Wakenya jifunzeni kusafisha vyoo mnakera

Wakenya jifunzeni kusafisha vyoo mnakera

Status
Not open for further replies.
Tuletee report ya 2016 kwenda mbele huko tulishatoka siku nyingi sasa hvi mambo matamu watu wamejenga proper houses....na bahati nzuri watanzania hua wastaarabu kwa kila jambo hata kusalimia asubuhi sio nyie hamujastaarabika kusalimia watu so wabongo hatuna sifa za kijinga za kuhamisha visivo hamishika

Hiyo report ya banki kuu inayosema Watanzania maskini ni asilimia 70% ni ya 2015, miaka miwili imepita.
Miujiza gani unasema imetendeka kwanza siku hizi mnaisoma namba kupita maelezo, hakuna hela mtaani mlivyokua mumezoea.
Eti mumeendelea kwa sababu mnasalimiana, wapi na wapi. Kwanza usinisalimie kama umetoka kujitawaza chooni kwa kujiingiza vidole halafu unaachia mavi kwenye kucha.
 
Inategemea na mahali shughuli imekukuta, upo katikati ya mjini ghafla unataka kuharisha, kwani ufanye nini. Japo Nairobi vyoo mjini huwa vinatunzwa vizuri sana maana tunalipia Kshs, lakini hapo Bongo kwanza maji yenyewe matatizo. Niliwahi kulipia choo cha public nikitegema service nzuri, duh....

Bora muwe na vyoo vya VIP, tatizo Tanzania hamjazoea mambo ya middle class, ujamaa uliwalemaza kiasi kwamba hamna sehemu unapata service nzuri kwa hela zako. Mpo na middle class wachache sana 70% of Tanzanians continue to live with less than $2 per day angalia World bank report Tanzania Mainland Poverty Assessment: A New Picture of Growth for Tanzania Emerges

Halafu hayo makopo yana maji kidogo, imagine Mtanzania unaharisha mjini halafu unategemea kutumia hayo maji machache kujiingiza vidole humo ukijiosha eti unajitawaza.
Acha upotoshaji vyoo vya kulipia huwa vina maji ya kutosha, labda kama ulieenda vya uswazi ndani ndani huko
 
Waosha tundu la kinyeo na maji? Toilet paper is more civilised man. Kuosha asshole na mkono ni savage bana. Barbaric
Mbona mpenzi wako kwenye sex unamshika hata nyuma na wazungu wanalamba kabisa sasa kunawa na mkono vipi iwe uchafu
 
Inategemea na mahali shughuli imekukuta, upo katikati ya mjini ghafla unataka kuharisha, kwani ufanye nini. Japo Nairobi vyoo mjini huwa vinatunzwa vizuri sana maana tunalipia Kshs, lakini hapo Bongo kwanza maji yenyewe matatizo. Niliwahi kulipia choo cha public nikitegema service nzuri, duh....

Bora muwe na vyoo vya VIP, tatizo Tanzania hamjazoea mambo ya middle class, ujamaa uliwalemaza kiasi kwamba hamna sehemu unapata service nzuri kwa hela zako. Mpo na middle class wachache sana 70% of Tanzanians continue to live with less than $2 per day angalia World bank report Tanzania Mainland Poverty Assessment: A New Picture of Growth for Tanzania Emerges

Halafu hayo makopo yana maji kidogo, imagine Mtanzania unaharisha mjini halafu unategemea kutumia hayo maji machache kujiingiza vidole humo ukijiosha eti unajitawaza.
Sasa hapo unaongea nini ?? Kunatofauti kati ya umaskini na tabia kama maji akuna ilo ni swala lingine siyo tabia ya uchafu kwani nyinyi amjisafishi kwa kukosa maji
 
Sasa hapo unaongea nini ?? Kunatofauti kati ya umaskini na tabia kama maji akuna ilo ni swala lingine siyo tabia ya uchafu kwani nyinyi amjisafishi kwa kukosa maji

Ukitumia akili kidogo utaelewa, ninasema kwamba kwenu umaskini balaa unaosababisha ukosefu wa maji, hivyo kwenye vyoo vyenu mnakua na maji machache halafu ukizingatia unategemea baada kunyaa lazima uoshe mkun.du kwa vidole, hapo inakua mtihani ukitoka maana hamna maji ya kutosha kunawa mikono vizuri.

