadilishia simu nini?hahah, by the way Burundi mnaendeleaje huko?
hii mada tunajadili watu binafsi na ndo maana hata heading kuna jina la mtu binafsi dhidi ya nyie watu binafsi pia. ndo maana nilikuuliza unajadili mada ipi?!Masilahi ya nchi lazima yatatafutwa na kusimamiwa kwa namna yoyote ile. Na kujenga reli ili kuimarisha uchumi wetu ndio shabaha kubwa na inatupasa kujadili mienendo yetu kiuchumi kama taifa, sio kujadili mambo ya watu binafsi.
Coward interahamwe una nini cha maana cha kujadili zaidi ya uwendawazimu tuu,potea tuuUsipende kuchekacheka mkuu, hapa tunajadili mambo muhimu kwa mustakbali wa afrika halafu wewe unachekacheka! Umekutana na nini huko uliko ?
Umeshakuwa mwehu siku hizi wewe ni wa kupuuza tuuEti atawatengeneza! Wacha magufuli awaingize site halafu mtashangaa atakachowafanyia. Burundi ina jeshi mkuu, ndio maana waliwaambia AU wakipeleka jeshi litachezea risasi za kutosha, walipeleka? Acha kukariri, waulize mchambawima1 na mng'ato walichokipata walipoenda kufanya ujinga wao. Sasahivi wamebaki ni wanajeshi wa paka wa mitandaoni.
Mwulizee General Kayumba Nyamwasa!!Nimeanza kujiuliza kwamba wapo wapi wale wapinga Kagame ambao walikua wakichochea uhasama wa Tanzania na Rwanda kupitia Kikwete?
Watu hao walikua ni mafundi wa matusi kwa Kagame na Rwanda yake ilifikia kipindi wakawa wanatafsiri hadi picha za Ma-bodyguard kwamba ni kwa kiasi gani wale wa Tanzania hawamuamini Kagame. Lakini hivi sasa hali imebadirika kabisa, Magufuli na Kagame wameonyesha si tu kwamba wao ni viongozi wa nchi bali pia ni marafiki wanaoelewana na kila mmoja akimkubali mwenzake kiutendaji.
Anti Kagame wapo kimya either wamekosa au wamepoteza maneno ya kuongea. Hawaelewi waya shape vipi mawazo yao dhidi ya Kagame.
Ndicho kipaji ulichonacho, kutukana. Wenzako tunabishana kwa hoja wewe unakimbilia kutukana, huna chochote kichwani zaidi ya matusi.Umeshakuwa mwehu siku hizi wewe ni wa kupuuza tuu
Hahaha Oyaa ile simu yako yenye keyboard ya kifaransa umeiacha wapi aisee? Mustakabali wa Africa ujadiliwe na taahira kama wewe?Nendeni Burundi mkaendelee kuchinjana hapa hakuna cha Mustakabali wala nini.Usipende kuchekacheka mkuu, hapa tunajadili mambo muhimu kwa mustakbali wa afrika halafu wewe unachekacheka! Umekutana na nini huko uliko ?
Well said MyungaKuna mambo muhimu kwa masilahi ya taifa, Magufuli anaendeleza alipoishia Kikwete. Jambo ambalo lilionekana kutoweka hapo awali. Kuliweka karibu taifa la Rwanda ni muhimu zaidi kuliko uhusiano wa Kagame binafsi. Kwani kinachofanyika hapa ni mikakati ya kiuchumi baina ya mataifa haya mawili.
Nimeanza kujiuliza kwamba wapo wapi wale wapinga Kagame ambao walikua wakichochea uhasama wa Tanzania na Rwanda kupitia Kikwete?
Watu hao walikua ni mafundi wa matusi kwa Kagame na Rwanda yake ilifikia kipindi wakawa wanatafsiri hadi picha za Ma-bodyguard kwamba ni kwa kiasi gani wale wa Tanzania hawamuamini Kagame. Lakini hivi sasa hali imebadirika kabisa, Magufuli na Kagame wameonyesha si tu kwamba wao ni viongozi wa nchi bali pia ni marafiki wanaoelewana na kila mmoja akimkubali mwenzake kiutendaji.
