Wakinga kwa fasheni hawajambo

Soma post yako vizuri halafu uniambie kina SANGA ni Kabila gani?
Wewe mbona mbishi,mimi nimezaliwa na kukulia Makete(Kipagalo).

1.Tarafa ya Matamba(Ikuwo,Mfumbi,Kitulo,nk) ni Wawanji lakini Sanga wapo.

2.Tarafa ya Bulongwa(Kipagalo,Luwumbu nk).
Wengi ni Mahanji na Wakinga wachache lakini Sanga wapo eneo lote la tarafa ya Bulongwa kuanzia Ilevelo(jirani na ziwa Nyasa) hadi Zambia hadi Madihani ni Wamahanji tu lakini Sanga wapo.

3.Tarafa ya Lupila inayopakana na Ziwa Nyasa ni Wakinga tu na Sanga ndio wengi.

4.Tarafa ya Lupalilo(Makete mjini(Iwawa),Tandala,nk) ni Wakinga tu na Sanga wapo.

5.Tarafa ya Magoma(Ipelele,Iniho,Kigulu)inayopakana na Mbeya ni Wamagoma na Wanyakyusa,Sanga wapo.

Sanga wapo wilaya yote ya Makete tofauti wengine kama Mbilinyi wanapatikana wengi Lupalilo.

Usipoelewa hapa nitajua kuwa Mwakaleli mnafundishwa ujinga.
 
Ila kiukweli toka wakinga watawale soko la kariakoo yani unaweza ukaenda kutafuta nguo nzuri ya kijanja ukakosa kariakoo nzima. Yani nguo sasa hivi kariakoo zimekua za watu wa mikoani.
mikoa gani mkuu?labda mashariki na kaskazini,kamwe usithubutu kufananisha ujanja wa kuvaa kwa mikoa ya nyanda za juu na huko mashariki za pwani na kaskazini na mamidosho yenu,utakuwa unafeli sana..
 
Mwakipande si ndio alikuwa anagawa mabasi. Embakassy, Victoria, Comfort, Safina, Tunyande, Matema Beach, Upendo wote walipata mabasi kwa Mwakipande
acha kashfa na matusi ya rejareja,kwahiyo mshua wangu mabasi aliyapata kwa uchawi,katika hiyo orodha hapo kuna mabasi ni ya kwetu ya mzee wangu,na nnajua aliyanunuaje na pesa ilipatikanaje,acha kutaja na kuropoka vitu usivyovijua,masikini kweli mna kazi,utakufa na umasikini wako kazi majungu tu kwa mali za watu,mwambie na baba yako akapewe na yeye mabasi bwege wewe,natamani nikufahamu,ningekukomesha!
 
asante sana mjukuu wa Mwakipande
Naona una tatizo la Mental Retardation nimekuambia mimi wa Kipagalo ni Mmahanji,ukifika Kipagalo ukisalimia Mapembelo watakuangalia usoni na kukuuliza "Wewe ni Mkinga".

Kwa taarifa hata Wakinga wanatuelewa kuwa sisi ni wabaguzi tuna tabia ya kutumia neno "sisi" yaani Ufwefwe kwa kimahanji na hatupendi kuwasikiliza Wakinga hadi kuitwa wabishi.

Huyo Mwakipande alikuwa Mkinga wa Lupila ni eneo lipo mwambao wa ziwa Nyasa.
 
acha kashfa na matusi ya rejareja,kwahiyo mshua wangu mabasi aliyapata kwa uchawi,katika hiyo orodha hapo kuna mabasi ni ya kwetu ya mzee wangu,na nnajua aliyanunuaje na pesa ilipatikanaje,acha kutaja na kuropoka vitu usivyovijua,masikini kweli mna kazi,utakufa na umasikini wako kazi majungu tu kwa mali za watu,mwambie na baba yako akapewe na yeye mabasi bwege wewe,natamani nikufahamu,ningekukomesha!
Masikini huyu anatapatapa,wameacha kuomba ushauri jinsi ya kupata pesa kwa Wachaga na Wakinga wao ni kuonyesha ujinga wa ngozi nyeusi.
 
Masikini huyu anatapatapa,wameacha kuomba ushauri jinsi ya kupata pesa kwa Wachaga na Wakinga wao ni kuonyesha ujinga wa ngozi nyeusi.
kaniboa kinyama,watu tunapambana na umasikini na familia zetu wao kupiga majungu na kashfa kwa wasichokijua...
 
Wakinga ni wachapa kazi na wana juhudi kubwa na wanaweza fanya kazi yeyote ile halali.
Hawachagui kazi na wanajituma kwelikweli.Hawapendi sifa za kijinga kama vile kusifiwa
kuvaa,matumizi ya madawa ya ulevi na kuhonga.
Historia inatueleza kuwa juhudi za wakinga zilianza pale teknolojia ya chuma ilipofika nyanda za juu kusini.Wakinga walitengeneza zana za chuma na kuziuza kwa wanyakyusa,wafipa na wasafwa.Uchumi wao ukakua na kutoa watawala waliowatawala wasafwa na wanyakyusa.
Toka enzi hizo wakinga hawajabadili tabia yao ya utafutaji na utunzaji wa mali.
Makabila mengine wameshindwa kuiga tabia za wakinga na wakaona njia rahisi ya kujipa moyo ni kuwakashifu wakinga kuwa ni wachawi.
Pamoja na kashfa zote hizo wakinga hawajawali wala kukata tamaa na wanaendelea kung'ara.
Mojawapo ya sifa kubwa ya wakinga ni kutojali maneno machafu wanayotupiwa na watu ambao ni mafukara wa fedha na maskini wa mawazo.
 
Back
Top Bottom