Wakiristo hawajui kupika vyakula vitamu?

Wakiristo hawajui kupika vyakula vitamu?

Sema wanajua kuweka viungo sio kupika wanajaza mavitu mengi balaa nyie ndo mnaona mtu akiweka tangawizi,mdalasini,kitunguu saumu, ndo kujua kupika unakuta unakula pilau unatafuna vigogo tu vya mdalasini wali upo kidogo.
 
Sema wanajua kuweka viungo sio kupika wanajaza mavitu mengi balaa nyie ndo mnaona mtu akiweka tangawizi,mdalasini,kitunguu saumu, ndo kujua kupika unakuta unakula pilau unatafuna vigogo tu vya mdalasini wali upo kidogo.
Na nazi pia.
 
Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia zao

Na wakati wa sikukuu kama Idd hapo useseme
Wanapenda
1. Vileja vya tambi
2. Keki
3. Katie's
Nk
Ni ukweli uliowazi wakiristo wengi maneno mengi tu lkn katika kupika vyakula vitamu ni 0.
Karibuni kula skukuu kwangu, ule vyakula vitamu
Una chuki sana dhidi ya Wakristo na chuki inakukula sana, huna upendo kabisa
 
Ushasikia mtu anasema yule mama/dqda ana mkono wa kusuka au kupika au mkono wa kupangilia nyumba kwa maana ya kuiremba, au mkono wa chumvi.

Kuna wanaorithishwa, yaa upishi uko kwenye damu, mnapika wote hapa na hapa na vifaa wote sawa, wali harage tuu ila ukila wali wake unakaa kwenye mkeka ukomboreze na ukoko.

Kuna wanaopenda kupika, hawajui, wanajifunza kwa nia hadi wanajua na wanakuwa mafundi.

Kuna wanaopikq mradi wasilale njaa.

Cooking is an art being a Christian or Muslim.
Ni kweli,kupika hakuna dini.Ila huyu Malaria 2 ,kuna kitu hakipo Sawa kwenye hiyo kichwa yake.Anashadadia mambo ya udini sijui kwanini.
 
Kwenye masuala ya usafi, mapishi, utiifu na uvumilivu(nyakati za shida) wanawake wa kikristo wamezidiwa kwa mbali sana na wanawake wa kiislamu.

Ukitaka kufurahia mapenzi tafuta ustadhati mmoja alieshika dini weka ndani
Mimi nimezaliwa hapa mikindani na nikakulia hapahapa na baadae nikahamia kilwa sasa mpaka nimejiuliza pwani unayoizungumzia wewe ni ipi?kuna wale madigala wakisukuma kipindi madini ya tunduru kutema walisema hakuna sehemu wamekutana na wanawake rahisi kama mtwara na lindi
 
Back
Top Bottom