Dogo tutajie hao "mabinti" watano...BTW, labda ni wanawake sio mabinti[emoji12] [emoji12]Kuwabadilisha Wadada wa Humu ndani Kuondokana na uhitaji wao wa pesa kwa wanaume huku za kwao wamezibana ni Sawa na kwenda kuitangaza biblia Katika Nchi ya Saudi Arabia... Shtuka ukishaonja sanuka humu ndani nina Imani na Mabinti Watano tu...
tuache ,,,.toa hela
mwanamke alikuwa mama yangu tu....
Habari zenu wanajamii forum,
Leo ngoja niongee na kina dada na tabia zao za ubahili.
Yaani utakuta hata mpenzi wako anakuwa mgumu kukusaidia inapotoke shida fulani lakini wao ni wepesi sana kuomba kusaidiwa sijui hizo hela zenu mnapeleka wapi jamani.
Hii nimeishuhudia hata kwa kaka yangu mke wake ni mgumu sana inapofika mumewe kaishiwa.
Hata utakuta msichana mnapendana sana ila suala la kutoa ni wagumu hawa viumbe aisee yaani yupo radhi akuachie ulipie kodi nyumba,ulipie watoto ada na mahitaji mengine yeye anauchunaa mpaka ukute mmekabwa sana ndio utaona anajitoa tena kiubahili.
Labda niwaulize hela zenu wakina dada huwa mnazipeleka wapi hata kusema baba ni kichwa cha familia muda mwingine jamani wanaume tunachoka sana tuwe tunasaidiana jamani sometimes.
Ni hayo tu, nawasilisha
Dogo tutajie hao "mabinti" watano...BTW, labda ni wanawake sio mabinti[emoji12] [emoji12]
shikamoo broMhm wee ulishabugi mennnn....mwanaume yoyote lazima ajue kuwa pesa ya mwanamke ni kwa ajili ya yeye peke yake i.e to luk sexy.Ada ya shule, matibabu, chalula, kumnunulia gari na kutia mafuta, outings, holidays, financial problems za familia yake na mengineyo ni jukumu la wewe mume. Ukilijua hilo wala hutapata presha nao.Wee kazi yako hapo ni kuhakikisha haleti uzembe kwenye idara yake ya kuwa sexy nd presantable na kutotoa watoto na kuwalea vizuri...huo ndio msaada wa mke.
Mhnnnn.... Haya bana....
Nambie............................
Maisha ni kusaidiana..........
Mie kama ninayo huwa natoa
Life is so beautiful If we help each other
Wala hamzai kwa uchungu sikuhizi,operation za uzazi zimekuwa kama kunywa chai.Jaman mwanaume ni kichwa cha familia na kazi ya kichwa ni kucontrol mwili hayo ni majukum ya mwanaume ndo maana imeandikwa;
"Mwanaume atatafuta kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu"
Sisi jukumu letu ni kuzaa kwa uchungu na wala hutusikii tukisema mtuaaidie kuzaa kwa uchungu coz tunajua ni jukumu letu
Mwanaume kuchacharika siyo kulalamika
Nu hayo tu sorry kama ntakua nimekuudhi.
Wala hamzai kwa uchungu sikuhizi,operation za uzazi zimekuwa kama kunywa chai.
Mi nachokaga kitu kimoja, akiwa peke yake anaishi kwa hela zake mwenyewe ni mbahili balaaa, sasa muoe weeeeee!!! matumizi anafanya kujiachia tu, daaah!!
hahahaha labda toka mwanzo ulionyesha unazo naye anatumia nafasi.......maisha kushirikishana wakati mwingine yanazidisha upendo kama hakuna unafiki ndani yake