Wakili ajitoa kesi ya Sabaya, asema analinda maadili yake

Kwa mtazamo wangu naona huyo wakili amepoteza sifa ya kuwa WAKILI. Kwasababu naamini wakili ni mtu anayesimama badala ya mtu mwingine katika kila hali, ili kuweza kumtetea. Angeweza kutumia weledi katika taaluma yake kueleza hicho alichoambiwa pasipo utata.

Kama mteja ameweza kumueleza, yeye ameshindwa vipi kueleza mahakama kwa namna isiyoleta mgongano?
Nadhani kuna wakati wakili anatakiwa kubeba dhamana ya mteja wake na ndio maana alikubali kumtetea. Au mawakili wasomi mnasemaje?
Umeshaambiwa kutokana na maadili hawezi kutamka Wala kuyasema hadharani
7baya ni Mlawiti na jamaa alikuwa anamtafutia vibint na kumkamatia. Unafikiri Wakili wa Kike asemeje kimaadili
 
Sabaya naye asamehewee ili tuanze mmoja, hata kama ni chungu kumeza hii, ndiyoo ili pasiwepo na double standard
Hapana Sabaya kawadunga vijana misumari inch 6 miguuni, kawalawiti na kamvamia Mbowe pale Protea Hotel
Hawa wote Kesi zao kwa Sabaya hazijafunguliwa
Dogo 7baya mwacheni amebakiza miaka 29 usiku na mchana
 
Ilitakiwa mambo aliyoambiwa wakili na mteja wake umuulize wakili kisha uje na facts. Ndiyo utokee hapa jukwaani kuandika haya uliyoyaandika. Tofauti na hivyo tunakuchukulia kwamba wewe ni muongo tu.
Sasa unataka akaulize nini wakati wakili kasema mbele ya hakimu kuwa hawezi kueleza kwa kuwa ni kinyume na maadili ya kazi yake?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kwa mtazamo wangu naona huyo wakili amepoteza sifa ya kuwa WAKILI. Kwasababu naamini wakili ni mtu anayesimama badala ya mtu mwingine katika kila hali, ili kuweza kumtetea. Angeweza kutumia weledi katika taaluma yake kueleza hicho alichoambiwa pasipo utata.

Kama mteja ameweza kumueleza, yeye ameshindwa vipi kueleza mahakama kwa namna isiyoleta mgongano?
Nadhani kuna wakati wakili anatakiwa kubeba dhamana ya mteja wake na ndio maana alikubali kumtetea. Au mawakili wasomi mnasemaje?
Mteja hana salio,wakili ameona Cheng's nyingi
 
Umeshaambiwa kutokana na maadili hawezi kutamka Wala kuyasema hadharani
7baya ni Mlawiti na jamaa alikuwa anamtafutia vibint na kumkamatia. Unafikiri Wakili wa Kike asemeje kimaadili

I see!
Mbona wewe umeweza kuandika hapa?
Huko mahakamani hawapokei utetezi wa maandishi endapo kuzungumza haitawezekana kutokana na hayo 'maadili'?
 
Kwa mtazamo wangu naona huyo wakili amepoteza sifa ya kuwa WAKILI. Kwasababu naamini wakili ni mtu anayesimama badala ya mtu mwingine katika kila hali, ili kuweza kumtetea. Angeweza kutumia weledi katika taaluma yake kueleza hicho alichoambiwa pasipo utata.

Kama mteja ameweza kumueleza, yeye ameshindwa vipi kueleza mahakama kwa namna isiyoleta mgongano?
Nadhani kuna wakati wakili anatakiwa kubeba dhamana ya mteja wake na ndio maana alikubali kumtetea. Au mawakili wasomi mnasemaje?
Mimi kama wakili msomi sikubaliani na wewe alichofanya wakili ni sahihi kujitoa maana yake angeendelea na hilo jambo lingemuathiri katika kazi yake kama wakili. Yapo ya kuvumilia ukapigapiga ngwine ukapita ila kuna mengine inakuwa vigumu ni either do or die.
 
