Wakili ajitoa kesi ya Sabaya, asema analinda maadili yake

Kwa mtazamo wangu naona huyo wakili amepoteza sifa ya kuwa WAKILI. Kwasababu naamini wakili ni mtu anayesimama badala ya mtu mwingine katika kila hali, ili kuweza kumtetea. Angeweza kutumia weledi katika taaluma yake kueleza hicho alichoambiwa pasipo utata.

Kama mteja ameweza kumueleza, yeye ameshindwa vipi kueleza mahakama kwa namna isiyoleta mgongano?
Nadhani kuna wakati wakili anatakiwa kubeba dhamana ya mteja wake na ndio maana alikubali kumtetea. Au mawakili wasomi mnasemaje?
Sasa ebu vaaa viatu vya wakili... mtuhumiwa huyu umejiridhisha kuwa anakuzunguka kwa kupishanisha maelezo au ulimwambia hivi anakwambia vile mara kwa mara wewe wakili utafanyeje?? In short hamuelewani kwenye biashara!

Mark my words; tuendako ipo siku mawakili wote wa utetezi watajitoa kwenye hiyo kesi.
 
Sabaya naye asamehewee ili tuanze mmoja, hata kama ni chungu kumeza hii, ndiyoo ili pasiwepo na double standard
Timu Sabaya msijilinganishe na Mbowe ambaye alikuwa smart kwenye dealings zake na Lt. Urio. Sabaya anaponzwa na matendo yake ya dharau aliyokuwa akiyaweka mubashara.
Ulizeni waliopo Arusha na Moshi mjiridhishe.
Ilifikia hatua Sabaya anapora wake na wapenzi wa watu kwa ubabe anaenda kuwabaka!
Ilifikia hatua Sabaya anakuja na kikosi chake mchana kweupe na usiku mnene kuporwa mali za watu.
Ilifikia kipindi Sabaya anajiapiza kudhulumu uhai wa wapinzani wake.
Ilifikia kipindi Sabaya anawazushia uongo wafanyabiashara wa wilaya nyingine ili wafilisiwe!

Mambo hayo yote Sabaya aliyafanya kwa masifa. Ushahidi upo wa kutosha.
Mimi kwa Arusha kule ni jirani yangu. Wengi wanalia.

CC @ Stroke
 
Kwa mtazamo wangu naona huyo wakili amepoteza sifa ya kuwa WAKILI. Kwasababu naamini wakili ni mtu anayesimama badala ya mtu mwingine katika kila hali, ili kuweza kumtetea. Angeweza kutumia weledi katika taaluma yake kueleza hicho alichoambiwa pasipo utata.

Kama mteja ameweza kumueleza, yeye ameshindwa vipi kueleza mahakama kwa namna isiyoleta mgongano?
Nadhani kuna wakati wakili anatakiwa kubeba dhamana ya mteja wake na ndio maana alikubali kumtetea. Au mawakili wasomi mnasemaje?
Labda utakua mgongano wa maswala ya kifedha. Labda wakili hakulipwa
 
Umeshaambiwa kutokana na maadili hawezi kutamka Wala kuyasema hadharani
7baya ni Mlawiti na jamaa alikuwa anamtafutia vibint na kumkamatia. Unafikiri Wakili wa Kike asemeje kimaadili
Huyu wakili ni mwanaume na sio mwanamke
 
Kwani, wakili kazi yake ni kusema vile anavyoona inafaa au kuzungumza kile walichokubaliana na mteja wake?

Kwa mfn mteja akikiri kosa mbele yake, anachotakiwa kufanya ni kutumia uwezo wake kumtetea mteja wake hadi mwisho.
sasa kila wakili akiogopa fedheha, nani atatetea wenye hatia?
Kuna uwezekano mtuhumiwa alikuwa(ndivyo anavyoona)anataka aonekane hana hatia yoyote na hakuwahi kufahamiana na mtuhumiwa namba moja.Kitu ambacho,kwa ushahidi uliokwishatolewa,mazingira halisi na ukweli si kweli.Alipangwa akubali kwa hiyari ili apigwe "mvua" chache,hataki.Atabugia jeuri yake.
 
Bado kesi ya Mbowe ya madai ya kuvamia Protea Hotel. Yaani ningekuwa Mimi ni Mbowe ningepeleka madai ya fidia billions. Kitendo cha kuvamia hotel na gari ya namba za UN kilipotezea sifa hotel pamoja na Wateja wake wakiwemo wazungu n.k. Yaani ninge frame andiko Moja Hilo mpaka Sabaya azimie kabisa. Sema Mbowe mambo ya Hofu ya Mungu yamemkaa Sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom