madeleka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Madeleka apandishwa kizimbani, akabiliwa na mashtaka matano ya kudharau Mahakama

    Mwanasheria Peter Michael Madeleka amefunguliwa kesi ya jinai yenye jumla ya mashtaka matano ya kudharau Mahakama, yakihusishwa na kauli na hotuba alizodaiwa kuzitoa na kuzisambaza kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mwenendo wa kesi ya uhujumu uchumi inayosikilizwa katika Mahakama Kuu ya...
  2. E

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Peter Madeleka: Yaliyotokea Oktoba 29 ni jinai, maridhiano sio suluhisho, hatua zichukuliwe kijinai kwa waliohusika

    Mwanasheria maarufu nchini, Peter Madeleka amesema matukio yaliyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 yana masuala ya jinai yanayopaswa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, akisema maridhiano hayawezi kuwa suluhisho la makosa ya jinai. Kauli hiyo ya Madeleka imekuja wakati Serikali...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Jaji aliyesema nimemdharau aje mahakamani nimdodose ili umma ujue

    Wakili Peter Madeleka amesema kesi inayomkabili ya tuhuma za kudharau amri ya Mahakama Kuu ni suala ambalo wananchi wanapaswa kulifuatilia kwa karibu, akitaka kubainika iwapo kwa mujibu wa sheria, tuhuma za aina hiyo zinapaswa kuchunguzwa na polisi. Amesema endapo kesi hiyo itafikishwa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Nimeambiwa CCM walisikitika mimi kukamatwa. Nashukuru wameonesha kazi na utu

    Madeleka: ‘Nimeambiwa CCM walisikitika mimi kukamatwa. Nashukuru wameonesha kazi na utu’ Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka ameyasema haya leo Agosti 18, 2026, wakati akiongea na vyombo vya habari baada ya kuachiliwa kwa dhamana kutoka Kituo Kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam...
  5. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka aachiwa huru bila masharti

    Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka, ameachiwa jioni ya leo, Agosti 17, 2026 bila masharti yoyote. Akizungumza na NipasheDigital, kwa njia ya simu muda mfupi uliopita, Wakili na Mwanaharakati wa Haki za Binadamu, William Maduhu, amesema Madeleka ameachiwa bila masharti na kwamba hana tuhuma...
  6. mirindimo

    JamiiForums Tanzania WAKILI MAARUFU MADELEKA KUPEWA KESI YA UGAIDI ?

    Kwa kile kinacho onekana kuendelea kukomoa raia yeyote anae enda kinyuma na usawa na haki , Mhimili wa Dola , Mahakama na Polisi wameamua kufungulia kesi za Ugaidi wote watakaoisema serikali ya Samia vibaya. Huku Jeshi la Polisi likiwa kinara kupin point anaefuata wa kupewa kesi ya Ugaidi jambo...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania MAHAKAMA hiyohiyo Kesi ya Lissu, inatoa Amri, Serikali haifuati , hamna kinachotokea. Alafu Madeleka anakamatwa kwa kutofata Amri ya Mahakama

    Ukistaajabu ya Mussa!!
  8. bhachu

    JamiiForums Tanzania Swali la msingi: Sheria ni Moja kwa wote?

    Kuna jambo linahitaji mjadala wa wazi, bila ushabiki wa kisiasa wala kumhukumu mtu kabla ya mchakato wa kisheria kukamilika. Wakili Peter Madeleka amekumbana na hatua za polisi katika mazingira yanayohusishwa na masuala yake ya kisheria. Wakati huo huo, mwaka 2023 mfanyabiashara Rostam Aziz...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi: Madeleka tunamshikilia kwa kudharau amri ya mahakama Kuu

    Madeleka ana bahati sana hajapotezwa. Baada ya Presha ya Mitandaoni Polisi wakiri kumshikilia. ==== TAARIFA KWA UMMA POLISI DAR ES SALAAM INAMSHIKILIA WAKILI PETER MADELEKA KWA TUHUMA ZA KUDHARAU AMRI YA MAHAKAMA KUU Mnamo tarehe 14 Agosti, 2026 saa 09.30 alasiri eneo la Mikocheni B...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Hauwezi kuwa na Vyama kwenye nchi isiyo na Haki

    Wakili Peter Madeleka, amesisitiza kuwa udhibiti wa haki za kimsingi nchini haupaswi kuangaziwa kwa jicho la kisiasa au vyama, bali kama suala la kitaifa linalogusa kila mwananchi na Katiba ya nchi. Akizungumza katika mahojiano maalum na kituo cha Mwananchi Digital, 8August 2026, Wakili...
  11. K

    JamiiForums Tanzania MADELEKA: Kwenye sheria hakuna 'viashiria' vya ugaidi, ni 'vitendo' vya ugaidi hivyo kama tunakubaliana havipo, basi zile kesi zifutwe kule mahakamani

    Wakili Peter Madeleka ametoa wito wa kufutwa kwa kesi za ugaidi zinazoendelea katika mahakama mbalimbali nchini, akieleza kuwa hazina msingi wa kisheria iwapo hakuna vitendo halisi vya ugaidi vilivyotendeka Akihojiwa katika mahojiano maalum na Mwananchi Digital mnamo Agosti 8, 2026, Wakili...
Back
Top Bottom