Hizo ni trick za kushinda mdogo wangu....Mawakili siki hizi wengi ni Makanjanja sana, wengine Wana file hadi Forged documents Mahakamani ili mradi tu ashinde kesi kiujanjanja welidi hawana kabisa!!
Anaangaliwa na nani?
Wakili wa Sabaya, Mh Mahuna amesema Sabaya alikiri kosa la uhujumu uchumi na hivo kwa mujibu wa makubaliano ya Plea Bargaining Sabaya anapaswa kumlipa Alex Swai kwa niaba ya mdogo wake Tsh 5,000,000/=.
Mara baada ya hayo kesi ilienda kufail tena kwa makosa mawili ambayo ni "Kujitwawalia madalaka" pamoja na "Kuzuia utendaji wa haki" na ni makosa haya mawili alikiri na mahakama ikatoa hukumu ya kumuachia kutokana na mahakama kutokuwa na record yoyote kama Sabaya aliwahi kuhukumiwa kokote na kumpa muda wa uangalizi wa mwaka mmoja asitende kosa lolote (conditional discharge). Kimsingi mpaka sasa mahakama ya Tanzania haijasajili record yoyote kama imewahi kumtia hatiani Sabaya na kumpa kifungo chochote.

Kwa kufanya hizo dirty trick zenu ili mshinde kesi inamaana Hakimu au Judge mnawaona Kama wao mamburula tu kua hawajui chochote kile,au mnakua mmewashirikisha before kwenye hizo dirty trick zenu!!??Hizo ni trick za kushinda mdogo wangu....
Kuna Wakili Mzoefu sana Tanzania hadi mchonga alikua anamkubali alisha Cite kifungu cha uwongo mahakamani...hiyo ni katika moja na mbili mdogo wangu, ila Wakili wa upande wa pili alishtuka!!
Uenda akawa sawa, kwani hujui kama hii kes haikuwah kuanza kusikilizwa tangia ilipatajwa mwaka jana mwezi June? Unakumbuka Sabaya alikufungwa miaka 30 akaenda kata rufaa akashinda? Hiyo kazi alifanya huyohuyo Wakili Mahuna.Mwanasheria uchwara huyu. Ndiyo maana mwanzo mwisho kashindwa kumnasua mteja wake kwenye makucha ya sheria. Anaongea upupu huyu mwanasheria.
Kuachiwa huru hakunaga masharti.
Na Mahakama nayo ikamuachia bila kumuadabisha!!! "Ku Cite kifungu cha uwongo Mahakamani is not acceptable! Lying under Oath is detestable by any standard,,,"Hizo ni trick za kushinda mdogo wangu....
Kuna Wakili Mzoefu sana Tanzania hadi mchonga alikua anamkubali alisha Cite kifungu cha uwongo mahakamani...hiyo ni katika moja na mbili mdogo wangu, ila Wakili wa upande wa pili alishtuka!!
Ulienda mahakamani kupinga?Uchaguzi Mkuu wa 2020 hakuwa wa HAKI. Ni fedhea na aibu kuu. Mola atawashughulikia muda utakapowadia.
Anasubiria teuzi kama Ali hapiWamrudishe kazini basi ili wamuangalie vizuri!
Kuna wanasheria uchwara kama walivyo wataalam uchwara kwenye fani nyingine.Kukiri kosa mahakamani kunafuatiwa na kutiwa hatiani halafu adhabu ambayo ni hiyo conditional discharge.
Vinginevyo anaachiwa huru bila sharti lolote.
Kwa nini mtu asiye na hatia yoyote apewe masharti ya kuishi?
Hiyo tafsiri ya mwanasheria Ina ukakasi kwa mtu mwenye kutumia akili ya kawaida.
Wakili wa Sabaya, Mh Mahuna amesema Sabaya alikiri kosa la uhujumu uchumi na hivo kwa mujibu wa makubaliano ya Plea Bargaining Sabaya anapaswa kumlipa Alex Swai kwa niaba ya mdogo wake Tsh 5,000,000/=.
Mara baada ya hayo kesi ilienda kufail tena kwa makosa mawili ambayo ni "Kujitwawalia madalaka" pamoja na "Kuzuia utendaji wa haki" na ni makosa haya mawili alikiri na mahakama ikatoa hukumu ya kumuachia kutokana na mahakama kutokuwa na record yoyote kama Sabaya aliwahi kuhukumiwa kokote na kumpa muda wa uangalizi wa mwaka mmoja asitende kosa lolote (conditional discharge). Kimsingi mpaka sasa mahakama ya Tanzania haijasajili record yoyote kama imewahi kumtia hatiani Sabaya na kumpa kifungo chochote.
Siku hiyo ndiyo ambayo hata Makonda atarudishwaAnasubiria teuzi kama Ali hapi
Au huyo mwanasheria hajitambui au mleta mada amedanganya na wala hakuelewa kilichonenwa na wakili.Wakili wa Sabaya, Mh Mahuna amesema Sabaya alikiri kosa la uhujumu uchumi na hivo kwa mujibu wa makubaliano ya Plea Bargaining Sabaya anapaswa kumlipa Alex Swai kwa niaba ya mdogo wake Tsh 5,000,000/=.
Mara baada ya hayo kesi ilienda kufail tena kwa makosa mawili ambayo ni "Kujitwawalia madalaka" pamoja na "Kuzuia utendaji wa haki" na ni makosa haya mawili alikiri na mahakama ikatoa hukumu ya kumuachia kutokana na mahakama kutokuwa na record yoyote kama Sabaya aliwahi kuhukumiwa kokote na kumpa muda wa uangalizi wa mwaka mmoja asitende kosa lolote (conditional discharge). Kimsingi mpaka sasa mahakama ya Tanzania haijasajili record yoyote kama imewahi kumtia hatiani Sabaya na kumpa kifungo chochote.
Wewe unamwamini mleta mada. Soma vizuri, utagundua kujichanganya kwake. Yaelekea mleta mada hakuelewa chochote.Asante kwa ufafanuzi.
Kuna wakati nilikuwa na kesi ya madai. Mdauwa wangu alikuwa na mawakili watatu. Mimi nilismama mwenyewe, na siyo mwanasheria. Lakini mwishowe nilishinda na kulipwa 300m yangu. Kuna wengine ni mawakili jina, unaweza kuwashinda hata usiye somea sheria.Hawa mwaka Jana walifaulu 16 tu hivyo sishangai Wakili kuwa kiazi kiasi hiki.
Ule uchaguzi 2020 haukuwa Huru na Haki, hili jambo hata Mola analifahamu na washirika wa hilo jambo Mola anawafahamu pia. Ni suala muda tu!Ulienda mahakamani kupinga?