Wako wapi hawa wadau?

Mkuu Dark City umri huu nani anahangaika.na PM zetu? We are safe that way...of course wake zangu tunawasiliana kwa njia zote halali

Kweli mzee mwenzangu...nani ana muda wa kusikia hadithi za mwaka 1947...

Atamudu kusikiliza simulizi za chagulaga au kukimbizana migombani??
 
Jf ilikuwa ukifungua mwenyewe unafurahia. Sijui nani alienda kutangaza mashuleni kwamba kuna jf. Wamejiunga watoto kibao wametukimbizia watu wenye busara zao. I real miss ushauri aliokuwa anatoa dena@Amsi ! Rudini jamani tunawamiss!
 
Last edited by a moderator:
Huu ndio ukweli


 
Last edited by a moderator:
Hapana bwana. Wewe nitakuweza mimi kibogoyo?

Nilitaka tu uwasalimie kaka zako...lol!!



Umeona eeee.......Ngoja waje na wengine wakuthibitishie unavyoelekea kusababisha unintended genocide!

Wakija uniite nijichekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…