Wako wapi hawa wadau?

Mbu heri inapatikana?...

hawa watoto wanatumia 'booster' hawa...
 
Last edited by a moderator:

Kweli mkuu Mr Rocky,

Kuna thread ulikuwa ukiichelewa kwa masaa basi inabidi uombe mtu akupige summary....

Nadhani sasa tumezoea kila kitu ni voda fasta...kama ni msosi hata hauivi!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

.....hehhehh...changamoto za kuanzisha sredi zilitokana na wachangiaji wanaotajwa tajwa sanaaa kwenye sredi hii...
Hivi sasa wooote hao wameingia mitini, na waliobakia kina Nyamayao, wewe, na wachache wengineo mmebakia #Wachunguliaji zaidi!
 
Last edited by a moderator:

-Dena huwezi kumpata yupo sinza amefungua kibanda cha juice ya ukwaju na ameamua asimamie mwenyewe baada ya kuona wanamwibia

-womanofsubstance amekwenda colorado amefungua duka la jumla la bangi.

-klorokwini anatembea usiku tu na kulala juu ya mti anadaiwa na finca.

Hawa wengine nikipata taarifa nitawajuza.
 
bora Smile ana beep, jamani Pearl, Bht na Nyumba kubwa nimewamiss mpaka basi.


Hapana bwana, huyu anayeingia ni Smile toto tundu....kuna yule Smiles aliyejidai kuchuana na wana infii...mwisho akaishia kuwajoin!! Alipotea kwa sababu ya maternity ila naona kama kaunganisha trip kama 4 hivi!!
Smiles ni huyu hapa....


Her last post: 13th March 2011 09:43 but last activity was: 15th January 2014 13:46


Na huyu ndiye Smile


Huyu yuko mtandaoni hata sasa: Last activity = Today 13:27

Babu DC!!
 
hata mi huwa napotea.. nashangaa sijui kwanini huwa sitafutwi!! teh..!

au kidude changu cha musoma hakina nguvu?
 
Kweli mkuu Mr Rocky,

Kuna thread ulikuwa ukiichelewa kwa masaa basi inabidi uombe mtu akupige summary....

Nadhani sasa tumezoea kila kitu ni voda fasta...kama ni msosi hata hauivi!

Babu DC!!


Kwanza mkuu Dark City kupata kile anachokisema au anachotaka ujibu ilikuwa shughuli
Unajibu ila unatoa warning kabisa kama nimeenda mchomo mnisamehe maana unajihisi hujajibu kile kilichokusudiwa
Sasa Mbu na wenzake akina Teamo na AshaDii na The Finest na Lizzy ndo hao wanachungulia na kusepa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…