WAKILI MAARUFU MADELEKA KUPEWA KESI YA UGAIDI ?

Kwa kile kinacho onekana kuendelea kukomoa raia yeyote anae enda kinyuma na usawa na haki , Mhimili wa Dola , Mahakama na Polisi wameamua kufungulia kesi za Ugaidi wote watakaoisema serikali ya Samia vibaya. Huku Jeshi la Polisi likiwa kinara kupin point anaefuata wa kupewa kesi ya Ugaidi jambo ambalo wananchi wanalichukia sana.
Kufuatia Mhadhili wa Chuo kikuu kubambikwa kesi ya Ugaidi akiwa anafundisha darasani hali iliyoleta sintofahamu na hofu kubwa kwa walimu wa chuo pia.
Tayari vijana kadhaa wamebambikwa kesi za Ugaidi na Waziri wa mambo ya ndani kasisitiza kua ni MAGAIDI na washughulikiwe.
Mtaani panaendelea kuwepo na wimbi la wananchi wenye hasira kali dhidi ya vyombo vya dola na watawala (maana hawa sio viongozi).
Je panaweza kuibua maandamano makubwa nchi nzima kushinikiza dola itende haki na isitumike kisiasa ?
Wananchi gani unaowaongelea? Kama Madeleka atapewa kesi ya ugaidi shida nini? Yeye si Wakili bwana?
 
Kwa kile kinacho onekana kuendelea kukomoa raia yeyote anae enda kinyuma na usawa na haki , Mhimili wa Dola , Mahakama na Polisi wameamua kufungulia kesi za Ugaidi wote watakaoisema serikali ya Samia vibaya. Huku Jeshi la Polisi likiwa kinara kupin point anaefuata wa kupewa kesi ya Ugaidi jambo ambalo wananchi wanalichukia sana.
Kufuatia Mhadhili wa Chuo kikuu kubambikwa kesi ya Ugaidi akiwa anafundisha darasani hali iliyoleta sintofahamu na hofu kubwa kwa walimu wa chuo pia.
Tayari vijana kadhaa wamebambikwa kesi za Ugaidi na Waziri wa mambo ya ndani kasisitiza kua ni MAGAIDI na washughulikiwe.
Mtaani panaendelea kuwepo na wimbi la wananchi wenye hasira kali dhidi ya vyombo vya dola na watawala (maana hawa sio viongozi).
Je panaweza kuibua maandamano makubwa nchi nzima kushinikiza dola itende haki na isitumike kisiasa ?
Si leo si kesho ila ipo siku watu watajitoa kwa Sauti na miili yao wataitoa sadaka kwa udhalimu wa serikali hii iliyokataliwa na wananchi,MUNGU wetu sote
 
Madeleka haaminiki 50/50 nusu ndugu yao nusu mpambanaji
Ni kama yupo kazini vile..CDM kuweni nae makini huyu mtu...hata yule Mwenyekiti wenu la baraza la Wadhamini, Mama Mollel, nendeni nae kwa umakini..Haiwezekani mtu alishakuwa KM Utumishi, eti aende tofauti na Serikali..sidhani
 
Hizi kesi za ugaidi wanachukulia poa kjmbakia watu, siku magaid original wakipiga tukio ndio wataelewa
Mi kiukweli huwa inanishangaza sana watu kila uchwao huko kwa wenzetu waangaika na training ngumu za maana kwa elite forces zao kuweza ku counter hiyo terrorism ila huku sasa duh! Sijui tunachukuliaje huo ugaidi.
 
Kwa kile kinacho onekana kuendelea kukomoa raia yeyote anae enda kinyuma na usawa na haki , Mhimili wa Dola , Mahakama na Polisi wameamua kufungulia kesi za Ugaidi wote watakaoisema serikali ya Samia vibaya. Huku Jeshi la Polisi likiwa kinara kupin point anaefuata wa kupewa kesi ya Ugaidi jambo ambalo wananchi wanalichukia sana.
Kufuatia Mhadhili wa Chuo kikuu kubambikwa kesi ya Ugaidi akiwa anafundisha darasani hali iliyoleta sintofahamu na hofu kubwa kwa walimu wa chuo pia.
Tayari vijana kadhaa wamebambikwa kesi za Ugaidi na Waziri wa mambo ya ndani kasisitiza kua ni MAGAIDI na washughulikiwe.
Mtaani panaendelea kuwepo na wimbi la wananchi wenye hasira kali dhidi ya vyombo vya dola na watawala (maana hawa sio viongozi).
Je panaweza kuibua maandamano makubwa nchi nzima kushinikiza dola itende haki na isitumike kisiasa ?
Atapewa ya uhujumu uchumi
 
Back
Top Bottom