Wakiristo hawajui kupika vyakula vitamu?

Dini yoyote ambayo imetanguliza mambo ya vyakula mbele jua ya kwamba ulafi upo mbeleeeee zaidi ndo maana wakati wa mfungo wao hula zaidi kuliko kawaida
Sasa unajiuliza wamefunga au wamebadilisha mlo.
Chunga sana mambo ya udini utajikuta matatizoni.
Ni mimi mchangiaji asanteee ni
 
Kwenye masuala ya usafi, mapishi, utiifu na uvumilivu(nyakati za shida) wanawake wa kikristo wamezidiwa kwa mbali sana na wanawake wa kiislamu.

Ukitaka kufurahia mapenzi tafuta ustadhati mmoja alieshika dini weka ndani
Na utofauti huu unatokana na aina ya malezi.

Mabinti wa kiislamu huwa wanaandaliwa kuja kuwa wake bora tangu udogoni na moja ya vitu muhimu vya kuzingatia kwa mtu anayejiandaa kuja kuwa mke wa mtu ni sanaa ya upishi... na ndio maan mabinti wa kiislamu wengi hata wasomi ni wataalamu sana kwenye masula ya mapishi, mimi mwenyewe katika wanawake wote wa kiislamu niliowahi kuwa nao kimahusiano hakuna hata mmoja ambaye alikuwa hajui kupika, kwanza walikuwa wananisahaulisha kabisa kula kwa mama ntilie...

malezi yao ni tofauti kabisa na mabinti wetu wa kikristo hasa wa kisasa ambao wao tangu udogoni wanaandaliwa kuja kujitegemea kiuchumi, na wala hawaandaliwi kuja kuwa wake za watu.

Leo hii wewe ukimlea binti yako wa kikristo katika misingi ya kumuandaa kuja kuwa mke bora huko mbeleni, unaambiwa eti unamuandaa kuja kuwa mtumwa wa mwanaume..😙 ni huzuni... matokeo yake ndio tunapata wanawake kama joyce kiria, ambao hawana sifa za kuolewa ila wanazitaka ndoa.
 
Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia zao

Na wakati wa sikukuu kama Idd hapo useseme
Wanapenda
1. Vileja vya tambi
2. Keki
3. Katie's
Nk
Ni ukweli uliowazi wakiristo wengi maneno mengi tu lkn katika kupika vyakula vitamu ni 0.
Karibuni kula skukuu kwangu, ule vyakula vitamu
 
Attachments

  • Screenshot_20250211_073015_Instagram.jpg
    Screenshot_20250211_073015_Instagram.jpg
    173.8 KB · Views: 15
Na utofauti huu unatokana na aina ya malezi.

Mabinti wa kiislamu huwa wanaandaliwa kuja kuwa wake bora tangu udogoni na moja ya vitu muhimu vya kuzingatia kwa mtu anayejiandaa kuja kuwa mke wa mtu ni sanaa ya upishi... na ndio maan mabinti wa kiislamu wengi hata wasomi ni wataalamu sana kwenye masula ya mapishi, mimi mwenyewe katika wanawake wote wa kiislamu niliowahi kuwa nao kimahusiano hakuna hata mmoja ambaye alikuwa hajui kupika, kwanza walikuwa wananisahaulisha kabisa kula kwa mama ntilie...

malezi yao ni tofauti kabisa na mabinti wetu wa kikristo hasa wa kisasa ambao wao tangu udogoni wanaandaliwa kuja kujitegemea kiuchumi, na wala hawaandaliwi kuja kuwa wake za watu.

Leo hii wewe ukimlea binti yako wa kikristo katika misingi ya kumuandaa kuja kuwa mke bora huko mbeleni, unaambiwa eti unamuandaa kuja kuwa mtumwa wa mwanaume..😙 ni huzuni... matokeo yake ndio tunapata wanawake kama joyce kiria, ambao hawana sifa za kuolewa ila wanazitaka ndoa.
Ni kweli kabisa.
 
Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia zao

Na wakati wa sikukuu kama Idd hapo useseme
Wanapenda
1. Vileja vya tambi
2. Keki
3. Katie's
Nk
Ni ukweli uliowazi wakiristo wengi maneno mengi tu lkn katika kupika vyakula vitamu ni 0.
Karibuni kula skukuu kwangu, ule vyakula vitamu
Kweli kabisa!
 
Una usenge mwingi sana hata sijui umefunga nini au utafutiwe basha uolewe, umemaliza funga ubado unaendeleza upuuzi wako ule ule.
 
Arusha na Moshi ndio mahali kunapoongoza kwa usafi nchini.
Sio usafi huo wa kufyagia barabara au kuokota makaratasi na kuyatia kwenye dustbin hapa unaongelewa usafi wa mtu binafsi yaani kuanzia mavazi uliyovaa nje ya mwili na usafi wa ndani ya mwili.
Yaani kwa mfano unaweza ukamuona mtu amevaa mavazi yanayong'aa na kuvutia lakini ukimsogelea anatoa harufu mbaya maana yake mtu huyo bado hajui usafi.
Hope umeelewa
 
Back
Top Bottom