Wakiristo hawajui kupika vyakula vitamu?

Kweli kabisa atakayebisha huyo ni mbishi tu, wanawake wetu wa kikristo hasa wasomi hawajui kabisa kupika, hata wakipika chai tu wanaunguza ndio maana wanaishi kwa kula chakula cha take away...
Yeah hata hiyo chai anabandika sufuria yenye maji kwenye jiko kisha anaenda sebuleni kuchat kwa simu yake,ikishachemka anakuwekea kwenye kikombe kisha anaendelea kuchat ukishamaliza kunywa chai vyombo peleka mwenyewe jikoni au house girl ndio aje kutoa
 
Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia zao

Na wakati wa sikukuu kama Idd hapo useseme
Wanapenda
1. Vileja vya tambi
2. Keki
3. Katie's
Nk
Ni ukweli uliowazi wakiristo wengi maneno mengi tu lkn katika kupika vyakula vitamu ni 0.
Karibuni kula skukuu kwangu, ule vyakula vitamu
Na mihogo yenu iyo iliyopikwa kama uji ndio mseme mnajua kupika
 
Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia zao

Na wakati wa sikukuu kama Idd hapo useseme
Wanapenda
1. Vileja vya tambi
2. Keki
3. Katie's
Nk
Ni ukweli uliowazi wakiristo wengi maneno mengi tu lkn katika kupika vyakula vitamu ni 0.
Karibuni kula skukuu kwangu, ule vyakula vitamu
Udini unakumaliza live, udini kitu cha hovyo sana
 
Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia zao

Na wakati wa sikukuu kama Idd hapo useseme
Wanapenda
1. Vileja vya tambi
2. Keki
3. Katie's
Nk
Ni ukweli uliowazi wakiristo wengi maneno mengi tu lkn katika kupika vyakula vitamu ni 0.
Karibuni kula skukuu kwangu, ule vyakula vitamu
Kama ukiwaandalia roasted pork(kiti moto) ndiyo utakuwa umeandaa mambo mazuri na ndipo utajua chakula kitamu sana ni kipi.
Screenshot_20250331-041150~3.jpg
Screenshot_20250331-041150~4.jpg
Screenshot_20250331-041204.jpg
Screenshot_20250331-041309.jpg
 
Leo hii wewe ukimlea binti yako wa kikristo katika misingi ya kumuandaa kuja kuwa mke bora huko mbeleni, unaambiwa eti unamuandaa kuja kuwa mtumwa wa mwanaume..😙 ni huzuni... matokeo yake ndio tunapata wanawake kama joyce kiria, ambao hawana sifa za kuolewa ila wanazitaka ndoa.
Wanazitaka ndoa halafu cha ajabu hawazijui kasoro walizonazo utawasikia wanaweka vigezo na masharti yao kama hivi"Mwanamme atakayemuoa awe na uwezo wa kulipia mahari ya milioni 200"
Na hapo kwenye malezi kuna mambo mengi sana hapa yanayoharibu watoto,kwa mfano wazazi wa kikristo kwao hawaoni tatizo kwenda kuchukua pombe bar na kuja kunywea nyumbani na watoto wanaona laivu kwa hiyo hao watoto wakishakuwa lazima pia waje kuwa walevi wakidhani kuwa ulevi umehalalishwa na ni kitu cha kawaida.
Sasa ukishakuja kuoa kwenye familia ya aina hii huyo mwanamke unadhani atakuwa na muda wa kuwaza kupika au kuremba chakula?Yeye muda wote atakuwa anawaza kubadilisha viwanja vya bata,kila wakati anasuburia iite apigiwe simu na marafiki zake waende viwanja.
 
Kuja jamii za ovyo kwenye malezi kama za Wavaa kobasi....elimu zero, maendeleo zero, Uchawi na ngono ndio kitu wanaweza sana
 
Sema wanajua kuweka viungo sio kupika wanajaza mavitu mengi balaa nyie ndo mnaona mtu akiweka tangawizi,mdalasini,kitunguu saumu, ndo kujua kupika unakuta unakula pilau unatafuna vigogo tu vya mdalasini wali upo kidogo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuja jamii za ovyo kwenye malezi kama za Wavaa kobasi....elimu zero, maendeleo zero, Uchawi na ngono ndio kitu wanaweza sana
Hapo kwenye kudhani ukiwa na elimu inamaliza kila kitu ndio inayoharibu malezi na maadili pamoja na tamaduni.
Mtu akishakuwa na makaratasi ya shule anataka kuiga lifestyle za wazungu kwenye kila kitu kumbe ndio mnaharibikiwa.
Hivi ukiwa na elimu ya makaratasi lakini kwenye maadili ni sifuri hapo hiyo elimu inakuwa imekusaidia nini?
 
Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia zao

Na wakati wa sikukuu kama Idd hapo useseme
Wanapenda
1. Vileja vya tambi
2. Keki
3. Katie's
Nk
Ni ukweli uliowazi wakiristo wengi maneno mengi tu lkn katika kupika vyakula vitamu ni 0.
Karibuni kula skukuu kwangu, ule vyakula vitamu
Si hivyo tu, hata kuongea hawajui.
 
