Bavicha bana kila mahala ushabiki wa vyama tu akirudi Chadema uporaji ndiyo utaisha acheni kuwapangia watu mitazano yao ya kisiasa.Pole sana.. Ila rudi CHADEMA kuongeza nguvu... Hii sio vita ya mtu mmoja
Daaah police wetu huwezi wasikia wamewakamata watu kama hawa interijensia yao ipo kwa Lema na Max.....
Mungu mkubwa kama umepona kwanza shukuru kuna wakili mmoja wa Kenya miezi miwili iliyopita alitekwa na wateja wake na dereva wake wakauawa na kuwekwa kwenye mifuko na kutupwa kwenye mto uku wakiwa wamakatwa katwa na mapanga
Huyu hapa............Very sad pole sana wakili....
Katika mazingira tata kama hayo chomoka na gari yako na break iwe no polisi au sehemu yenye Mwanga na watu wengi.Hata hivyo Wakili huyu pengine hakuwatilia mashaka ipasavyo.Watu km mawakili wanatakiwa kua makini sana manake wanaweza wakawa na maadui wengi bila kujua.Hili liwe fundisho kwa wengine.Akiwa kama wakili msomi alitakiwa kujua hatari anazoweza kukumbana nazo akiwa kama raia pia kama wakili.Unasimamishwa usiku na watu usio wajua huku ukijua hujafanya wanachokushutumu,unashuka kwenye gari... something fishy [emoji35][emoji35],au aligonga kitwa.ng.a?
Mara ya kwanza ilinitokea hii kitu, nje ya uwanja wa taifa kwenye mechi ya Tanzania vs Cameroon.. Daaah jamaa akawa analalamika nimemkanyaga, nikawa namwambia pole akaniachia, ile kupiga hatua moja tu nasikia simu yangu haipp mfukoni. Nikageuka nikakuta wanapeana ile simu nikamshika anirudishie simu akarudisha kwa aibu. WATU WA DAR HAWAKUNISAIDIAZamani kidogo Maeneo ya kigamboni/kkoo kibaka anakukanyaga kwa watembea miguu halafu anakwambia umemkanyaga huku ugomvi akisaidiana na vibaka wenzake kukuibia.
Daaah police wetu huwezi wasikia wamewakamata watu kama hawa interijensia yao ipo kwa Lema na Max.....
Mungu mkubwa kama umepona kwanza shukuru kuna wakili mmoja wa Kenya miezi miwili iliyopita alitekwa na wateja wake na dereva wake wakauawa na kuwekwa kwenye mifuko na kutupwa kwenye mto uku wakiwa wamakatwa katwa na mapanga
Huyu hapa............
Very sad pole sana wakili....
Mara ya kwanza ilinitokea hii kitu, nje ya uwanja wa taifa kwenye mechi ya Tanzania vs Cameroon.. Daaah jamaa akawa analalamika nimemkanyaga, nikawa namwambia pole akaniachia, ile kupiga hatua moja tu nasikia simu yangu haipp mfukoni. Nikageuka nikakuta wanapeana ile simu nikamshika anirudishie simu akarudisha kwa aibu. WATU WA DAR HAWAKUNISAIDIA
Kuanzia siku ile nikawa nimeshajifunza, hivyo mpaka leo mtu akinizingua kwa style hiyo hawezi kunipata.
Ingekuwa anazungumziwa darasa au jux wala usingeuliza, lakini huyu eti humjui na wewe ni member JF.Ndio nani huyo tutambulishe mkuu
Hayo mambo yapo sana mkuu. Pole sana kwa tukio, mimi nimeshashuhudia mengi.Mara ya kwanza ilinitokea hii kitu, nje ya uwanja wa taifa kwenye mechi ya Tanzania vs Cameroon.. Daaah jamaa akawa analalamika nimemkanyaga, nikawa namwambia pole akaniachia, ile kupiga hatua moja tu nasikia simu yangu haipp mfukoni. Nikageuka nikakuta wanapeana ile simu nikamshika anirudishie simu akarudisha kwa aibu. WATU WA DAR HAWAKUNISAIDIA
Kuanzia siku ile nikawa nimeshajifunza, hivyo mpaka leo mtu akinizingua kwa style hiyo hawezi kunipata.
Nakumbuka ila sababu hakua mwanasiasa ama wakili wa wanasiasa watu waliona kama ni utaniPole sana kuna mtu mmoja aliwahi kutoa tahadhali juu ya mbinu hii mpya ya kuiba
Pole sana wakili Msando,huu ni aina ya wizi mpya,umechukua nafasi ya wavunja vioo vya magari na kuiba power window na laptops
Haya ndio aliyoandika baada ya tukio!
Ndugu zangu, nawashukuruni wote mliojaribu kunitafuta na kunipa pole toka jana. Sikuwa napatikana kwa sababu walionivamia waliiba simu pamoja na vitu vingine.
Kilichotokea: Usiku wa saa tano siku ya Alhamisi (juzi) nilisimamishwa na gari baada kupigiwa honi na kuwashiwa taa na gari iliyokuwa nyuma yangu. Niliposhusha kioo driver akawa anaongea haraka haraka kwamba nimewagonga wakati narudi nyuma parking na nakimbia. Nikamjibu kwamba sijamgonga.
Akaniambia umetugonga angalia bampa. Kweli bampa lilikuwa limelegea. Ila sikuwa nimewagonga hivyo nikaendelea kubisha. Akaniambia shuka uangalie hata pembeni. Alikuwa amevaa smart tu so nikashuka. Wakati naangalia anaposema nimemgonga wakashuka wengine wawili kutoka kwenye gari na kunishika. Wakaanza kunishambulia huku wakinipora wallet, saa nk. Then wakanikata panga kichwani na kupekua gari wakaondoka na laptop na simu pamoja na funguo wa gari.
Kwa sasa naendelea vizuri baada ya kupata matibabu. Nawashukuru wote.
Albert Msando
Mkuu usipojiangalia utapata Bipolar disorder ambayo bavicha na red brigade wenzako wanaumwaDaaah police wetu huwezi wasikia wamewakamata watu kama hawa interijensia yao ipo kwa Lema na Max.....
Mungu mkubwa kama umepona kwanza shukuru kuna wakili mmoja wa Kenya miezi miwili iliyopita alitekwa na wateja wake na dereva wake wakauawa na kuwekwa kwenye mifuko na kutupwa kwenye mto uku wakiwa wamakatwa katwa na mapanga
Huyu hapa............
Very sad pole sana wakili....