Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
AiseeDar nakojoa, Mbeya nakojoa, Iring nako nakojoa![]()
AiseeDar nakojoa, Mbeya nakojoa, Iring nako nakojoa![]()
Nguo za kijanja wakati watanzania wengi chali kifedha? nani anaweza nunu LEVIS Jeans mpya ioriginal laki 2 na nusu au sneaker original Adidas laki 3? peleka wewe za kijanja upige businessIla kiukweli toka wakinga watawale soko la kariakoo yani unaweza ukaenda kutafuta nguo nzuri ya kijanja ukakosa kariakoo nzima. Yani nguo sasa hivi kariakoo zimekua za watu wa mikoani.
Mimi mwenzenu jamani, nimekaa Mwakauta. Naomba unieleweshe.
Ndio mkuu.Mkuu wewe ni wa kitambo
Ebu tamka neno 'nakujua' kwa kutumia ile accent yetu
nimekupata mzeeAcha kutegemea mikopo huwezi kufanikiwa,anza na vibarua uwe na mtaji wako mwenyewe.Kuna vicoba moja ipo Mbeya inaendeshwa na Wakinga inadaiwa ukikopa pale kama wewe siyo Mkinga hilo deni hautakuja kulipa.
Ni kweli, o level tangu muda, ila A level ndiyo ilianzishwa miaka ya 2009/ 10.Ndio mkuu.
Kumbuka ile sio shule ya kata.
Mwalemi![]()
kaa tayari kurogwa
Nimehitimu pale mwaka 2004 ila Kihongole alikuwepo.Ni kweli, o level tangu muda, ila A level ndiyo ilianzishwa miaka ya 2009/ 10.
Ni kweli mkuu.Acha kutegemea mikopo huwezi kufanikiwa,anza na vibarua uwe na mtaji wako mwenyewe.
Pesa na mabenki na vikoba ni ngumu kufanikiwa.
Dah halafu mimi nimeenda kugusa ardhi ya pale kisa elimu zaidi ya miaka mitano mbele.Nimehitimu pale mwaka 2004 ila Kihongole alikuwepo.
Ndio hivyo,Wakinga wengi ni watu wenye nguvu wanapiga kazi zote wakifanikiwa wanaitwa wachawi.Ni kweli mkuu.
Unaomba uraiaMimi mwenzenu jamani, nimekaa Mwakauta. Naomba unieleweshe.
Ndio hivyo kwenye Payroll ya serikali niliingia mwaka 2012.Dah halafu mimi nimeenda kugusa ardhi ya pale kisa elimu zaidi ya miaka mitano mbele.
Mkuu heshima yako.
Unawezaje kutajirika kwa kuuza chai ya maziwa sh. mia kikombe?Acha kutegemea mikopo huwezi kufanikiwa,anza na vibarua uwe na mtaji wako mwenyewe.
Pesa na mabenki na vikoba ni ngumu kufanikiwa.
Ndugu watu wanalima mazao na miti,wewe wa wapi nenda Bulongwa kafanye utafiti.Unawezaje kutajirika kwa kuuza chai ya maziwa sh. mia kikombe?
Hauna ka ndyeki wewe?Ndugu watu wanalima mazao na miti,wewe wa wapi nenda Bulongwa kafanye utafiti.
Nipo Dar lakini mzawa wa kata ya Kipagalo,tarafa ya Bulongwa.
Hauna ka ndyeki wewe?Ndugu watu wanalima mazao na miti,wewe wa wapi nenda Bulongwa kafanye utafiti.
Nipo Dar lakini mzawa wa kata ya Kipagalo,tarafa ya Bulongwa.
bulongwa huko ndio kina kyando asili yao......... unataka kusema nao ni wa mahanji?Kwa Bulongwa Wamahanji ni wengi zaidi ila kwa Wilaya kweli ni Wakinga wengi zaidi ya 50%.
Jumlisha Wamagoma na Wawanji.
