Wako wapi hawa wadau?

Hapana bwana, huyu anayeingia ni Smile toto tundu....kuna yule Smiles aliyejidai kuchuana na wana infii...mwisho akaishia kuwajoin!! Alipotea kwa sababu ya maternity ila naona kama kaunganisha trip kama 4 hivi!!
Smiles ni huyu hapa....
avatar18400_9.gif


Her last post: 13th March 2011 09:43 but last activity was: 15th January 2014 13:46


Na huyu ndiye Smile
profilepic48795_3.gif


Huyu yuko mtandaoni hata sasa: Last activity = Today 13:27

Babu DC!!

Hahahahahha! Eti trip nne! Lol...
Sasa wajukuu umeshawaona babu?!!
 
Babuuu! Nipo...
Nimekuja kuitikia wito...!


Babu and Co. missed you so much....

Kwa nini unapotea kiasi hicho lakini??

Usirudie kupotea bwana....ukuje kuje umsalimie hata wazee wenzangu Kaizer na Asprin!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahha! Eti trip nne! Lol...
Sasa wajukuu umeshawaona babu?!!


Nasikia vijana wanatumia huu mkakati (kuwafanyia permanent booking labour room) ili kuwashikisha adabu...

Hebu nambie...trip ya ngapi sasa??
 
Hehehhehehe babu una maswali mengiiii! Dark City


Sasa inakuwaje wenzio tunahesabu trip nne wakati wewe unatuhesabia moja??

Nahisi kama nahitaji msaada wa wazee wangu kuelewa haya unayonieleza!!

Ila usiwe na shaka...kama shoka hazijakitika basi msitu hauwezi kufanya party...lol!!
 
Sasa inakuwaje wenzio tunahesabu trip nne wakati wewe unatuhesabia moja??

Nahisi kama nahitaji msaada wa wazee wangu kuelewa haya unayonieleza!!

Ila usiwe na shaka...kama shoka hazijakitika basi msitu hauwezi kufanya party...lol!!

Hahahahhahha..... Usiumize kichwa babu! Si unajua mjukuu wako nilivo innocent!! Dark City
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom