Wakiristo hawajui kupika vyakula vitamu?

Wakiristo hawajui kupika vyakula vitamu?

Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia zao

Na wakati wa sikukuu kama Idd hapo useseme
Wanapenda
1. Vileja vya tambi
2. Keki
3. Katie's
Nk
Ni ukweli uliowazi wakiristo wengi maneno mengi tu lkn katika kupika vyakula vitamu ni 0.
Karibuni kula skukuu kwangu, ule vyakula vitamu
Wakipika vyakula vyao vitamu hatuli, hakuna chakula kitamu kwa wakristo kama kitimoto!
 
Wakipika vyakula vyao vitamu hatuli, hakuna chakula kitamu kwa wakristo kama kitimoto!
Biblia inakataza ulaji wa nyama ya nguruwe (kitimoto) katika Agano la Kale. Katika Mambo ya Walawi 11:7-8 na Kumbukumbu la Torati 14:8, Mungu aliwaamuru Waisraeli wasile nguruwe kwa sababu ni najisi kwao. Andiko la Mambo ya Walawi 11:7-8 linasema:

"Tena nguruwe, kwa kuwa ana kwato zilizogawanyika, lakini hacheui, ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; ni najisi kwenu."
 
Watu wa pwani hasa wanawake bila kujali dini zao wanajua kupika.
Watu bara miyeyusho, ni wachache wenye ujuzi huo.
 
Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia zao

Na wakati wa sikukuu kama Idd hapo useseme
Wanapenda
1. Vileja vya tambi
2. Keki
3. Katie's
Nk
Ni ukweli uliowazi wakiristo wengi maneno mengi tu lkn katika kupika vyakula vitamu ni 0.
Karibuni kula skukuu kwangu, ule vyakula vitamu
We kweli Malaria 2 tena ringi 8
 
Huo ndio ukweli!
Mabinti wengi wa kiislamu wapo vizuri jikoni ukiwaoa hupati shida ya kununua vitafunwa sababu vyote wanajua kuvitengeneza.
Sio kupika tu hata chumbani wapo vizuri

Ps mi mgalatia ila viuno vya Aziza siwezi sahau!
 
Back
Top Bottom