Sio usafi huo wa kufyagia barabara au kuokota makaratasi na kuyatia kwenye dustbin hapa unaongelewa usafi wa mtu binafsi yaani kuanzia mavazi uliyovaa nje ya mwili na usafi wa ndani ya mwili.
Yaani kwa mfano unaweza ukamuona mtu amevaa mavazi yanayong'aa na kuvutia lakini ukimsogelea anatoa harufu mbaya maana yake mtu huyo bado hajui usafi.
Hope umeelewa
Wakazi wa Arusha na Moshi hata ukipanda kwenye daladala/hiace unasikia harufu nzuri tu ya uturi, huwezi kusikia harafu ya jasho kama watu wa Dar. Hata kwa mavazi ni nadhifu sana.

Pia Migahawa ya aina zote na mama ntilie wa Arusha na Moshi wanahudumia kwenye mazingira ya usafi sana.
 
Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia zao

Na wakati wa sikukuu kama Idd hapo useseme
Wanapenda
1. Vileja vya tambi
2. Keki
3. Katie's
Nk
Ni ukweli uliowazi wakiristo wengi maneno mengi tu lkn katika kupika vyakula vitamu ni 0.
Karibuni kula skukuu kwangu, ule vyakula vitamu
Kwani utamu wa kwenye chakula ni nini?
1. Mate ya mlaji
2. Hisia au feeling ya mlaji
3. Sukari
4. Chumvi
5. Mafuta
6. Viungo
7. Harufu

Nadhani lishe au chakula chenye lishe bora ni bora kushinda utamu wa mdomoni na harufu ya puani

Tusiishi kama wanyama wanaoendeshwa na senses
 
Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia zao

Na wakati wa sikukuu kama Idd hapo useseme
Wanapenda
1. Vileja vya tambi
2. Keki
3. Katie's
Nk
Ni ukweli uliowazi wakiristo wengi maneno mengi tu lkn katika kupika vyakula vitamu ni 0.
Karibuni kula skukuu kwangu, ule vyakula vitamu
Mnajua kupika
 
Wakazi wa Arusha na Moshi hata ukipanda kwenye daladala/hiace unasikia harufu nzuri tu ya uturi, huwezi kusikia harafu ya jasho kama watu wa Dar. Hata kwa mavazi ni nadhifu sana.

Pia Migahawa ya aina zote na mama ntilie wa Arusha na Moshi wanahudumia kwenye mazingira ya usafi sana.
Kwa maelezo yako may be uko sahihi kwa asilimia fulani ila kuna kitu kidogo tu bado hukumuelewa mtoa mada,ukielewa hicho kitu utaongeza uwelewa zaidi.
Wewe ulishawahi kuoa au kuishi na mwanamke wa Moshi/Arusha?
 
Na utofauti huu unatokana na aina ya malezi.

Mabinti wa kiislamu huwa wanaandaliwa kuja kuwa wake bora tangu udogoni na moja ya vitu muhimu vya kuzingatia kwa mtu anayejiandaa kuja kuwa mke wa mtu ni sanaa ya upishi... na ndio maan mabinti wa kiislamu wengi hata wasomi ni wataalamu sana kwenye masula ya mapishi, mimi mwenyewe katika wanawake wote wa kiislamu niliowahi kuwa nao kimahusiano hakuna hata mmoja ambaye alikuwa hajui kupika, kwanza walikuwa wananisahaulisha kabisa kula kwa mama ntilie...

malezi yao ni tofauti kabisa na mabinti wetu wa kikristo hasa wa kisasa ambao wao tangu udogoni wanaandaliwa kuja kujitegemea kiuchumi, na wala hawaandaliwi kuja kuwa wake za watu.

Leo hii wewe ukimlea binti yako wa kikristo katika misingi ya kumuandaa kuja kuwa mke bora huko mbeleni, unaambiwa eti unamuandaa kuja kuwa mtumwa wa mwanaume..😙 ni huzuni... matokeo yake ndio tunapata wanawake kama joyce kiria, ambao hawana sifa za kuolewa ila wanazitaka ndoa.
Wewe ukiwa na mtoto wa kike/binti utamuandaa kuja kuwa mke wa mtu wa kutegemea mwanaume tu au utamuanda kuwa mtu wa kujitegemea mwenye kazi yake nzuri inayomuingizia kipato??
 
Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia zao

Na wakati wa sikukuu kama Idd hapo useseme
Wanapenda
1. Vileja vya tambi
2. Keki
3. Katie's
Nk
Ni ukweli uliowazi wakiristo wengi maneno mengi tu lkn katika kupika vyakula vitamu ni 0.
Karibuni kula skukuu kwangu, ule vyakula vitamu
Mtu ameshajiita malaria mwenyewe bila shurti, kuna mtu hapo? We una matatizo ya afya ya akili
 
Back
Top Bottom