Wakinga kwa fasheni hawajambo

16298436_1363829347025722_2659657559077544739_n.jpg
 
Ndugu hio ni History na sijui,kwa mtu mwenye elimu atatafuta pesa sio kwenda kwa Wanganga,wajinga ndio waliwao.

Nimezaliwa Bulongwa hadi Olevel nimesoma kule,Alevel Mbeya na chuo Dar sijui nasikikia tu hayo majina na ni mfanyabishara hapa mjini.
I love my kinga tribe n my people! We are fighters n born to reign financial breakthrough

Endeleeni kutusema wachawi sie tunaendelea kumiliki na kutawala katika maeneo mbalimbali ya biashara nchini, kwee wisova ndeti
 
Back
Top Bottom