Anti Kagame wapo kimya either wamekosa au wamepoteza maneno ya kuongea. Hawaelewi waya shape vipi mawazo yao dhidi ya Kagame.
Hujielewi wewe, ndio maana huwa nakupuuza wakati mwingine. Au umezaliwa miaka ya 2000.?? Kiasi kwamba huelewi yaliyotokea mwaka 1994 katika nchi ya Rwanda.?? Kwa misingi ipi unaipuza nafasi ya Kagame katika machafuko ya Rwanda.?? Huwezi kutenganisha mauaji ya Kimbari na kikosi cha wanajeshi wa RPF kinachoongozwa na Kagame hadi leo.
Kwa hiyo rais akipenda mashoga na wewe utapenda kwa sababu rais kaamua kupenda mahusiano ya jinsia moja.?? Sio makosa yako, ni Afrika pekee ambayo viongozi wa nchi wanaonekana ni miungu watu hasa kwa baadhi ya wananchi kama wewe. Inabidi ujifunze kuhoji uamuzi wowote unaofanyika katika jamii yako, ukizingatia madhumuni na malengo ya kihistoria juu ya maamuzi hayo.
poa! sijapotea huwa ninategeshea nione jinsi mnavyo chemka! ona sasa kama hivi vigezo vya uongoteh teh teh za kupotea.?? Mauaji ya Kimbali yalisababishwa na kuchochewa na kikosi kutoka Uganda kilichojiita jeshi la ukombozi, RPF. RPF ilijumuisha wanyarwanda waliokuwa wakiishi ukimbizini Uganda. Miongoni mwa viongozi wa kundi la RPF ni Paul Kagame, ambaye ni rais wa sasa wa Rwanda. Kundi hili liliingia Rwanda kwa mashauriano ya kutaka makubaliano ya kisiasa na serikali halali iliyokuwa madarakani kipindi hicho kwa vigezo vya uongo kama unyonyaji, ukandamizaji na ubaguzi vilivyokuwa vikishamiri katika utawala huo wa Habyarimana..
OK tuachane na wamarekani! so what about, Rwanda imejaa na mlioko nje mfie hukohuko ukimbizini! hiyo nayo imekaaje? kwanza unapaswa uitoe kichwani kwako hiyo idea ya vita ya ukombozi ndio imeleta Genocide ni wendawazimu!Sasa wewe bwana mkubwa hiyo ndio sababu tosha ya kuchochea vita na kusababisha mauaji ya Kimbali.?? Jaribu kuwa na simile basi.!! Pia mimi huwa simuamini Muamerika hata awe amekufa.!! Hiyo nakala ya New York times uliyoorodhesha hapo juu ni batili, labda ulete nyingine..
naona povu tupu! swali mko wapi anti kagame? jibu lishapatika wengi wamebadilika na move ila kuna nyie wachache bado mpo kazini ita tambueni hivi sasa mtabomolewa tu na vyokovyoko zenuHujielewi wewe, ndio maana huwa nakupuuza wakati mwingine. Au umezaliwa miaka ya 2000.?? Kiasi kwamba huelewi yaliyotokea mwaka 1994 katika nchi ya Rwanda.?? Kwa misingi ipi unaipuza nafasi ya Kagame katika machafuko ya Rwanda.?? Huwezi kutenganisha mauaji ya Kimbari na kikosi cha wanajeshi wa RPF kinachoongozwa na Kagame hadi leo.
Kwa hiyo rais akipenda mashoga na wewe utapenda kwa sababu rais kaamua kupenda mahusiano ya jinsia moja.?? Sio makosa yako, ni Afrika pekee ambayo viongozi wa nchi wanaonekana ni miungu watu hasa kwa baadhi ya wananchi kama wewe. Inabidi ujifunze kuhoji uamuzi wowote unaofanyika katika jamii yako, ukizingatia madhumuni na malengo ya kihistoria juu ya maamuzi hayo.