Tena itakuwa imepanda kichwani, Ile wanaita cellebral malariaWe unaumwa Malaria 2 wahi ALU msimu wa mvua mbu wengi
Tena itakuwa imepanda kichwani, Ile wanaita cellebral malariaWe unaumwa Malaria 2 wahi ALU msimu wa mvua mbu wengi
Wasomali kwenye mapishi nawakubali sana🙌, wakikupikia pilau lazima ujilambe mpaka kiwiko cha mikono.Wanaojua kupika
Wahindi
Jamii ya Wasomali,Ethiopia hawa jamaa wana balaa sana huo mpunga utadhani wanalima wao aisee...
Forsburg,Johannesburg wapo wote hao muda wa mchana inakua foleni ya kutosha watu wakifata chakula cha mchana hapo..
Hao Wanaokamatwa Tanzania huku ndio kazi yao kubwa kufungua restaurant jamaa wanapika aisee harafu wanasema Watanzania tuna roho mbaya sana kuliko Mataifa yote huko juu tunawanyanyasa mno huwa siwajibu kitu..Wasomali kwenye mapishi nawakubali sana🙌, wakikupikia pilau lazima ujilambe mpaka kiwiko cha mikono.
Kilwa/Lindi na Mtwara hiyo inaitwa kusini japo kuna baadhi ya mila na desturi zinaingiliana.Mimi nimezaliwa hapa mikindani na nikakulia hapahapa na baadae nikahamia kilwa sasa mpaka nimejiuliza pwani unayoizungumzia wewe ni ipi?kuna wale madigala wakisukuma kipindi madini ya tunduru kutema walisema hakuna sehemu wamekutana na wanawake rahisi kama mtwara na lindi
Walaji washafunguliwa huku uhitaji ni mwingiKuanzia kesho, nyama ya kitomoto itapanda sana Bei.
Ni kweli ukimkosea lazima adai talaka,kwa mfano kabla ya kumuoa unamdanganya kwamba wewe ni mtu safi hupendi michepuko na wala hunywi pombe baada ya kumuoa anagundua kumbe una michepuko na ni mlevi ila ulikuwa unamuigizia tu hapo lazima adai talaka.Hapo kwenye uvumilivu sidhani kama upo sahihi.
Wa kiislam kudai talaka chap Mara moja wakiona ramani haisomeki.
Ndio uhalisia kwan hapo kuna jungu ganiUna majungu 😂
Kichwani mwako muna shida sana aisee eti mtwara na Lindi sio pwani wakati tunashea kila kitu na hao unaowaita wa mkuranga na huko bagamoyo...Kilwa/Lindi na Mtwara hiyo inaitwa kusini japo kuna baadhi ya mila na desturi zinaingiliana.
Pwani ni Dar es salaam,Pwani(Bagamoyo/Rufiji/Mafia/Mkuranga) na Tanga.
Halafu hiyo sababu yako uliyoitoa hata haihusiani na maadili,kuwa mrahisi au mgumu ni kitu tofauti kabisa na maadili.
Labda nikuulize swali moja la kizushi halafu utachekecha mwenyewe akilini mwako.
Hivi kuna wale wanawake mfano wakina Irene Uwoy utasikia wanasemaga hivi,nanukuu"Mimi sipatikani kirahisi ili mwanamme anipate mimi anatakiwa awe na mahali ya milioni 500" hivi wale ndio maadili yao mazuri?
Sasa wewe mwanamke umemfuata ukamuomba muwe wapenzi anakukubalia baadae unakuja kumlaumu,na akikunyima baadae utalaumu tena na kusema wana roho mbaya sana wale,wana ubinafsi wanapeana wenyewe kwa wenyewe tu(jokes)
Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia zao
Labda wanazingatia maelezo ya Prof J 🙂🙂Na wakati wa sikukuu kama Idd hapo useseme
Wanapenda
1. Vileja vya tambi
2. Keki
3. Katie's
Nk
Ni ukweli uliowazi wakiristo wengi maneno mengi tu lkn katika kupika vyakula vitamu ni 0.
Karibuni kula skukuu kwangu, ule vyakula vitamu
Kwamba wanaueweka kabatiniNdio uhalisia kwan hapo kuna jungu gani
Ndio ndioKwamba wanaueweka kabatini
Dini yoyote ambayo imetanguliza mambo ya vyakula mbele jua ya kwamba ulafi upo mbeleeeee zaidi ndo maana wakati wa mfungo wao hula zaidi kuliko kawaida
Sasa unajiuliza wamefunga au wamebadilisha mlo.
Chunga sana mambo ya udini utajikuta matatizoni.
Ni mimi mchangiaji asanteee ni
Na mitimiti mingi 😊😅Kanisikitisha sana kisa pilau wanajaza mafuta mengi 😂