Mbeya wanaiita half London, ukienda Makete utajua kua wanaisingizia Mbeya. Half London ni Makete.Unaomba uraia
Hata wewe omba uraia kwa nguvu zote.
Mbeya wanaiita half London, ukienda Makete utajua kua wanaisingizia Mbeya. Half London ni Makete.Unaomba uraia
Napata picha mkuu. Sijakukaribia kwa umri wala darasa.Ndio hivyo kwenye Payroll ya serikali niliingia mwaka 2012.
Jiji la Dar hadi leo niko hapa DSM.
kimsingi hakuna mwenyeji wa makete hata mmoja....... tena pale iwawa palikua pori na kituo cha barafu......... kwaio hata wa mahanji nao sio wenyejiNdio ujue ni wageni walivamia tu kama wanavyovamia mikoa mingine.
A-level imeanza juzi pale.......dah huyo dada alikudanganya uchawi siku hizi hakunaMimi ilikua A level, headmistress alikua anaitwa Kihongwe.
Duh... nasikia kila nyumba INA ndyekiMbeya wanaiita half London, ukienda Makete utajua kua wanaisingizia Mbeya. Half London ni Makete.
Hata wewe omba uraia kwa nguvu zote.
Bado sijajua lugha ya wenyeji hapo umeniacha.Duh... nasikia kila nyumba INA ndyeki
Ndyeki ni kimnyama kiletcho Mali. Kimnyama hicho kinakunywa DAMU za watuBado sijajua lugha ya wenyeji hapo umeniacha.
hatuogopi madawa wala uchawi![]()
![]()
mnatuchamba af vitu vyetu mnapenda nyoo nikikuwekea dawa?
Ndio nini?Hauna ka ndyeki wewe?
mnyama wa kiuchawi anayeleta helaNdio nini?
Wamahanji ni Kyando,Luvanda,Mbogela,Fungo,Ngajilo/yilo,Tweve,Sanga,Mvela,Sigala nk.bulongwa huko ndio kina kyando asili yao......... unataka kusema nao ni wa mahanji?![]()
![]()
![]()
Kama unakaribia 30yrs tunalingana au kukaribiana.Napata picha mkuu. Sijakukaribia kwa umri wala darasa.
Wamahanji wametoka wapi.kimsingi hakuna mwenyeji wa makete hata mmoja....... tena pale iwawa palikua pori na kituo cha barafu......... kwaio hata wa mahanji nao sio wenyeji
Mimi wa Bulongwa lakini sijamuelewa.Bado sijajua lugha ya wenyeji hapo umeniacha.
Watu weusi tuna shida sana.Ndyeki ni kimnyama kiletcho Mali. Kimnyama hicho kinakunywa DAMU za watu
Lord lofaDah! Lemutuz
Education Education Education.mnyama wa kiuchawi anayeleta hela