Wakinga kwa fasheni hawajambo

Wakinga kwa fasheni hawajambo

Umoja wa wakinga Tanzania utaanzishwaaa hivi karibuni kwa Lengo la kuinua na kuboresha uhusiano wa kibiashara!!!

Hii ni kwa ndani na nje ya nchi!!!,ikiwa mkakati MAALUM wa kuvunja taswira na wrong notion zilizo wajaa wenye wivu kuwa mafanikio ya kibiashara ya wakinga huletwa na imani za kishirikina!!!

Ikiwa unataka kuingia katika umoja wa wakinga-Tz basi karibu pm tuanze majukumu!!!
 
14583262_1631430723818087_5764764495498969088_n-jpg.464065
Mabeberu Hawa hata kuoa sidhani Kama wameoa, ni kuzitafuna papuchi Kama hamna kesho
 
Back
Top Bottom