Walio kuwa wanamtuma kufanya uovu yaani ma-CCM, ndiyo leo hii wanao mkimbiza na tairi na petroli, hii siyo fair kabisa!
Kama ile milioni 90 ya mroso aliyoenda kuchukua pale CRDB kwa morombo hakuna aliyemtuma bana mengine msiwasingizie watu ni tamaa zake binafsi.
 
Ilitakiwa mambo aliyoambiwa wakili na mteja wake umuulize wakili kisha uje na facts. Ndiyo utokee hapa jukwaani kuandika haya uliyoyaandika. Tofauti na hivyo tunakuchukulia kwamba wewe ni muongo tu.
Unamwambia mleta uzi au mwandishi wa gazeti la Mwananchi? 😁
 
Wakili wa mmoja wa watu wanoshtakiwa pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kwa uhujumu uchumi na utakatishaji fedha amejiondoa kumtetea mteja wake.

Wakili Fridoline Bwemelo amesema ameamua kujiondoa kumtetea mshtakiwa wa tatu katika kesi hiyuo, Watson Mwahomange kwa kile alichodai kuwepo mgongano wa kimaslahi na kulinda maadili yake.

Bwemelo ameeleza uamuzi huo leo Jumatatu Machi 7, 2022 mbele ya Hakimu mkazi Mwandamizi, Dk Patricia Kisinda.

Alidai kuna mambo ambayo mshitakiwa huyo alimtaka ayaeleze mahakamani lakini akaona asingeweza kufanya hivyo kutokana na maadili yake ya kitaaluma.

”Mimi kwa kiapo changu kama ofisa wa mahakama sikuwa tayari kukieleza hicho ambacho naona kitaende kinyume na maadili yangu kama wakili au ofisa wa mahakama,” amesema.

Chanzo : Mwananchi
Dogo anadhani bado ni DC!!
 
Kwa mtazamo wangu naona huyo wakili amepoteza sifa ya kuwa WAKILI. Kwasababu naamini wakili ni mtu anayesimama badala ya mtu mwingine katika kila hali, ili kuweza kumtetea. Angeweza kutumia weledi katika taaluma yake kueleza hicho alichoambiwa pasipo utata.

Kama mteja ameweza kumueleza, yeye ameshindwa vipi kueleza mahakama kwa namna isiyoleta mgongano?
Nadhani kuna wakati wakili anatakiwa kubeba dhamana ya mteja wake na ndio maana alikubali kumtetea. Au mawakili wasomi mnasemaje?
Vipi kama angeendelea kama "unavyotaka" halafu anaye tetewa ampinge huyo wakili katikati ya shauri?Think twice and properly!
 
Kwani, wakili kazi yake ni kusema vile anavyoona inafaa au kuzungumza kile walichokubaliana na mteja wake?

Kwa mfn mteja akikiri kosa mbele yake, anachotakiwa kufanya ni kutumia uwezo wake kumtetea mteja wake hadi mwisho.
sasa kila wakili akiogopa fedheha, nani atatetea wenye hatia?
 
Kwa mtazamo wangu naona huyo wakili amepoteza sifa ya kuwa WAKILI. Kwasababu naamini wakili ni mtu anayesimama badala ya mtu mwingine katika kila hali, ili kuweza kumtetea. Angeweza kutumia weledi katika taaluma yake kueleza hicho alichoambiwa pasipo utata.

Kama mteja ameweza kumueleza, yeye ameshindwa vipi kueleza mahakama kwa namna isiyoleta mgongano?
Nadhani kuna wakati wakili anatakiwa kubeba dhamana ya mteja wake na ndio maana alikubali kumtetea. Au mawakili wasomi mnasemaje?
Mawakili wote ni wafanyakazi wa mahakama lazima kwanza atii kinachomfanya kuwa wakili.
 
Nilikuwa naulizia yule demu wa Sabaya yuko wapi kuna mdau hajaoa.

Kizuri kula na nduguyo nina uhakika Sabaya hawezi kukatalia kitu hakitumii wala hana uwezo wa kukipata kwa sasa
 
Alikuwa ana mla tigo, so demu kaharibika vibaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom