Wakinga kwa fasheni hawajambo

Wakinga kwa fasheni hawajambo

Ndagha gwe Lebhi, gwe MWAKATOBE
Kete ko maso nyambala ngete ngambele,.

Natania tu Bujibuji kumbe watani zetu basi nimekuelewa acha basi.

Sisi ni watawala wenu kiuchumi ukianzia Kyela,Busokelo,Tukuyu,Mbeya,Tunduma,Makambako nk.

Karibu Dar Es Salaam.
 
idiot kangi, mweeee mapembelo akalele lelo
Kila raia ana haki kuishi popote pale kama ana pesa zake,sio lazima kuishi Bulongwa.

Nimezaliwa Bulongwa kikazi nipo Dar,mbona ni kawaida,kama upo Dar njoo nyumbani tushauriane jinsi ya kuwekeza hapa mjini.
 
Back
Top Bottom