Ninachoshauri, muige utumiaji wa toilet paper kama sisi, unatumia nyingi kuchamba hadi unakua msafi mle, halafu baadaye nenda nyumbani kwenye bafu uoge kabisa kila maeneo bila tabu. Hayo mambo ya kuosha mikun.du mkitumia vidole kwenye vyoo vya mjini mliiga kutoka kwa Waarabu lakini ni hatari maana kucha zinaishia kuwa na mavi mavi.
 
Wakenya sijui walikosea WAP?

Wao wamezoe vyoo vya kanjo na zile za kwa plot, huwezi weka maji juu kinakuwa Used by mob, na vile maji ni shida Kyle, aki they are used to toilet papers only

Hii culture ya kutawaza na kuflush vyoo hawajui.... Better ban them
Mtoto figure imetulia
 
Kwaiyo watz awaogi kama maji ya kuchamba akuna wanapata wapi maji ya kuoga mana maji ya kuoga ni mengi kuliko ya kunawa chooni pia hiyo ripoti ya kimataifa inaongelea maji salama na safi siyo maji ya chooni acha uongo

Dah! Nalaumu mwalimu wako, kwaheri... wewe ni shughuli nyingine.
 
Dah! Nalaumu mwalimu wako, kwaheri... wewe ni shughuli nyingine.
Mm ni shughuli nyingine kweli kwa sababu nabishana kwa mantiki siyo kelele umesema atuna maji ya kunawa chooni sasa vipi tuwe nayakuoga wakati wakenya wachafu sana hadi ngozi chafu hapa tz joto tungekuwa kama wakenya atuogi tungenuka sana
 
Dah! Nalaumu mwalimu wako, kwaheri... wewe ni shughuli nyingine.
Kama mnatumia TP kujisafisha sawa mkimaliza kutumia tumia na maji ndo wenzenu tunafanya tunatumia vyote ila maji ni lazima
 
hapa ofsini kwetu kuna wakenya kadhaa hawa jamaa wakienda chooni hawamwagi maji yaani uchafu kila mahali .tulichoamua choo chetu wabongo tumeweka lock tunatembea na funguo na wao tumewaachia choo chao yaani ni aibu tupu.majirani mna shida .eti ni wasomi wanajua kiingereza ..kiingereza wakati hutawazi?
Wakenya kumbe zile mbio huwa wanawakimbia nzi wanaofuata harufu zao za nnya
 
hapa ofsini kwetu kuna wakenya kadhaa hawa jamaa wakienda chooni hawamwagi maji yaani uchafu kila mahali .tulichoamua choo chetu wabongo tumeweka lock tunatembea na funguo na wao tumewaachia choo chao yaani ni aibu tupu.majirani mna shida .eti ni wasomi wanajua kiingereza ..kiingereza wakati hutawazi?
Dah!! Nilikuwa busy imenipita kidogo hii. Ngoja niifuatilie. Hahahaha!! Wakenya bana.
 
Dare to visit their toilets man, always remember to carry some toilet papers, they've got some tumkebe with little water, you are required to use your figures up your excretory stuff and clean it super, then walk out smiling.
I now understand the Kenyans who Miss Natafuta has complained about above. Even I wouldnt want to touch those Mikebes used by pipo u do not even know are from where and how they used them. Yuuuuck! Si they use flush toilets kwa hizo maofisi zao.

I love our toilet culture here.
 
Flash zipo lakini ndio hulka zao za kutojisafisha kwanza wao ikiwa mtu hawez kujisafisha yeye ataweza kusafisha choo 😉😉🙂🙂🙂
Ati kusafisha nini? Hapana! Kama hivyo ndivyo mlivyo, I will never ever ever ever shake hands with a Tanzanian! Never!
Kwanza naskia nyinyi hata mikono hamjui kuosha- na hata saa zingine hamuoshangi mkitoka chooni ati unaniambia nini wewe?

I am horrified!

Tanzania - Do campaigns to get people to wash hands and use (improved) toilets work? (English) | The World Bank
 
Flash zipo lakini ndio hulka zao za kutojisafisha kwanza wao ikiwa mtu hawez kujisafisha yeye ataweza kusafisha choo 😉😉🙂🙂🙂
Kumbe ndio maana mnashindwa mkigonjeka na macholera na magonjwa zingine zinatokana na uchafu. Hii tabia yenyu mbaya!

Figure-1-Total-number-of-cholera-outbreaks-1974-2005.png
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom